Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mauaji ya October 29 damu mliyomwaga inatosha kusema "msitumie kuapishwa kwa kitabu kitakatifu kwa sababu mpo katika siku zenu".Huyo sheikh anatumia darubini gani kujua kuwa hao wanaoapishwa wapo kwenye siku zao?
kuna mchepuko wake uligoma kumpa tunda kwa madai kwamba yupo mwezini, cha kushangaza usubuhi yake anamuona akiapa huku kashika msaafu, hapo ndo penye shda.Huyo sheikh anatumia darubini gani kujua kuwa hao wanaoapishwa wapo kwenye siku zao?