johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Balozi kaambiwa huyo ndiye MuftiTena wa ubwabwa
Huyu sheikh atakuwa na walakini pahala mbona vituko vingi hivi kipindi cha uchaguzi?Shehe wa mkoa wa Dsm Dr Alhad Mussa Salum amekutana na Balozi wa Marekani nchini Mh Donald na kuzungumzia maswala mbalimbali yanayohusu uchaguzi mkuu.
Balozi Donald ameridhika na jinsi shehe Salum anavyowaongoza viongozi wenzake wa dini kuhakikisha uchaguzi mkuu unakuwa huru na haki na amani inatawala.
Maendeleo hayana vyama!
Ametumia lugha gani ya mawasiliano huyu Mwana Fisiemu?Shehe wa mkoa wa Dsm Dr Alhad Mussa Salum amekutana na Balozi wa Marekani nchini Mh Donald na kuzungumzia maswala mbalimbali yanayohusu uchaguzi mkuu.
Balozi Donald ameridhika na jinsi shehe Salum anavyowaongoza viongozi wenzake wa dini kuhakikisha uchaguzi mkuu unakuwa huru na haki na amani inatawala.
Maendeleo hayana vyama!
Malizia tu ni ass hole.Cha kushangaza wewe hatakualikwa hawawezi kwa sababu ni ass!
Shehe wa mkoa wa Dsm Dr Alhad Mussa Salum amekutana na Balozi wa Marekani nchini Mh Donald na kuzungumzia maswala mbalimbali yanayohusu uchaguzi mkuu.
Balozi Donald ameridhika na jinsi shehe Salum anavyowaongoza viongozi wenzake wa dini kuhakikisha uchaguzi mkuu unakuwa huru na haki na amani inatawala.
Maendeleo hayana vyama!
Ulitaka aonane na Bagonza?Balozi hakushauliwa vizuri kuonana na huyu bwana. Huyu Ni kiongozi wa dini lkn amekuwa akipendelea waziwazi upande mmoja.
Na wewe ni mwislamu kweli?Uyu ni afisa wa usalama wa taifa, na si mwislam ila ni msomi mzuri wa quran na anaijua vzr, anachokifanya hapo ni ana pretend tu kutuwakilisha waislam, na cheo hicho kapewa na serikali.
Ukituuliza waislam juu ya nani kamoa wadhifa huo utopata jibu, manake hakuna mwislam aliyemchagua au kumpitisha kuwa na wadhifa huo.
Waislam tunaMMIND sana uyu muhasherati, mshirikina na mtelekeza watoto wa mitaani.
Hiyo ilikuwa fake mkuu!Yani ile statement ya ubalozi wa USA kuwa Mwl.Nyerere alidumisha maendeleo ya watu na sio vitu kweli imetuchanganya sisi CCM..
Bwashee ndio nini?Kimachame bwashee!
hapa ndiyo angekuwa kakutana na mtu ambaye balozi angemkumbuka daima .Ulitaka aonane na Bagonza?
Na wewe ni mwislamu kweli?
Masikini balozi kamuelewa kweli Hutu sheikh wenu? By the way kenda kwa balozi Kama nani?Shehe wa mkoa wa Dsm Dr Alhad Mussa Salum amekutana na Balozi wa Marekani nchini Mh Donald na kuzungumzia maswala mbalimbali yanayohusu uchaguzi mkuu.
Balozi Donald ameridhika na jinsi shehe Salum anavyowaongoza viongozi wenzake wa dini kuhakikisha uchaguzi mkuu unakuwa huru na haki na amani inatawala.
Maendeleo hayana vyama!
Kama shehe mkuu wa mkoa ambao balozi ni mkazi!Masikini balozi kamuelewa kweli Hutu sheikh wenu? By the way kenda kwa balozi Kama nani?
Shehe ubwabwa kaenda kudanga hela ya Maulid kesho.Shehe wa mkoa wa Dsm Dr Alhad Mussa Salum amekutana na Balozi wa Marekani nchini Mh Donald na kuzungumzia maswala mbalimbali yanayohusu uchaguzi mkuu.
Balozi Donald ameridhika na jinsi shehe Salum anavyowaongoza viongozi wenzake wa dini kuhakikisha uchaguzi mkuu unakuwa huru na haki na amani inatawala.
Maendeleo hayana vyama!