Uwe unafkria kabla ya kuquote wanaume wanaokuzidi akiliHuna akili wewe,kwa kukusaidia tu,sio kweli eti Worldwide kua Jumamosi na Jumapili tu ndio siku za mapumziko kama unavyodai,uwe unaficha upumbavu wako kwa kukaa kimya kwa kitu usichokijua.
Siku ya kwenda kilingeni 😂😂😂Mshana jr naye ataomba J4 itambulike
Hata hapa Jf Dr Mshana jr huwa haonekani!Siku ya kwenda kilingeni 😂😂😂
Nadhani wewe na baadhi ya wachangiaji hamjamuelewa Sheikh Ponda. Anachohoji ni kwa nini Speaker anaendesha vikao vya bunge "MDA WA IBADA'' yaani (During Friday payer time). Sidhani kama kuna mtu anadai ijumaa iwe siku ya mapumziko.Nitakuwa Mwislam wa mwisho kuendekeza huu ujinga....
Kwa muktadha huu, Mungu anatuhimiza kufanya ibada na sio kupumzika!
Na kama kuna Mwislam anadai anashindwa kufanya ibada siku za Ijumaa eti kisa ni siku ya kazi huyo ni Mnafiki na mwongo mkubwa!!
Uko sahihi KabisaNadhani wewe na baadhi ya wachangiaji hamjamuelewa Sheikh Ponda. Anachohoji ni kwa nini Speaker anaendesha vikao vya bunge "MDA WA IBADA'' yaani (During Friday payer time). Sidhani kama kuna mtu anadai ijumaa iwe siku ya mapumziko.
Akili ya kusema kua eti Worldwide siku za mapumziko ni Jumamosi na Jumapili? Hizo ndio akili zako zilipoishia?Uwe unafkria kabla ya kuquote wanaume wanaokuzidi akili
Asipokemewa atafika mpaka Maofisini..Yeye anazungumzia bungeni
Kwa kuangalia masuala ya kiimani, Mwislam wajibu wake ni kufanya ibada na wala sio kufuatilia au kuhudhuria vikao vya bunge!Nadhani wewe na baadhi ya wachangiaji hamjamuelewa Sheikh Ponda. Anachohoji ni kwa nini Speaker anaendesha vikao vya bunge "MDA WA IBADA'' yaani (During Friday payer time). Sidhani kama kuna mtu anadai ijumaa iwe siku ya mapumziko.
kwetu Kyela shule zote Ijumaa ni nusu siku , na hasa maeneo ya boda ya kasumulu , ili kuruhusu waislam kushiriki ibadaHuyu Jamaa Hafai..Ponda tutakuponda.
Siku za mapumzika ni mbili tu dunia nzima i think uarabuni ijumaa ndio inaheshimika sanaShehe Ponda amehoji kupitia ukurasa wake wa Twitter kwanini Ijumaa isiheshimiwe kwa bunge kama ilivyo Jumamosi na Jumapili?
Ponda anasema Jumamosi ni Siku ya Ibada
Jumapili ni Siku ya Ibada
Na Ijumaa ni Siku ya Ibada, sasa kwanini Jumaa kareem isiheshimiwe au ni kiburi tu!
Sabato njema