Sheikh alalamika kutembea kwa miguu

Sheikh alalamika kutembea kwa miguu




Kwani ukusoma habariya sadaka za torati hadi mikate anakula
Sadaka za torati hadi mkate anakula 😂😂😂😂 ndiyo kiswahili gani hicho ? Andika vizuri sio unaandika huku unafuturu mihogo, andika vizuri
 
Piganeni waislamu kwa wakristo mpka akili ikae sawa....

Mbona waganga hawana shida

Mbona dini ya kihindi Haina shida ninyi mna nn hasa ?
Hao waganga watapigana vipi wakati wapo chini yake? Halafu msaada wapate wapi!
 
Kwa hili la kutokuwapa mali wapumbavu wanao jitaja kwa jina la mungu kumbe ni wahuni tu ...wakristo igeni ...wacheni upumbavu wa kupeleka fungu la 10 makanisani ni laana kufanya hivyo....kama ilivyo andikwa mnampa nguvu shetani
Waislamu hawanaga fungu la KUMI? Unajua ZAKA ni kitu gani? Ipo kwenye dini zote mkuu
 
Back
Top Bottom