Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ahahhaah inafikirisha sana πAtaweza kuendesha baiskeli akiwa kavaa kanzuπ€
Wana hamna adabu π€£π€£π€£π€£Ataweza kuendesha baiskeli akiwa kavaa kanzuπ€
Kwa hili la kutokuwapa mali wapumbavu wanao jitaja kwa jina la mungu kumbe ni wahuni tu ...wakristo igeni ...wacheni upumbavu wa kupeleka fungu la 10 makanisani ni laana kufanya hivyo....kama ilivyo andikwa mnampa nguvu shetaniAmewataka waislamu wawajari
Kwahiyo unataka wakuletee wewe?Kwa hili la kutokuwapa mali wapumbavu wanao jitaja kwa jina la mungu kumbe ni wahuni tu ...wakristo igeni ...wacheni upumbavu wa kupeleka fungu la 10 makanisani ni laana kufanya hivyo....kama ilivyo andikwa mnampa nguvu shetani
Halafu apite buguruni au pale boma Kwa Baiskeli!π π π πWana hamna adabu π€£π€£π€£π€£
Fungu la kumi ni laana tangu lini ?Kwa hili la kutokuwapa mali wapumbavu wanao jitaja kwa jina la mungu kumbe ni wahuni tu ...wakristo igeni ...wacheni upumbavu wa kupeleka fungu la 10 makanisani ni laana kufanya hivyo....kama ilivyo andikwa mnampa nguvu shetani
Huenda umechanganyikiwaKwa hili la kutokuwapa mali wapumbavu wanao jitaja kwa jina la mungu kumbe ni wahuni tu ...wakristo igeni ...wacheni upumbavu wa kupeleka fungu la 10 makanisani ni laana kufanya hivyo....kama ilivyo andikwa mnampa nguvu shetani
Ma konyoππ...Amewataka waislamu wawajari
Amewataka waislamu wawajari
Ajabu shangaa hata wewe, ila kwenye viringe wanatoaFungu la kumi ni laana tangu lini ?
Hapana wakuletee wewe mtume koko uzidi kutunisha kijambioKwahiyo unataka wakuletee wewe?
Kivipi boy πHuenda umechanganyikiwa
Siyo fungu la 10 tu sadaka zote mnazo toa makanisani ni laana ...sijui kama unajua kuwa kanisa siyo nyumba ya ibada? Pia sijui kama unajua maana ya haya maandiko π msitupe lulu zenu chini ya nguruwe wasije waka geuka na kuzikanyaga kanyaga na kuwararueni ! Lulu ni mali zako na nafsi yako ...nguruwe ni makanisa na watumishi wake mwamposa kiboko ya wachawi...mfalme zumalidi ...kakobe ..gamwanywa nk hao wote ni wahuni tuFungu la kumi ni laana tangu lini ?
Hivi Daudi ni Nabii au sio NabiiDini ya munyazimungu wameshindwa kumnunulia baiskeli kiongozi wao?
Imeandikwa wapi msitoe zaka? Biblia ipi? Hayo makanisa yanajengwa na kuendeshwa na upagani wako? Hao watumishi wa kanisa wanalipwa na tozo ya serikali? Yesu aliposema "nanyi mtoapo sadaka hata mkono wako wa kushoto usijue ufanyalo mkono wako wa kuume? au aliposema "mjane huyo ametoa zaidi" zilikuwa ni sadaka kwenye matambiko yenu?Kwa hili la kutokuwapa mali wapumbavu wanao jitaja kwa jina la mungu kumbe ni wahuni tu ...wakristo igeni ...wacheni upumbavu wa kupeleka fungu la 10 makanisani ni laana kufanya hivyo....kama ilivyo andikwa mnampa nguvu shetani