Shehe Ponda Sasa Apata Watetezi Ni Tarehe 15/2/2013.

Shehe Ponda Sasa Apata Watetezi Ni Tarehe 15/2/2013.

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
5,423
Reaction score
3,297
HATIMAYE Jumuiya na Taasisi za
Kiislamu jana zimetangaza
maandamano makubwa
yatakayofanyika Februari 15,
mwaka huu iwapo Katibu wao,
Sheikh Ponda Issa Ponda,
hatopewa dhamana.
Azimio hilo lilitangazwa Dar es
Salaam jana na Amiri wa Umoja
wa Wahadhiri wa Kiislamu
Tanzania, Sheikh Kondo Bungo,
wakati akitangaza azimio la
mwisho kwa Waislamu.
Alisema kongamano hilo
lililofanyika katika Uwanja wa
Markaz ni la mwisho, kwa maana
hiyo kuanzia sasa Waislamu hao
wameazimia kufa au kupona hadi
Sheikh Ponda atakapoachiwa kwa
dhamana pamoja na wafuasi
wenzake.
“Waumini wote wa dini ya
Kiislamu nchini wasisubiri
kutangaziwa na maimu wao,
ifikapo Februari 14, wote tufike
pale Mahakama ya Kisutu
kusikiliza kesi na iwapo Ponda na
wenzake hawatapewa dhamana
Mkurungenzi wa Mashitaka, Dk.
Elliezer Feleshi ajiandae.
“Kwa kuwa Fabruari 15,
tutakwenda ofisini kwake iwe kwa
kutambaa, kutembea, kurukaruka
kichura au kwa namna yoyote ile,
maandamano haya makubwa
nimeyatangaza leo (jana) hivyo
tusilaumiane.
“Kwa sababu hii ni hujuma na
dhuluma kwa Waislamu, hii ni
ajenda ya CCM pamoja na
washirika wake katika
kuwadhulumu Waislamu, Ponda
kafanya nini, kutetea ardhi ya
Waislamu ndio anyimwe dhamana,
hatukubali,” alisema Bungo.
Alisema kitendo cha kumnyima
kiongozi huyo pamoja na wafuasi
wake dhamana, ni kukiuka Katiba
ya nchi.
“Waislamu tumekuwa tukilaumu
na kulalamika lakini sasa mwisho
umefika kinachofuata ni vitendo
tu, na wasituulize kwa sababu
wanatusikia.
Kwa upande wake, mwakilishi wa
Mkoa wa Morogoro, Sheik Ibrahim
Makange, alisema: “Tunataka
masheikh wote 10 pamoja na
vijana wetu wengine 17 watolewe
haraka, kwa sababu haiwezekani
sisi tukae ndani na wake zetu
wakati Ponda mchana anang’atwa
na inzi, usiku anang’atwa na mbu.”

Soma maoni ya wadau kisha na wewe utoe yako ya moyoni

"Hawa jamaa na stahili zao
tangu 2001. Kule Zanzibar
walikuwa wanachoma baa
na makanisa tangu 2001
mpaka 2011 lakini
wapoanza kuchoma ofisi za
CCM na kuua askari 2012
ndiyo serikali ikaanza
kushtuka wakati
kumekucha. Viongozi wa
makundi ya fujo kama hizi
za dini ukichunguza sana
siyo raia wa Tanzania kwa
hiyo serikali iamke na
kuwachukulia hatua
kali,mfano Sheikh Ponda
baba yake alihama
Bujumbura Burundi 1957
kahamia Kigoma!


Muungwana 2013-02-04
10:36
Ntakuja kuandamana
tumechoka kudhulumiwa
inaonekana wakristo ndo
wenye nchi hii
wamelalamika kuhusu
kuchinja Mara mora moja
Steven Wasira akaenda
Mwanza kuwasikiliza bado
maelekezo aliyoyatoa
wameendelea kuyakaidi,
Lulu Kauwa lakini kapewa
dhamana Sheikh Ponda
kulikoni? Au ndo Mfumo
Kristo unaomtesa? Na Tabia
ya Serikari kutuchagulia
viongozi wapuuzi wa
Bakwata hatuitaki ndo
maana wanauza Mali zetu
na huku wakitetewa na
Serikali


bobovic 2013-02-04
08:42
nashauri maandamano ya
kumtetea shekh ponda
yafanyike kila siku ya
ijumaa kuanzia tarehe
15i2i2013 mpaka hapo
atakapopewa dhamana


Domino 2013-02-04
08:23
Hawa waislamu serikali
imewalea yenywe bila
kuwachukulia hatua pindi
wanapohatarisha amani ya
nchi imekumbuka shuka
kunakucha.Jiandaeni
kudhibiti vurugu hizo.
Mtoto umleavyo....


kipara juakali
2013-02-04 07:48
ALLAHU AKBAR, ALLAHU
AKBAR ALLAHU AKBAR
INSHAALLAH TUKO PAMOJA
NA ALLAH ATAKUWA
PAMOJA NASI KATIKA
KUPIGANIA HAKI SAWA
KWA WOTE.
HIVI NDIVYO SERIKALI YA
CCM INAVYOTAKA HAIKO
RADHI KUTATUA MATATIZO
YA WANANCHI WAKE KWA
AMANI LAKINI WAKO
TAYARI KUTUMIA GHARAMA
KUBWA KUFANYA FUJO
KWA RAIA WASIO NA
HATIA.
 
Ni vizuri mkabiliane na serikali yenu ya ccm iliyoasisi UDINI nchini na si kuchoma moto makanisa na kuharibu mali za watu,maana laana y a MUNGU itakuwa juu yenu! MUNGU wetu ni MUNGU amani na upendo na sio vurugu!..
 
HATIMAYE Jumuiya na Taasisi za
Kiislamu jana zimetangaza
maandamano makubwa
yatakayofanyika Februari 15,
mwaka huu iwapo Katibu wao,
Sheikh Ponda Issa Ponda,
hatopewa dhamana.
Azimio hilo lilitangazwa Dar es
Salaam jana na Amiri wa Umoja
wa Wahadhiri wa Kiislamu
Tanzania, Sheikh Kondo Bungo,
wakati akitangaza azimio la
mwisho kwa Waislamu.
Alisema kongamano hilo
lililofanyika katika Uwanja wa
Markaz ni la mwisho, kwa maana
hiyo kuanzia sasa Waislamu hao
wameazimia kufa au kupona hadi
Sheikh Ponda atakapoachiwa kwa
dhamana pamoja na wafuasi
wenzake.
“Waumini wote wa dini ya
Kiislamu nchini wasisubiri
kutangaziwa na maimu wao,
ifikapo Februari 14, wote tufike
pale Mahakama ya Kisutu
kusikiliza kesi na iwapo Ponda na
wenzake hawatapewa dhamana
Mkurungenzi wa Mashitaka, Dk.
Elliezer Feleshi ajiandae.
“Kwa kuwa Fabruari 15,
tutakwenda ofisini kwake iwe kwa
kutambaa, kutembea, kurukaruka
kichura au kwa namna yoyote ile,
maandamano haya makubwa
nimeyatangaza leo (jana) hivyo
tusilaumiane.
“Kwa sababu hii ni hujuma na
dhuluma kwa Waislamu, hii ni
ajenda ya CCM pamoja na
washirika wake katika
kuwadhulumu Waislamu, Ponda
kafanya nini, kutetea ardhi ya
Waislamu ndio anyimwe dhamana,
hatukubali,” alisema Bungo.
Alisema kitendo cha kumnyima
kiongozi huyo pamoja na wafuasi
wake dhamana, ni kukiuka Katiba
ya nchi.
“Waislamu tumekuwa tukilaumu
na kulalamika lakini sasa mwisho
umefika kinachofuata ni vitendo
tu, na wasituulize kwa sababu
wanatusikia.
Kwa upande wake, mwakilishi wa
Mkoa wa Morogoro, Sheik Ibrahim
Makange, alisema: “Tunataka
masheikh wote 10 pamoja na
vijana wetu wengine 17 watolewe
haraka, kwa sababu haiwezekani
sisi tukae ndani na wake zetu
wakati Ponda mchana anang’atwa
na inzi, usiku anang’atwa na mbu.”

Soma maoni ya wadau kisha na wewe utoe yako ya moyoni

"Hawa jamaa na stahili zao
tangu 2001. Kule Zanzibar
walikuwa wanachoma baa
na makanisa tangu 2001
mpaka 2011 lakini
wapoanza kuchoma ofisi za
CCM na kuua askari 2012
ndiyo serikali ikaanza
kushtuka wakati
kumekucha. Viongozi wa
makundi ya fujo kama hizi
za dini ukichunguza sana
siyo raia wa Tanzania kwa
hiyo serikali iamke na
kuwachukulia hatua
kali,mfano Sheikh Ponda
baba yake alihama
Bujumbura Burundi 1957
kahamia Kigoma!


Muungwana 2013-02-04
10:36
Ntakuja kuandamana
tumechoka kudhulumiwa
inaonekana wakristo ndo
wenye nchi hii
wamelalamika kuhusu
kuchinja Mara mora moja
Steven Wasira akaenda
Mwanza kuwasikiliza bado
maelekezo aliyoyatoa
wameendelea kuyakaidi,
Lulu Kauwa lakini kapewa
dhamana Sheikh Ponda
kulikoni? Au ndo Mfumo
Kristo unaomtesa? Na Tabia
ya Serikari kutuchagulia
viongozi wapuuzi wa
Bakwata hatuitaki ndo
maana wanauza Mali zetu
na huku wakitetewa na
Serikali


bobovic 2013-02-04
08:42
nashauri maandamano ya
kumtetea shekh ponda
yafanyike kila siku ya
ijumaa kuanzia tarehe
15i2i2013 mpaka hapo
atakapopewa dhamana


Domino 2013-02-04
08:23
Hawa waislamu serikali
imewalea yenywe bila
kuwachukulia hatua pindi
wanapohatarisha amani ya
nchi imekumbuka shuka
kunakucha.Jiandaeni
kudhibiti vurugu hizo.
Mtoto umleavyo....


kipara juakali
2013-02-04 07:48
ALLAHU AKBAR, ALLAHU
AKBAR ALLAHU AKBAR
INSHAALLAH TUKO PAMOJA
NA ALLAH ATAKUWA
PAMOJA NASI KATIKA
KUPIGANIA HAKI SAWA
KWA WOTE.
HIVI NDIVYO SERIKALI YA
CCM INAVYOTAKA HAIKO
RADHI KUTATUA MATATIZO
YA WANANCHI WAKE KWA
AMANI LAKINI WAKO
TAYARI KUTUMIA GHARAMA
KUBWA KUFANYA FUJO
KWA RAIA WASIO NA
HATIA.
Mimi ni muislamu lakini sintakwenda maana madai ya nyinyi ndugu zangu hata mtoto wa chekechea anawashinda kufikiri..Kila mmoja anakumbuka jinsi ponda anavyopalilia chuki hapa Tanzania jinsi aliwaongoza watu kuchoma makanisa kule Mbagala na jinsi usalama wa Taifa unavyokuwa taabani kwa ajili ya uislamu sheetwani wenu wa siasa kali..Mbona hatuwahi kusikia wenzetu wakristo wanachoma misikiti hata mmoja alafu eti dini yetu ni ya Amani huku si ni kuwadanganya wanadamu...Kuanzia kesho mimi nakua mkristo maana inaonekana Mungu wao ndio wa kweli kuliko Allah na propaganda zake za mauaji, fujo,vurugu,wivu,chuki na ujinga uliokithiri kiasi kwamba sasa tunaonekana ni kero hapa duniani...Nendeni nyinyi msio na elimu ya kweli mimi ninakaPhD kangu na uislamu njaa wapi na wapi
 
Mimi ni muislamu lakini sintakwenda maana madai ya nyinyi ndugu zangu hata mtoto wa chekechea anawashinda kufikiri..Kila mmoja anakumbuka jinsi ponda anavyopalilia chuki hapa Tanzania jinsi aliwaongoza watu kuchoma makanisa kule Mbagala na jinsi usalama wa Taifa unavyokuwa taabani kwa ajili ya uislamu sheetwani wenu wa siasa kali..Mbona hatuwahi kusikia wenzetu wakristo wanachoma misikiti hata mmoja alafu eti dini yetu ni ya Amani huku si ni kuwadanganya wanadamu...Kuanzia kesho mimi nakua mkristo maana inaonekana Mungu wao ndio wa kweli kuliko Allah na propaganda zake za mauaji, fujo,vurugu,wivu,chuki na ujinga uliokithiri kiasi kwamba sasa tunaonekana ni kero hapa duniani...Nendeni nyinyi msio na elimu ya kweli mimi ninakaPhD kangu na uislamu njaa wapi na wapi
Umenichekesha sana, kweli mtu uitaji akili za kuchanganya na za mwenzako. Poa, ujumbe wako sijui utapokolewa vipi.
 
Serikali ya CCM na WASHIRIKA WAO hawawajali Waislamu.
Hao washirika wa ccm ni kina nani tutafakari pamoja.
 
Jina la Ponda linapohusishwa mahala popote basi ni kwa ajili ya vurugu tu, hii sio kawaida kwa mtu anayeitwa sheikh! Mi nadhani aidha aendelee kupumzika ndani ili waislam wengine wapenda amani waendelee kuswali kwa amani ijumaa wamhamishie huko timbuktu
 
wewe si muislamu na hata hiyo Phd yako haina mana yoyote, ni mjinga usiejitambua. wewe maandishi yako tu yanaonyesha ni padre wala huhitaji kujitambulisha. na kwa taarifa yako uislamu hauna shida na mbumbu kama nyie.
 
Tuko pamoja,kwani dhamana nihaki yake,hapa hamna cha udini wala nini mnyonge mnyongeni lakini kama kosa lake linadhaminika ifanywe hivyo mapema sana kwani tumechoka sasa au mpaka tujitoe nini?selikali usipandikize udini kwa njia hiyo kwani mkiristo na muislamu ni mtu na dada yake.plz kikwete shituka.nyeupe naiwe nyeupe kwani kosa la kutaifisha kiwanja halinaga dhamana? Nanyi nduguzetu wa kristo hatuna shida na nyinyi shida yetu ni selikali.kwani haki hakuna jamani nchini mwetu.tusikubali kugawanywa na maccm
 
Ugaidi ni vita ngumu sana,lakini lazima tupambane na magaidi mbaka tone letu la mwisho la damu!
 
Mimi ni muislamu lakini sintakwenda maana madai ya nyinyi ndugu zangu hata mtoto wa chekechea anawashinda kufikiri..Kila mmoja anakumbuka jinsi ponda anavyopalilia chuki hapa Tanzania jinsi aliwaongoza watu kuchoma makanisa kule Mbagala na jinsi usalama wa Taifa unavyokuwa taabani kwa ajili ya uislamu sheetwani wenu wa siasa kali..Mbona hatuwahi kusikia wenzetu wakristo wanachoma misikiti hata mmoja alafu eti dini yetu ni ya Amani huku si ni kuwadanganya wanadamu...Kuanzia kesho mimi nakua mkristo maana inaonekana Mungu wao ndio wa kweli kuliko Allah na propaganda zake za mauaji, fujo,vurugu,wivu,chuki na ujinga uliokithiri kiasi kwamba sasa tunaonekana ni kero hapa duniani...Nendeni nyinyi msio na elimu ya kweli mimi ninakaPhD kangu na uislamu njaa wapi na wapi
Haki ni haki iwe ya mwanachadema au m ccm,iwe ya mkristu au mwislam.,acha maskhra ya kucheza na haki ya mtanzania kwani hilo ndilo la pamoja kupigania.WEWE WAONA NI SAWA WATU KUNYIMWA DHAMANA???Hata kama wana makosa bado mahakama haijawatia hatiani.NA KIBAYA ZAIDI WAONEKANA UNA UBAGUZI WA KIDINI pamoja na kuwa ulijaribu kuuficha.
 
Tuko pamoja,dhamana ni haki yake.
 
Wewe umesha gawanywa masikini,huwezi umaliza uislamu au ukristo kwa njia hiyo.kwani dini hazitumii katiba.zinatumia vitabu vitakatifu.mashitaka ya ponda ni ugaid?ukikubari kugawanywa kisimpo hivyo kuitoa ccm itakua ndoto.wewe huna ndugu yako alie olewa na mwisilamu?shauri yako utajipiga mwenye lakini uisilamu au ukristo kuufuta itakua ndoto ya mchana.yaani maswala ya kiwanja yanakosa dhamana?na kwanini humu jf waisilamu tunazalaulika sana?ccm hapa jamvini wakionekana hua tunawashambulia mpaka wanatoweka waisilamu tukija na hoja ya msingi mnatudhihaki.lakini cdm ikija inapokelewa.sasa me naanza kuwashangaa makamanda wenzangu inakuwaje hoja ya waisilamu mnaisifia selikali?mimi ni cdm damdam nasiko huku kwa ajiri ya masilah nimeamua kwa moyo wangu kupinga dhuruma ya aina yoyote ile.haki ya mkristo ikikiukwa ntakua front kwani hainiingii akilini kukamatwa kwa yule askofu wa singida.kwani haki zinakiukwa?na msio elewa mnashangilia,kuna shekhe farid zanziba huyu alikua anapigania juu ya muungano kuvunjika kwani wanainch hawautaki.kakamatwa yukn gerezani na selikali wakachoma makanisa ili watugawe hamshituki?sasa mwisilamu anagombana na selikali iweje makanisa yachomwe?kuna masoko mengi huchomwa hapa tz na nibaada yakuamuliwa wahame na selikali.unafikili nani huyachoma?tuwe makini makamanda mtafanya sasa waisilamu wapiganie uisilamu wao na wakristo wapiganie ukristo wao natuwe busy kwa hilo na ccm waendele kutawala tuwe wamoja tuwatoe hawa wadharimu jamani inch imeisha hii.
 
Wakizidisha fujo ndio atafukuzwa nchini kesho yake tu,akarudishwe kwao Burundi!sijui watasemaje hapo!mwenzao amelia timing azuge zuge ili watu wasahau amtoe,wao wanaendekeza fujo!wangejua kamati zote za usalama hazimtaki!wasingelazimisha.........
 
HATIMAYE Jumuiya na Taasisi za
Kiislamu jana zimetangaza
maandamano makubwa
yatakayofanyika Februari 15,
mwaka huu iwapo Katibu wao,
Sheikh Ponda Issa Ponda,
hatopewa dhamana.
Azimio hilo lilitangazwa Dar es
Salaam jana na Amiri wa Umoja
wa Wahadhiri wa Kiislamu
Tanzania, Sheikh Kondo Bungo,
wakati akitangaza azimio la
mwisho kwa Waislamu.
Alisema kongamano hilo
lililofanyika katika Uwanja wa
Markaz ni la mwisho, kwa maana
hiyo kuanzia sasa Waislamu hao
wameazimia kufa au kupona hadi
Sheikh Ponda atakapoachiwa kwa
dhamana pamoja na wafuasi
wenzake.
“Waumini wote wa dini ya
Kiislamu nchini wasisubiri
kutangaziwa na maimu wao,
ifikapo Februari 14, wote tufike
pale Mahakama ya Kisutu
kusikiliza kesi na iwapo Ponda na
wenzake hawatapewa dhamana
Mkurungenzi wa Mashitaka, Dk.
Elliezer Feleshi ajiandae.
“Kwa kuwa Fabruari 15,
tutakwenda ofisini kwake iwe kwa
kutambaa, kutembea, kurukaruka
kichura au kwa namna yoyote ile,
maandamano haya makubwa
nimeyatangaza leo (jana) hivyo
tusilaumiane.
“Kwa sababu hii ni hujuma na
dhuluma kwa Waislamu, hii ni
ajenda ya CCM pamoja na
washirika wake katika
kuwadhulumu Waislamu, Ponda
kafanya nini, kutetea ardhi ya
Waislamu ndio anyimwe dhamana,
hatukubali,” alisema Bungo.
Alisema kitendo cha kumnyima
kiongozi huyo pamoja na wafuasi
wake dhamana, ni kukiuka Katiba
ya nchi.
“Waislamu tumekuwa tukilaumu
na kulalamika lakini sasa mwisho
umefika kinachofuata ni vitendo
tu, na wasituulize kwa sababu
wanatusikia.
Kwa upande wake, mwakilishi wa
Mkoa wa Morogoro, Sheik Ibrahim
Makange, alisema: “Tunataka
masheikh wote 10 pamoja na
vijana wetu wengine 17 watolewe
haraka, kwa sababu haiwezekani
sisi tukae ndani na wake zetu
wakati Ponda mchana anang’atwa
na inzi, usiku anang’atwa na mbu.”

Soma maoni ya wadau kisha na wewe utoe yako ya moyoni

"Hawa jamaa na stahili zao
tangu 2001. Kule Zanzibar
walikuwa wanachoma baa
na makanisa tangu 2001
mpaka 2011 lakini
wapoanza kuchoma ofisi za
CCM na kuua askari 2012
ndiyo serikali ikaanza
kushtuka wakati
kumekucha. Viongozi wa
makundi ya fujo kama hizi
za dini ukichunguza sana
siyo raia wa Tanzania kwa
hiyo serikali iamke na
kuwachukulia hatua
kali,mfano Sheikh Ponda
baba yake alihama
Bujumbura Burundi 1957
kahamia Kigoma!


Muungwana 2013-02-04
10:36
Ntakuja kuandamana
tumechoka kudhulumiwa
inaonekana wakristo ndo
wenye nchi hii
wamelalamika kuhusu
kuchinja Mara mora moja
Steven Wasira akaenda
Mwanza kuwasikiliza bado
maelekezo aliyoyatoa
wameendelea kuyakaidi,
Lulu Kauwa lakini kapewa
dhamana Sheikh Ponda
kulikoni? Au ndo Mfumo
Kristo unaomtesa? Na Tabia
ya Serikari kutuchagulia
viongozi wapuuzi wa
Bakwata hatuitaki ndo
maana wanauza Mali zetu
na huku wakitetewa na
Serikali


bobovic 2013-02-04
08:42
nashauri maandamano ya
kumtetea shekh ponda
yafanyike kila siku ya
ijumaa kuanzia tarehe
15i2i2013 mpaka hapo
atakapopewa dhamana


Domino 2013-02-04
08:23
Hawa waislamu serikali
imewalea yenywe bila
kuwachukulia hatua pindi
wanapohatarisha amani ya
nchi imekumbuka shuka
kunakucha.Jiandaeni
kudhibiti vurugu hizo.
Mtoto umleavyo....


kipara juakali
2013-02-04 07:48
ALLAHU AKBAR, ALLAHU
AKBAR ALLAHU AKBAR
INSHAALLAH TUKO PAMOJA
NA ALLAH ATAKUWA
PAMOJA NASI KATIKA
KUPIGANIA HAKI SAWA
KWA WOTE.
HIVI NDIVYO SERIKALI YA
CCM INAVYOTAKA HAIKO
RADHI KUTATUA MATATIZO
YA WANANCHI WAKE KWA
AMANI LAKINI WAKO
TAYARI KUTUMIA GHARAMA
KUBWA KUFANYA FUJO
KWA RAIA WASIO NA
HATIA.

ujinga mtupu
 
Apewa dhamana ni haki shekh Ponda ila aache kushadidia maandamano na kususia mambo ya serikali kama sensa huku ni kumuasi kiongozi wa nchi ambaye ni dini yetu.
 
Wana jf nashauri kabla hujachangia au kuingiza hoja yoyote humu ni vyema kujiuliza je hoja hiyo ina maslahi kwa nchi yako tanzania na wananchi wake kwa ujumla ? ninavyofahamu mimi hakuna justification yoyote ya kuwatia taabuni wenzako bila kujali ni siasa au dini . TAKE CARE !
 
Back
Top Bottom