Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali haifungamani na imani za kidini, na wala katiba haitambui uwepo wa dini rasmi. Na wala sijui kama kitabu cha Kurani kinatoa msisitizo kuhusu siku ya Ijumaa kuwa ni ya mapumziko kwa Waislamu wote, mbali ya kuwataka kufanya ibada.Shehe Ponda amehoji kupitia ukurasa wake wa Twitter kwanini Ijumaa isiheshimiwe kwa bunge kama ilivyo Jumamosi na Jumapili?
Ponda anasema Jumamosi ni Siku ya Ibada
Jumapili ni Siku ya Ibada
Na Ijumaa ni Siku ya Ibada, sasa kwanini Jumaa kareem isiheshimiwe au ni kiburi tu!
Sabato njema
Hukuona mwaka huu Zanzibar huko. Watu walizuiwa kuuza chakulaWatafuturu nini?
Anataka uheshimiwe nadhaniIpo kwenye utaratibu, nachomaamisha hiyo ijumaa anataka kusifanyike kazi
Huyu Mzee angepumzika tu!
Njaa imeishamkaba na sasa anaanza chokochoko ili apate kick na wafadhili wake wamkumbuke upya!
Basi wayaweke kwenye magari yao saa 5 waondoke, kama ilivyo kwa taasisi nyingine mtu kupewa muda wa kwenda kuswali na kurejea saa 8Anataka uheshimiwe nadhani
Kwa mfano bunge liahirishwe Saa 5 asubuhi badala ya mbunge kuja na mavazi ya Ibada bungeni kisha kwenda nayo msikitini Saa 7 bila kubadilisha
Yupo sahihi kwa maana ya "Ibada day" should be free for Ibada, tuachane na tongotongo za kiingereza tufanye kile kilicho bora ktk jamii yetu tukishirikisha makundi yoteShehe Ponda amehoji kupitia ukurasa wake wa Twitter kwanini Ijumaa isiheshimiwe kwa bunge kama ilivyo Jumamosi na Jumapili?
Ponda anasema Jumamosi ni Siku ya Ibada
Jumapili ni Siku ya Ibada
Na Ijumaa ni Siku ya Ibada, sasa kwanini Jumaa kareem isiheshimiwe au ni kiburi tu!
Sabato njema
Dunia hii ya MolaDunia ipi?
Sku za mapumziko ni mbili worldwide , dini zote zitafte nafas katika sku hzo mbili , kila dini ikijitaftia sku yake mbona itakuwa balaa
Heshimu uhuru wa kuabudu wa wenzio,lakini kama Wabunge Waisilamu wanaruhusiwa kwenda kuswali sioni tatizo.Sku za mapumziko ni mbili worldwide , dini zote zitafte nafas katika sku hzo mbili , kila dini ikijitaftia sku yake mbona itakuwa balaa
Jibu hoja za Shekhe na sio kupiga ramli chonganishi.😖Hivi huyu sheikh ana wajukuu kweli? Mana anaonekana kuwa anapenda kweli kuponda. Iko siku ataema mbona mwezi wa Ramadan biashara zote za chakula hazifungwi? .
Nani hajaheshimuHeshimu uhuru wa kuabudu wa wenzio,lakini kama Wabunge Waisilamu wanaruhusiwa kwenda kuswali sioni tatizo.
Ni JumamosiSiku ya kumwabudu Mungu no Jumapili na inajulikana worldwide siku zilizobaki KAZI iendeleeeeeeeee
Jumamosi ni siku ya 6 so Jumapili ndio mapumzikoNi Jumamosi
Ikumbuke Sabato ya BWANA Uitakase Siku sita fanya kazi