Nyonzo bin mvule
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 2,428
- 6,929
Sasa hapo huo mchongo ni upi kwa alichokizungumza shekhe,, ushindie maepo na maji hiyo shoo utapiga vipi,,, asichokitaka kagame kama wanavyofanya kina mwamposa kukanyagisha watu mafuta mpaka wanakufa,,Ndio maana Kagame amewapiga pin mashehe na wachungaji wa mchingo kwa kuwawekea utaratibu maalumu wa kufanya shughuli zao. Ikiwa mtu akishindwa, huondolewa na kufutiwa leseni mara moja.
Huyu shehe namkubali sana mkuu; hayumo kwenye orodha ya mashehe wa mchongo. Hapa nimeongelea mashehe wengine wasiokuwa na mwelekeo wakimwemo wale mashehe wanaobishana kuwa Yesu sio Mungu.Sasa hapo huo mchongo ni upi kwa alichokizungumza shekhe,, ushindie maepo na maji hiyo shoo utapiga vipi,,, asichokitaka kagame kama wanavyofanya kina mwamposa kukanyagisha watu mafuta mpaka wanakufa,,
Vitu anavyosema hutokuwa na nguvu sasa mwanaume unakulaje kipande cha tango na tuubwabwa kama mtoto changa ? Hiyo mashine itasimama vizuri kweli?Wakuu.....
Mimi binafsi hua nikimtazama Janab namuona kama vile hayupo sawa kabisa....
Na kiukweli hadi wakati huu alipaswa awe amekula kudu ya mikononi kwenye kitanda pale Mirembe...π
Bila kula ukashiba utapata wapi nguvu za kumdinyia mkewe mkuu?Siku hizi Hawa watumishi nao wanahubiri ngono tu kama ndoa ni ngono tu basi wanaume waache huduma zingine kama ndoa zitakuwepo mtu anawapa elimu ya lishe jitu lingine linawaza ngono kwani kujaza tumbo Kila wakati ndo kupata nguvu za ngono!!!
Nimuogope kwa lipi?Kwani wewe humuogopi mkuu? Hujipendi?
Wewe unadhani shehe kasema uwongo au ukweli? Unaweza kushindia kipande cha muhogo ukamdinya mke akakuelewa?Sema wewe jamaa ni liongo na lipotoshaji kubwa! Umemlisha Sheikh maneno ya uwongo uwongo mengi ambayo hata hajayataja! Maneno kama >>>ukiwa muislamu mwenye wake wanne unaweza kushindwa kumlisha mkeo "chakula cha chini" na hatimaye ndoa zikavunjika. <<< wala Sheikh hajatamka!
Na inawezekana hata clip yenyewe hujaangalia ulivyotumiwa tu na rafiki yako umekimbilia kuianzishia uzi na ndo maana hata jina la Sheikh ukashindwa kuliona wakati limeandikwa pale chini mpaka msikiti!
Ila prof janabi anapoelekea anaenda kuugua, cheki mwili wake ulivyodhohofikaHuwezi kuwa na afya mpaka uwe mwembamba Kama Profesa Janabi.
Nadhani ume - miss point yake. Yeye Pixel alikuwa anaongelea kati ya Prof Janabi na Dr Shika. Hivyo tu, na siyo Sheikh.Huyo shekh jongo mtoto wa mjini kitambo, tena maarufu kuliko hata huyo dokta shika, labda wewe humjui kwenu mwakaleli
π€£π€£π€£Wakuu.....
Mimi binafsi hua nikimtazama Janab namuona kama vile hayupo sawa kabisa....
Na kiukweli hadi wakati huu alipaswa awe amekula kudu ya mikononi kwenye kitanda pale Mirembe...π
π€£π€£π€£Janabi ni daktari mgonjwa.
Siku hizi Hawa watumishi nao wanahubiri ngono tu kama ndoa ni ngono tu basi wanaume waache huduma zingine kama ndoa zitakuwepo mtu anawapa elimu ya lishe jitu lingine linawaza ngono kwani kujaza tumbo Kila wakati ndo kupata nguvu za ngono!!!
π€£ π€£ π€£Bila kula ukashiba utapata wapi nguvu za kumdinyia mkewe mkuu?
π€£ π€£ π€£Wewe unadhani shehe kasema uwongo au ukweli? Unaweza kushindia kipande cha muhogo ukamdinya mke akakuelewa?
Mzunguko wa siku 2/2 huenda ikasaidia ila unatakiwa utoe bao 2 kwa kila mke kwahio kwa week nzima zisipungue bao 8 dah πππ!Wake ni wanne shughuli yake si mchezo shehe π π π π
πMzunguko wa siku 2/2 huenda ikasaidia ila unatakiwa utoe bao 2 kwa kila mke kwahio kwa week nzima zisipungue bao 8 dah πππ!
1. J3 na j4 kwa Sabrina.
2. J5 na alhamisi kwa Latifa.
3. IJumaa na Jmosi kwa Leilah
4. Jumapili kwa Mulky
Otherwise uwe unalala kila week kwa mke mmoja ila hio itakuwa mbaya kupigiwa ni kugusa tuπ