babalao 2
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,423
- 3,297
HATIMAYE Jumuiya na Taasisi za
Kiislamu jana zimetangaza
maandamano makubwa
yatakayofanyika Februari 15,
mwaka huu iwapo Katibu wao,
Sheikh Ponda Issa Ponda,
hatopewa dhamana.
Azimio hilo lilitangazwa Dar es
Salaam jana na Amiri wa Umoja
wa Wahadhiri wa Kiislamu
Tanzania, Sheikh Kondo Bungo,
wakati akitangaza azimio la
mwisho kwa Waislamu.
Alisema kongamano hilo
lililofanyika katika Uwanja wa
Markaz ni la mwisho, kwa maana
hiyo kuanzia sasa Waislamu hao
wameazimia kufa au kupona hadi
Sheikh Ponda atakapoachiwa kwa
dhamana pamoja na wafuasi
wenzake.
Waumini wote wa dini ya
Kiislamu nchini wasisubiri
kutangaziwa na maimu wao,
ifikapo Februari 14, wote tufike
pale Mahakama ya Kisutu
kusikiliza kesi na iwapo Ponda na
wenzake hawatapewa dhamana
Mkurungenzi wa Mashitaka, Dk.
Elliezer Feleshi ajiandae.
Kwa kuwa Fabruari 15,
tutakwenda ofisini kwake iwe kwa
kutambaa, kutembea, kurukaruka
kichura au kwa namna yoyote ile,
maandamano haya makubwa
nimeyatangaza leo (jana) hivyo
tusilaumiane.
Kwa sababu hii ni hujuma na
dhuluma kwa Waislamu, hii ni
ajenda ya CCM pamoja na
washirika wake katika
kuwadhulumu Waislamu, Ponda
kafanya nini, kutetea ardhi ya
Waislamu ndio anyimwe dhamana,
hatukubali, alisema Bungo.
Alisema kitendo cha kumnyima
kiongozi huyo pamoja na wafuasi
wake dhamana, ni kukiuka Katiba
ya nchi.
Waislamu tumekuwa tukilaumu
na kulalamika lakini sasa mwisho
umefika kinachofuata ni vitendo
tu, na wasituulize kwa sababu
wanatusikia.
Kwa upande wake, mwakilishi wa
Mkoa wa Morogoro, Sheik Ibrahim
Makange, alisema: Tunataka
masheikh wote 10 pamoja na
vijana wetu wengine 17 watolewe
haraka, kwa sababu haiwezekani
sisi tukae ndani na wake zetu
wakati Ponda mchana anangatwa
na inzi, usiku anangatwa na mbu.
Soma maoni ya wadau kisha na wewe utoe yako ya moyoni
"Hawa jamaa na stahili zao
tangu 2001. Kule Zanzibar
walikuwa wanachoma baa
na makanisa tangu 2001
mpaka 2011 lakini
wapoanza kuchoma ofisi za
CCM na kuua askari 2012
ndiyo serikali ikaanza
kushtuka wakati
kumekucha. Viongozi wa
makundi ya fujo kama hizi
za dini ukichunguza sana
siyo raia wa Tanzania kwa
hiyo serikali iamke na
kuwachukulia hatua
kali,mfano Sheikh Ponda
baba yake alihama
Bujumbura Burundi 1957
kahamia Kigoma!
Muungwana 2013-02-04
10:36
Ntakuja kuandamana
tumechoka kudhulumiwa
inaonekana wakristo ndo
wenye nchi hii
wamelalamika kuhusu
kuchinja Mara mora moja
Steven Wasira akaenda
Mwanza kuwasikiliza bado
maelekezo aliyoyatoa
wameendelea kuyakaidi,
Lulu Kauwa lakini kapewa
dhamana Sheikh Ponda
kulikoni? Au ndo Mfumo
Kristo unaomtesa? Na Tabia
ya Serikari kutuchagulia
viongozi wapuuzi wa
Bakwata hatuitaki ndo
maana wanauza Mali zetu
na huku wakitetewa na
Serikali
bobovic 2013-02-04
08:42
nashauri maandamano ya
kumtetea shekh ponda
yafanyike kila siku ya
ijumaa kuanzia tarehe
15i2i2013 mpaka hapo
atakapopewa dhamana
Domino 2013-02-04
08:23
Hawa waislamu serikali
imewalea yenywe bila
kuwachukulia hatua pindi
wanapohatarisha amani ya
nchi imekumbuka shuka
kunakucha.Jiandaeni
kudhibiti vurugu hizo.
Mtoto umleavyo....
kipara juakali
2013-02-04 07:48
ALLAHU AKBAR, ALLAHU
AKBAR ALLAHU AKBAR
INSHAALLAH TUKO PAMOJA
NA ALLAH ATAKUWA
PAMOJA NASI KATIKA
KUPIGANIA HAKI SAWA
KWA WOTE.
HIVI NDIVYO SERIKALI YA
CCM INAVYOTAKA HAIKO
RADHI KUTATUA MATATIZO
YA WANANCHI WAKE KWA
AMANI LAKINI WAKO
TAYARI KUTUMIA GHARAMA
KUBWA KUFANYA FUJO
KWA RAIA WASIO NA
HATIA.
Kiislamu jana zimetangaza
maandamano makubwa
yatakayofanyika Februari 15,
mwaka huu iwapo Katibu wao,
Sheikh Ponda Issa Ponda,
hatopewa dhamana.
Azimio hilo lilitangazwa Dar es
Salaam jana na Amiri wa Umoja
wa Wahadhiri wa Kiislamu
Tanzania, Sheikh Kondo Bungo,
wakati akitangaza azimio la
mwisho kwa Waislamu.
Alisema kongamano hilo
lililofanyika katika Uwanja wa
Markaz ni la mwisho, kwa maana
hiyo kuanzia sasa Waislamu hao
wameazimia kufa au kupona hadi
Sheikh Ponda atakapoachiwa kwa
dhamana pamoja na wafuasi
wenzake.
Waumini wote wa dini ya
Kiislamu nchini wasisubiri
kutangaziwa na maimu wao,
ifikapo Februari 14, wote tufike
pale Mahakama ya Kisutu
kusikiliza kesi na iwapo Ponda na
wenzake hawatapewa dhamana
Mkurungenzi wa Mashitaka, Dk.
Elliezer Feleshi ajiandae.
Kwa kuwa Fabruari 15,
tutakwenda ofisini kwake iwe kwa
kutambaa, kutembea, kurukaruka
kichura au kwa namna yoyote ile,
maandamano haya makubwa
nimeyatangaza leo (jana) hivyo
tusilaumiane.
Kwa sababu hii ni hujuma na
dhuluma kwa Waislamu, hii ni
ajenda ya CCM pamoja na
washirika wake katika
kuwadhulumu Waislamu, Ponda
kafanya nini, kutetea ardhi ya
Waislamu ndio anyimwe dhamana,
hatukubali, alisema Bungo.
Alisema kitendo cha kumnyima
kiongozi huyo pamoja na wafuasi
wake dhamana, ni kukiuka Katiba
ya nchi.
Waislamu tumekuwa tukilaumu
na kulalamika lakini sasa mwisho
umefika kinachofuata ni vitendo
tu, na wasituulize kwa sababu
wanatusikia.
Kwa upande wake, mwakilishi wa
Mkoa wa Morogoro, Sheik Ibrahim
Makange, alisema: Tunataka
masheikh wote 10 pamoja na
vijana wetu wengine 17 watolewe
haraka, kwa sababu haiwezekani
sisi tukae ndani na wake zetu
wakati Ponda mchana anangatwa
na inzi, usiku anangatwa na mbu.
Soma maoni ya wadau kisha na wewe utoe yako ya moyoni
"Hawa jamaa na stahili zao
tangu 2001. Kule Zanzibar
walikuwa wanachoma baa
na makanisa tangu 2001
mpaka 2011 lakini
wapoanza kuchoma ofisi za
CCM na kuua askari 2012
ndiyo serikali ikaanza
kushtuka wakati
kumekucha. Viongozi wa
makundi ya fujo kama hizi
za dini ukichunguza sana
siyo raia wa Tanzania kwa
hiyo serikali iamke na
kuwachukulia hatua
kali,mfano Sheikh Ponda
baba yake alihama
Bujumbura Burundi 1957
kahamia Kigoma!
Muungwana 2013-02-04
10:36
Ntakuja kuandamana
tumechoka kudhulumiwa
inaonekana wakristo ndo
wenye nchi hii
wamelalamika kuhusu
kuchinja Mara mora moja
Steven Wasira akaenda
Mwanza kuwasikiliza bado
maelekezo aliyoyatoa
wameendelea kuyakaidi,
Lulu Kauwa lakini kapewa
dhamana Sheikh Ponda
kulikoni? Au ndo Mfumo
Kristo unaomtesa? Na Tabia
ya Serikari kutuchagulia
viongozi wapuuzi wa
Bakwata hatuitaki ndo
maana wanauza Mali zetu
na huku wakitetewa na
Serikali
bobovic 2013-02-04
08:42
nashauri maandamano ya
kumtetea shekh ponda
yafanyike kila siku ya
ijumaa kuanzia tarehe
15i2i2013 mpaka hapo
atakapopewa dhamana
Domino 2013-02-04
08:23
Hawa waislamu serikali
imewalea yenywe bila
kuwachukulia hatua pindi
wanapohatarisha amani ya
nchi imekumbuka shuka
kunakucha.Jiandaeni
kudhibiti vurugu hizo.
Mtoto umleavyo....
kipara juakali
2013-02-04 07:48
ALLAHU AKBAR, ALLAHU
AKBAR ALLAHU AKBAR
INSHAALLAH TUKO PAMOJA
NA ALLAH ATAKUWA
PAMOJA NASI KATIKA
KUPIGANIA HAKI SAWA
KWA WOTE.
HIVI NDIVYO SERIKALI YA
CCM INAVYOTAKA HAIKO
RADHI KUTATUA MATATIZO
YA WANANCHI WAKE KWA
AMANI LAKINI WAKO
TAYARI KUTUMIA GHARAMA
KUBWA KUFANYA FUJO
KWA RAIA WASIO NA
HATIA.