Sheikh Abuu: Tujihadhari, amani inaweza kuvunjika kupitia mijadala ya kimadhehebu inayoendelea

Bakwata ilitakiwa iwe kama baraza la wakristo Tanzania,taasisi ambayo madhehebu yote ya kiislam yanawasilishwa. Shida iliyopo ni kwamba bakwata ipo chini ya wasunni.
 
Mgawanyiko upo tangu mwanzo, tena ulianzia kwenye family ama ukoo wa mtume, kati ya watoto wa baba mkubwa na baba mdogo🤷🏼‍♀️
 
EAMWS ilikuwa chini ya udhamini wa Agha khan, na ilikuwa na mali nyingi,, sijui agakhan alitibuana vipi na kambarage,, alipigwa stop,, Agha khan ni shia ismailia🤷🏽‍♂️
 

02 February 2023​


Taasisi za Dini Zina Mchango Mkubwa kwa Serikali​



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Hindi Sunni Jamaat Zanzibar, ukiongozwa na Mwenyekiti wake Bw. Nizar Mohammed (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza leo 2-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Taasisi za dini zina mchango mkubwa kwa Serikali hasa kwenye jukumu zima la kuendeleza amani Zanzibar.

Alisema taasisi hizo ndizo zinazowalea vijana kiimani, weledi, ujasiri na uzalendo kwa taifa na viongozi wao jambo ambalo linaimarisha amani na uthubutu wa kufikia maendeleo.
Rais Dk. Mwinyi aliyasema hayo Ikulu, Zanzibar alipozungumza na uongozi wa Jumuiya ya Sunni Jamaat waliofika kujitambulisha.

Alisema taasisi binafsi na za kidini zinajukumu la kuisaidia Serikali kuendeleza huduma za jamii pia aliishukuru jumuiya hiyo kwa juhudi za kuendeleza elimu Zanzibar.

Aidha, alizitaka jumuiya za dini kuendelea kuishauri Serikali kwa mawazo yatakayojenga na kuleta ufanisi kwenye misingi ya maendeleo ya taifa, hata hivyo aliishukuru taasisi hiyo kwa mchango wanaoutoa kwenye sekta ya elimu.
 
UZITO WA KUWA NA UMOJA
Suala la Kubaguana haifa maana Waislamu ni Wamoja Kama Mwili Mmoja, Kiungo Kimoja Kikikosekana Basi Kuna Tatizo - Mufti Hemed Bin Jumaa Bin Hemed

 
05 February 2023

SHEIKH MAJINI, MWAIPOPO WAOMBA MSAMAHA, WAMVAA SHEIKH ALHAD - ''ULIKOSEA, KIBURI CHAKO ...


SHEIKH Sharif Majini na Sheikh Mwaipopo wameibuka mbele ya waandishi wa habari na kuzungumza juu ya sakata la aliyekuwa Sheikh Mkuu Dar Alhad Mussa na ndoa ya Dk Mwaka ambapo wmemtaka Sheikh Alhad aombe msamaha..
 
Answaar Sunna na hao Masunni sio kitu kimoja!?
 
SHEIKH IDDI - TUOMBE DUA, MAKOSA YA KIMKATABA YAREKEBISHWE, ILI TUFAIDI MATUNDA
 
Nyie makristo endeleen kutuchokoza tu,sisi tunawachora....siku kikiwaka tunapita na shingo zenu mtaa kwa mtaa
 
SHEIKH IDDI - TUOMBE DUA, MAKOSA YA KIMKATABA YAREKEBISHWE, ILI TUFAIDI MATUNDA
Njaa inapopanda kichwani ni tatizo. Msichanganye dini na siasa. Kama mna lenu liwekeni wazi badala ya kujificha nyuma ya kumtetea rais. Mnamfanya aonekane mdini na mwenye kuelemea upande wenu. Haimsaidii rais bali mnamtengenezea ajali ya kisiasa. Bakwata yenyewe haikubaliki kwa waislam wengi nchini. Inaonekana kama kibaraka wa kawaida wa serikali.
 
Nyie makristo endeleen kutuchokoza tu,sisi tunawachora....siku kikiwaka tunapita na shingo zenu mtaa kwa mtaa
Huna la kufanya tutaumana kisebengo wewe. Mdini mkubwa wewe .
 
mimi sio mkatoliki, ila huwa nawaheshimu sana mapadri kwa kuijali sana elimu, wanasoma sana hadi awe padri ndio maana wanachoongea ni cha kisomi na kimantiki. tuendelee kusisitiza, elimu elimu elimu.
 
Inajulikana kizazi cha wazee wa mjini waislamu walikuwa mstari wa mbele kupinga ukoloni na kujitolea kuisaidia TANU / CCM kwa hali na mali ili Tanganyika iwe huru kutoka makucha ya mkoloni.

Fast forward 2023 viongozi wa karne hii kuwa chawa, mawakala, madalali, vibaraka na mamluki wa mstari wa mbele kabisa kutetea ubeberu na ukoloni mamboleo nini kimewapata wazee wa mjini wa kileo ambao mababu zao wa miaka ya 1950 walipinga kuwa watwana ndani ya nchi yao.

Je kuna tatizo kwa baadhi ya viongoni wa dini ya Uislamu Tanganyika kukemea ukoloni kwa sasa ?


Nyerere azungumzia dini ziwe mstari wa mbele katika ukombozi wa kweli

21 Mar 2020
Managua, Nicaragua

Julius Nyerere - Nini Kimewapata viongozi wa dini mmeamua kukaa kimya huku mnaona uonevu ukitamalaki !

Description

JULIUS NYERERE Former President of Tanzania Speech in Nicaragua in 1988
On August 15th, 1988, Julius Nyerere, former president of Tanzania, gave a public lecture at a church in Managua. President Daniel Ortega spoke next. THIS VIDEO PRESENTS THE TALK BY NYERERE. In 1979 the Nicaraguan people, under the leadership of the Sandinista Front for National Liberation, had overthrown the Somoza dictatorship. Many Christians had participated in various ways in the struggle for liberation and continued to take part in the programs of the revolutionary government. During the 1980s the Sandinista Revolutionary Government, which included three priests in the cabinet, sought to move Nicaragua in a socialist direction but had to concentrate resources on defending the country and the revolution against the US-supported counter-revolutionaries (Contras). In early 1990, Daniel Ortega was defeated at the polls by a broad coalition which had Violeta Chamorro as its candidate. Julius Nyerere (1922 – 1999) was a Tanzanian anti-colonial activist, politician, and political theorist. He governed Tanganyika as Prime Minister from 1961 to 1962 and then as President from 1963 to 1964, after which he led its successor state, Tanzania, as President from 1964 to 1985. Ideologically an African nationalist and African socialist, he promoted a political philosophy known as Ujamaa
Source: Joseph Mulligan


Picha kwa hisani ya memba wa JF Mzee Mohamed Said

Soma zaidi harakati za wazee wa mjini katika mapambano ya kutaka uhuru wa Tanganyika. Source Tusiwatukane wala kuwakejeli Wazalendo wa TANU Waliopigania Uhuru wa Tanganyika
 
Hao wazee wa mji gani? Kila mahali kuna wazee walipambana. Mbona wachaga wanatengwa Sana wakati wamepambana vibaya mno wakati wa uhuru.
 
wazee wa mji gani?

Wazee wa mji waliomkaribisha Julius Nyerere katika mji wa Dar es Salaam huku wakimpa full support waweze kwa pamoja kumgoa mkoloni .

Inashangaza kuwa kizazi chao wapigania uhuru, mwaka huu 2023 yaani watoto, wajukuu na vitukuu vyao sasa wamegeuka kuwa mawakala na kuwakubatia wakoloni na mabeberu.

Picha wazee wa TANU wakiwa na kijana wao Julius Nyerere mwaka 1954
 
CCM ndio mabeberu wenyewe tena wabaya kuliko wale weupe.
 
Kobaz vs Kobaz hapa nakaa pembeni. Ngoja niagize njugu na kokakola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…