Sheikh alalamika kutembea kwa miguu

Sheikh alalamika kutembea kwa miguu

Kwa hili la kutokuwapa mali wapumbavu wanao jitaja kwa jina la mungu kumbe ni wahuni tu ...wakristo igeni ...wacheni upumbavu wa kupeleka fungu la 10 makanisani ni laana kufanya hivyo....kama ilivyo andikwa mnampa nguvu shetani
Kwahiyo unataka wakuletee wewe?
 
Kwa hili la kutokuwapa mali wapumbavu wanao jitaja kwa jina la mungu kumbe ni wahuni tu ...wakristo igeni ...wacheni upumbavu wa kupeleka fungu la 10 makanisani ni laana kufanya hivyo....kama ilivyo andikwa mnampa nguvu shetani
Fungu la kumi ni laana tangu lini ?
 
Huenda umechanganyikiwa
 
Fungu la kumi ni laana tangu lini ?
Siyo fungu la 10 tu sadaka zote mnazo toa makanisani ni laana ...sijui kama unajua kuwa kanisa siyo nyumba ya ibada? Pia sijui kama unajua maana ya haya maandiko 👉 msitupe lulu zenu chini ya nguruwe wasije waka geuka na kuzikanyaga kanyaga na kuwararueni ! Lulu ni mali zako na nafsi yako ...nguruwe ni makanisa na watumishi wake mwamposa kiboko ya wachawi...mfalme zumalidi ...kakobe ..gamwanywa nk hao wote ni wahuni tu
 
Kwa hili la kutokuwapa mali wapumbavu wanao jitaja kwa jina la mungu kumbe ni wahuni tu ...wakristo igeni ...wacheni upumbavu wa kupeleka fungu la 10 makanisani ni laana kufanya hivyo....kama ilivyo andikwa mnampa nguvu shetani
Imeandikwa wapi msitoe zaka? Biblia ipi? Hayo makanisa yanajengwa na kuendeshwa na upagani wako? Hao watumishi wa kanisa wanalipwa na tozo ya serikali? Yesu aliposema "nanyi mtoapo sadaka hata mkono wako wa kushoto usijue ufanyalo mkono wako wa kuume? au aliposema "mjane huyo ametoa zaidi" zilikuwa ni sadaka kwenye matambiko yenu?
 
Back
Top Bottom