Sheikh Alfarouk: Kwenye kuapishana kwenu msitumie Msahafu. Mtu hana udhu anakama? Acheni kufanyia kejeli

Sheikh Alfarouk: Kwenye kuapishana kwenu msitumie Msahafu. Mtu hana udhu anakama? Acheni kufanyia kejeli

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Sheikh Haji Alfarouk; "Endeleeni na Siasa zenu, kwenye kuapishana kwenu, msikamate Msahafu, kwasababu mnachoapia ninyi ni kuilinda Katiba mpaka kufa kwenu. Mtu yupo kwenye siku zake anachukuwa Msahafu anaapa, Sheikh awataka Viongozi wa Kisiasa kuachana na kitabu kitakatifu cha Quran"

 
Huyo sheikh anatumia darubini gani kujua kuwa hao wanaoapishwa wapo kwenye siku zao?
kuna mchepuko wake uligoma kumpa tunda kwa madai kwamba yupo mwezini, cha kushangaza usubuhi yake anamuona akiapa huku kashika msaafu, hapo ndo penye shda.
 
Back
Top Bottom