Sheikh Abeid Amani Karume mwanamapinduzi!

Sheikh Abeid Amani Karume mwanamapinduzi!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Tarehe kama ya Leo 1972, katika viunga vya kisiwandui mzalendo na rais Wa kwanza Wa Zanzibar karume alipokonywa uhai wake na wapinga mapinduzi

Karume alizaliwa 1905 huko mwera,wazazi wake mzee Amani alikuwa na asili ya Nyasaland (Malawi) mamaye Bi Amina alikuwa na asili ya Rwanda na walikutana hapo Zanzibar na kuoana.

Baada ya babaye kufariki karume hakuweza kuendelea na elimu dunia sana kwani aliishia darasa la nne.
Aliweza kujipatia elimu kubwa nje ya darasa kutokana na kusafiri nchi mbalimbali kupitia Kazi yake kama baharia.

Baadaye aliacha ubaharia na kujumuika na vijana wenzie ktk harakati za kisiasa.
Na mwaka 1957 ASP ilizaliwa.

Mwaka 1964,26,April ASP na Umma Party walifanya mapinduzi matukufu kuondoa utawala Wa kisultani Zanzibar

Mara baada ya mapinduzi karume alichaguliwa kuwa rais Wa kwanza Wa Zanzibar.
IMG_20180407_174946_096.jpg


Miezi mitatu baadaye Tanganyika na Zanzibar ziliungana na kuunda Tanzania huku karume akiwa makamu Wa kwanza Wa rais
IMG_20180407_175113_026.jpg

Karume atakumbukwa kwa mengi hasa kuwajali wanyonge na kupinga ubaguzi Wa rangi na kikabila.

Kuwajengea wazanzibar makazi bila tozo yoyote isipokuwa maji na umeme
IMG_20180407_175356_547.jpg
 
Itaebdelea ama imeisha? Kama imeisha basi lengo lako nimeligundua....
 
Kwahiyo hapo ndio mwisho, mbona wakati wa mapinduzi Karume alikuwa kalala na mkewe Bomani?
 
Back
Top Bottom