johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
- #21
Kesho ni maulidi ya nani?Shehe ubwabwa kaenda kudanga hela ya Maulid kesho.
Ndiyo zake, twamjua huyo!
Kesho ni maulidi ya nani?Shehe ubwabwa kaenda kudanga hela ya Maulid kesho.
Ndiyo zake, twamjua huyo!
Balozi hakushauliwa vizuri kuonana na huyu bwana. Huyu Ni kiongozi wa dini lkn amekuwa akipendelea waziwazi upande mmoja.
Alienda na Mkalimani ?Shehe wa mkoa wa Dsm Dr Alhad Mussa Salum amekutana na Balozi wa Marekani nchini Mh Donald na kuzungumzia maswala mbalimbali yanayohusu uchaguzi mkuu.
Balozi Donald ameridhika na jinsi shehe Salum anavyowaongoza viongozi wenzake wa dini kuhakikisha uchaguzi mkuu unakuwa huru na haki na amani inatawala.
Maendeleo hayana vyama!
Shehe anajua. Yupo hapa Lumumba saa hizi anaganga njaa... njoo umuulize!Kesho ni maulidi ya nani?
I like the moveiesShehe wa mkoa wa Dsm Dr Alhad Mussa Salum amekutana na Balozi wa Marekani nchini Mh Donald na kuzungumzia maswala mbalimbali yanayohusu uchaguzi mkuu.
Balozi Donald ameridhika na jinsi shehe Salum anavyowaongoza viongozi wenzake wa dini kuhakikisha uchaguzi mkuu unakuwa huru na haki na amani inatawala.
Maendeleo hayana vyama!
amemuambia kuwa huko jimbo la Kawe kuna kura za wizi za Gwajima na Magufuli?Shehe wa mkoa wa Dsm Dr Alhad Mussa Salum amekutana na Balozi wa Marekani nchini Mh Donald na kuzungumzia maswala mbalimbali yanayohusu uchaguzi mkuu.
Balozi Donald ameridhika na jinsi shehe Salum anavyowaongoza viongozi wenzake wa dini kuhakikisha uchaguzi mkuu unakuwa huru na haki na amani inatawala.
Maendeleo hayana vyama!