PreGE2025 Sheikh Alhad Mussa aomba watakaomtakia mabaya Rais Samia wapate kiharusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hebu jionee Mwenyewe

===
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa Amani iliyopo kwa uwezo wa mungu

"Na yeyote atakayemtakia mabaya mama huyu, Mwenyezi Mungu ampe stroke ya hatari...semeni Amin..... Yeyote atakayemuandama mama huyu atakayemtakia shari Mwenyezi Mungu ampe kiharusi kikubwa sana" - Sheikh Alhad Mussa Salum

Halafu Toa Maoni yako
SS hiko kiharusi hawatapa Kwa jina la Yesu, sawa na isaya 7:7
Haitakuwa , hazitafanikiwa,sawa zab 33:10 natangua na kubatilisha hayo maneno na masahauri yote tusiyoyajua Kwa jina ya Yesu na natafuta Kwa hao aliowakusudia yamrudie

Nayarudisha kwake na familia yake maneno yote aliyotamka sawa na neno la Bwana, imeandikwa kipimo kilekile alichopima ndo apimiwe ...
 
Hebu jionee Mwenyewe

===
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa Amani iliyopo kwa uwezo wa mungu

"Na yeyote atakayemtakia mabaya mama huyu, Mwenyezi Mungu ampe stroke ya hatari...semeni Amin..... Yeyote atakayemuandama mama huyu atakayemtakia shari Mwenyezi Mungu ampe kiharusi kikubwa sana" - Sheikh Alhad Mussa Salum

Halafu Toa Maoni yako

Usikute ndiye Malaria 2 mwenyewe
 
1740036881746.jpg
kimpate mwenyewe
 
Back
Top Bottom