Shehe: Profesa Janabi anataka kutuua, atatuvunjia ndoa

mi sio muislam waraaa waraa na simba wa manzese we zombi haujui...wala mkristo, ila mbona hata biblia inaongelea ngono kuna sehem wameandika "akapaka rungu mafuta kisha akamla mkewe akatulia mithir ya maji kwenywe chopezo, akamgida kwa kumkunja mithiri ya uume kukatika" kasome habakuki
 
Mkuu kitabu cha Habakuki sio cha kibiblia ndio maana hakikuingizwa kwenye biblia takatifu. Ni kitabu cha kipagani.
 
Umeona eeh? Sasa bao zote hizo mtu unashindia kipande cha muhogo si utakufa mkuu? Huyu Profesa anataka kutuua tuache wake zetu w@nat0mbw@ na masela.
 
Mimi nadhani wazee wenzangu mtu ukifika miaka 60 ni bora uachane na sex uangalie mambo mengine au mnasemaje wa mnasemaje ndugu zanguni......
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Analalamika nn kwani ni lazima afuate ushauri wake?ye ale ashibe afurahishe wake zake
Sasa atakulaje ashibe wakati Profesa anamtisha kuwa akishiba atapata maradhi ya moyo? Kudinya na kuacha kula kipi bora?
 
Na huyu shehe naye namkubali sana aisee. Sasa kama imehararishwa kudinyana usiku wa funga, Prof Janabi anataka tule muhogo mmoja ili iweje?

Your browser is not able to display this video.
 
Mimi nadhani wazee wenzangu mtu ukifika miaka 60 ni bora uachane na sex uangalie mambo mengine au mnasemaje wa mnasemaje ndugu zanguni......
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Sex kwa manaume haina kikomo mazee na unazaa kama kawaida. Unatupotosha.
 
Sex kwa manaume haina kikomo mazee na unazaa kama kawaida. Unatupotosha.
Sasa mzee baba miaka 60 si nguvu za kupuliza puliza yanini purukushani....ni kheri upumzike tu.......πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Sasa mzee baba miaka 60 si nguvu za kupuliza puliza yanini purukushani....ni kheri upumzike tu.......πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Ukiwa unakula vizuri kwa kufuata masharti ya Prof Janabi utapiga kazi mpaka utashangaa. Kuna wazee wa miaka 80 wanaoa na kuzaa. Kapuya ana miaka 80 lakini mwaka jana kaoa kigoli na tayari kakizalisha mtoto.
 
Ukiwa unakula vizuri kwa kufuata masharti ya ProfJanabi utapiga kazi mpaka utashangaa. Kuna wazee wa miaka 80 wanaoa na kuzaa. Kapuya ana miaka 80 lakini mwaka jana kaoa kigoli na tayari kakizalisha mtoto.
Duh!!
Kapuya kumbe kale kabinti bado anaishi nako tu na mtoto juu.....labda anajibust bhana.....umri kama huo hawezi kuwa nguvu za kumridhisha huyo binti.........
 
Duh!!
Kapuya kumbe kale kabinti bado anaishi nako tu na mtoto juu.....labda anajibust bhana.....umri kama huo hawezi kuwa nguvu za kumridhisha huyo binti.........
Ukizingatia ulaji mzuri na kufanya mazoezi huhitaji booster mkuu. Babu yangu alioa kabinti akiwa na miaka 90 na akafyatua watoto bila shida
 
Ukizingatia ulaji mzuri na kufanya mazoezi huhitaji booster mkuu. Babu yangu alioa kabinti akiwa na miaka 90 na akafyatua watoto bila shida
Inawezekana hivyo kwa udongo wa zamani siku hizi vijana wakifika miaka 45 keisha kazi.....mke anamuanglia kwa macho tu......anawapa waganga wauza mizizi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…