Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Sasa hapo huo mchongo ni upi kwa alichokizungumza shekhe,, ushindie maepo na maji hiyo shoo utapiga vipi,,, asichokitaka kagame kama wanavyofanya kina mwamposa kukanyagisha watu mafuta mpaka wanakufa,,Ndio maana Kagame amewapiga pin mashehe na wachungaji wa mchingo kwa kuwawekea utaratibu maalumu wa kufanya shughuli zao. Ikiwa mtu akishindwa, huondolewa na kufutiwa leseni mara moja.