Narumu One
JF-Expert Member
- Oct 31, 2022
- 396
- 399
Basi ifanyeni Jumamosi kuwa siku ya ibada ili muendane na dunia inavyokwenda kinyume na hapo mtajihisi kuonewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subhanallah!Hatujafijia huko ndugu.Wasabato pekee ndiyo wanaotakiwa kupumzika siku yao ya ibada wengine wote tunaenda kanisani tunarudi kuendelea na mishe zetu, waislamu pia Ijumaa wanapiga kazi kama kawa muda wa ibada wanaenda Msikitini wakitoka wanaendelea na kazi. Shehe atakuwa amemiss ile huduma ya kuingiliwa aliyokuwa akipewa gerezani. Kwani kuna mbunge alikatazwa kwenda ibadani?
Hajateleza ni kujifanya mtetezi wa Waislamu kumbe ana maslahi yake binafsi.Jumamos na jumapil watu hawafanyi kazi kwasababu ni mapumziko ya mwisho wa wiki sio kwasababu ya kwenda kusali.Kalenda tunayoitumia inatambua kupumzika weekend sio kwasababu tunatakiwa kusali.swala la kusali ilo ni kila mtu na imani yake kulingana na tafsiri yake ndo maana hata kwa wakristo pamoja ya kwamba wanatumia biblia moja bado wanasali siku tofauti kati ya dhehebu na dhehebu wakati biblia imetambulisha siku ya saba kwa maana ya jumamosi.Shehe hapo kateleza.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ijumaa iheshimiwe.Muda wa Ibada uheshimiwe
Kuna aya kwenye Quran inayoyema: Mnaposikia adhana acheni kazi zenu mwende kumwabudu Allah, Kisha tawanyikeni katika ardhi kutafuta riziki. Siikumbuki aya hiyo lakini ipo inayoonyesha Ijumaa siyo siku ya kupumzika, ni siku ya kuabudu, na baada ya ibada watu waendelee na kazi za kutafuta riziki. Sasa Sheikh Ponda analazimisha iwe siku ya mapumziko. Ikumbukwe Sheikh Ponda alifaulu kuleta ubaguzi wa mavazi mashuleni kwa Waislamu, Ila hakufanikiwa kubadili mavazi katika majeshi kwa Askari wa kike.Shehe Ponda amehoji kupitia ukurasa wake wa Twitter kwanini Ijumaa isiheshimiwe kwa bunge kama ilivyo Jumamosi na Jumapili?
Ponda anasema Jumamosi ni Siku ya Ibada
Jumapili ni Siku ya Ibada
Na Ijumaa ni Siku ya Ibada, sasa kwanini Jumaa kareem isiheshimiwe au ni kiburi tu!
Sabato njema
Huyu Ponda mjinga sana.....kwa jinsi nchi ilivyo na changamoto zote hizi kaona hili ndio la muhimu...Shehe Ponda amehoji kupitia ukurasa wake wa Twitter kwanini Ijumaa isiheshimiwe kwa bunge kama ilivyo Jumamosi na Jumapili?
Ponda anasema Jumamosi ni Siku ya Ibada
Jumapili ni Siku ya Ibada
Na Ijumaa ni Siku ya Ibada, sasa kwanini Jumaa kareem isiheshimiwe au ni kiburi tu!
Sabato njema
Mimi ni muislamu na nakubali hakuna sababu ya kuacha kufanya kazi sababu ya ibada na najuwa hata kama kuna mkutano wa bunge hata shule au ofisini ziku za ijumaa kazi zinafanyika lakini wanapata break ya kutosha ila kwenda kufanya ibada ya ijumaa na swala zingine maana sisi tunaswali mara tano daily. Hakuna haja ya kuanzia mjadala usiokuwa na tijaPweinti!
Halafu Islam swala ni kila Siku 5times
Huyu bila shaka ni shehe wa kichina!! Ina maana hajui kuwa koran haimzuii mwislam kufanya kazi ijumaa? Hata waajiriwa huenda kazini kama kawaida isipokuwa muda wa ibada ukifika wanaruhusiwa kwenda kusali na kisha kurudi kazini kuendelea na kazi!! Hata wanaofanya kazi zao binafsi huamkia kwenye kazi zao siku ya ijumaa na ikifika muda wa ibada huondoka kwenye shughuli zao na kwenda kusali. Wafanya biashara waislam wa maduka kariakoo hali kadhalika hufungua maduka yao kama kawaida siku ya ijumaa na huyafunga muda wa ibada ukifika na kisha hurejea tena baada ya ibada. Hata mlalamikaji mwenyewe hufanya kazi siku ya ijumaa na muda wa ibada huenda zake ibadani na akarejea tena!Shehe Ponda amehoji kupitia ukurasa wake wa Twitter kwanini Ijumaa isiheshimiwe kwa bunge kama ilivyo Jumamosi na Jumapili?
Ponda anasema Jumamosi ni Siku ya Ibada
Jumapili ni Siku ya Ibada
Na Ijumaa ni Siku ya Ibada, sasa kwanini Jumaa kareem isiheshimiwe au ni kiburi tu!
Sabato njema
Pweinti ni kwamba Muda wa Ibada Siku ya Ijumaa Bunge liahirishweMimi ni muislamu na nakubali hakuna sababu ya kuacha kufanya kazi sababu ya ibada na najuwa hata kama kuna mkutano wa bunge hata shule au ofisini ziku za ijumaa kazi zinafanyika lakini wanapata break ya kutosha ila kwenda kufanya ibada ya ijumaa na swala zingine maana sisi tunaswali mara tano daily. Hakuna haja ya kuanzia mjadala usiokuwa na tija
Yawezekana wewe ndio islam chinese!Huyu bila shaka ni shehe wa kichina!! Ina maana hajui kuwa koran haimzuii mwislam kufanya kazi ijumaa? Hata waajiriwa huenda kazini kama kawaida isipokuwa muda wa ibada ukifika wanaruhusiwa kwenda kusali na kisha kurudi kazini kuendelea na kazi!! Hata wanaofanya kazi zao binafsi huamkia kwenye kazi zao siku ya ijumaa na ikifika muda wa ibada huondoka kwenye shughuli zao na kwenda kusali. Wafanya biashara waislam wa maduka kariakoo hali kadhalika hufungua maduka yao kama kawaida siku ya ijumaa na huyafunga muda wa ibada ukifika na kisha hurejea tena baada ya ibada. Hata mlalamikaji mwenyewe hufanya kazi siku ya ijumaa na muda wa ibada huenda zake ibadani na akarejea tena!
Huyu shehe wa kichina naona anataka kulazimisha vuruga isiyokuwepo na lazima adhibitiwe mapema kwa nguvu zote!! Inaelekea anahamu tu ya kupewa airtime asiyoistahili kwenye jamii!!
Nakazia mkuu. J5 nayo ipewe nafasi.Kweli wa j2 na j1 wameheshimiwa siku yao wa ijumaa nao iheshimiwe. Na sisi wa j5 pia tutambulike..
Juma4 Siku ya Waganga wa KienyejiWapagani juma tano.
Wahindu alhamisi.
Waislamu ijumaa.
Wasabato jumamosi.
Wakristo jumapili.
Kazi tutakua tunafanya jumatatu na jumanne tu.
Kwani aligoma kuheshimu muda wa ibada? Je kuna mbunge yeyote alizuiliwa na spika kwenda kusali ijumaa muda wa ibada ulipofika? Tulikuwa na Spika nguli Adam Sapi na mwislam lakini alikuwa anaendesha vikao siku ya ijumaa na muda wa ibada ukifika anaenda zake kusali pamoja na waislam wenzake. Pia tulikuwa na naibu spika mwislam aitwaye Juma Akukweti. Kadhalika aliendesha vikao vya bunge siku ya ijumaa na muda wa ibada ukifika huenda kusali.Muda wa Ibada uheshimiwe
Iwe sio siku ya kaziKwa hiyo na shule kusiendwe
Noted ✍️Na kama kuna Mwislam anadai anashindwa kufanya ibada siku za Ijumaa eti kisa ni siku ya kazi huyo ni Mnafiki na mwongo mkubwa!!
Mleta mada angeandika kama ambavyo Shehe Ponda ameandika ingeleta uelewa mzuri.Wasabato pekee ndiyo wanaotakiwa kupumzika siku yao ya ibada wengine wote tunaenda kanisani tunarudi kuendelea na mishe zetu, waislamu pia Ijumaa wanapiga kazi kama kawa muda wa ibada wanaenda Msikitini wakitoka wanaendelea na kazi. Shehe atakuwa amemiss ile huduma ya kuingiliwa aliyokuwa akipewa gerezani. Kwani kuna mbunge alikatazwa kwenda ibadani?