PreGE2025 Sheikh Alhad Mussa aomba watakaomtakia mabaya Rais Samia wapate kiharusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sheikh anachanganya dini na siasa, siasa na afya
 
Hata huyo kishki nae ni mjanja mjanja tu..

Mzee suala la dua kupokelea kwa haraka ni suala zito, kwanza linahitaji usafi wa mtu, sio kuoga bali nafsi na matendo.
Sasa hawa masheikh wetu wajanja wajanja, matapeli, wazinifu, mara wanajitia waganga, mara vituo vya watoto yatima pesa wanakula.. hakuna sheikh huyo, hawa wa siku hizi wengi wajanja wajanja
Maashekh wanafanya Sana uzinzi nimeona Sana hii kitu wanaujanja mwingi Sana .
 
Huyo Kiboko yake ni Dr.Mwaka tu.

hayo Maombi aliwahi kumuombea Mange Kimambi naona yakamrudia yeye hahahaha.
 
Ujinga na upumbavu una kipimo, ili ukifikia wa sheikh huyu basi ujuwe milembe kunamfaa!
 
Hebu jionee Mwenyewe

===
wenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa Amani iliyopo kwa uwezo wa mungu

"Na yeyote atakayemtakia mabaya mama huyu, Mwenyezi Mungu ampe stroke ya hatari...semeni Amin..... Yeyote atakayemuandama mama huyu atakayemtakia shari Mwenyezi Mungu ampe kiharusi kikubwa sana" - Sheikh Alhad Mussa Salum
View attachment 3343010

Halafu Toa Maoni yako
Kuna mambo yanafurahisha na kusikitisha sana
 
Hiyo ndo dini?

Atapata yeye kabla wengine hawajapata

Anaingiza siasa na dini
 
Hebu jionee Mwenyewe

===
wenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa Amani iliyopo kwa uwezo wa mungu

"Na yeyote atakayemtakia mabaya mama huyu, Mwenyezi Mungu ampe stroke ya hatari...semeni Amin..... Yeyote atakayemuandama mama huyu atakayemtakia shari Mwenyezi Mungu ampe kiharusi kikubwa sana" - Sheikh Alhad Mussa Salum
View attachment 3343010

Halafu Toa Maoni yako

..Chawa ndio wasiomtakia mema Mama Samia.

..genge la wasiojulikana ndio wanaochafua heshima ya Mama, na taswira ya nchi yetu.
 
Huyu naye atuondolee upuuzi wake hapa, alimsomea dua mbaya Mange Kimambi hadi leo Mange anatamba matokeo yake yeye ndiye alimwagwa kwenye nafasi aliyokuwepo. Halafu tuna ishu yake na Babake Mo Dewji akileta za kuleta tutaifufua.
Issue gani hiyo??
 
Hebu jionee Mwenyewe

===
wenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa Amani iliyopo kwa uwezo wa mungu

"Na yeyote atakayemtakia mabaya mama huyu, Mwenyezi Mungu ampe stroke ya hatari...semeni Amin..... Yeyote atakayemuandama mama huyu atakayemtakia shari Mwenyezi Mungu ampe kiharusi kikubwa sana" - Sheikh Alhad Mussa Salum
View attachment 3343010

Halafu Toa Maoni yako
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 takbir
 
Ni sawa wanaoshangilia kufa kwa magu ni kujibiwa maombi mkuu.

Hizo team zote zisichekane
Bora alikufa maana angeendelea kuua wengi.
nae Idi Amini mama atakufa kifo kibaya sana kwa dhambi ya upotezaji watu
 
Kumsifia Saa100 ni kuleta laana kwenye jamii
Mwanaharakati wa Uganda Agather Atuhaire ameeleza jinsi alivyoshikiliwa na kutendewa mateso na mamlaka za Tanzania kabla ya kuachwa kwenye mpaka wa Tanzania-Uganda usiku wa jana.

Wanaaharakati wengine wa haki za binadamu wameongeza vitisho vya kuwashitaki serikali ya Tanzania kwa ukiukaji wa haki za binadamu.

Hii inajiri saa chache baada ya mwenzake, mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi, kuachwa pia kwenye kituo cha mpaka wa Horohoro kati ya Kenya na Tanzania.

Serikali ya Tanzania, tena, ilimwachilia mwanaharakati wa Uganda Agather Atuhaire usiku wa Alhamisi, akiachiwa kwenye mpaka wa Mutukula kati ya Tanzania na Uganda.

Kushikiliwa kwake na mateso makali yanafanana na kile kilichomkuta Boniface Mwangi, ambaye kwa sasa anapata matibabu katika hospitali ya Nairobi.

"Wakati nilipofika huko, agizo la kwanza ni kuondoa nguo zangu. Kabla sijafanya chochote, kulikuwa na mtu aliyenipiga mgongoni na mwingine aliyenichukua nguo zangu kwa nguvu. Walinirushia chini na kunifunga pingu. Walijaribu kunivaa sweta ili majeraha kwenye mikono yangu yawe makali sana," alisema Atuhaire.

"Kuna mmoja anayeipiga chini ya miguu yangu kwa nguvu, maumivu yalikuwa makali sana na mwingine ananitia kitu katika ... hivyo hiyo ni ubakaji, kwa viwango vyote."

Atuhaire alisema aliteswa kabla ya kuachwa kilomita chache kutoka kituo cha mpaka.

"Miguu yangu, nilikuwa nikipiga kelele na walinifunga mdomo. Waliongeza sauti ya gari. Mwanzoni, sikuwa najua hiyo ilikuwa kwa ajili gani hadi niliposikia Boniface akipiga kelele. Waliongeza sauti ili nisiweze kumsikia lakini maumivu waliyokuwa wakimfanyia yalikuwa makali sana," aliongeza.

Wakati huo huo, wanaharakati zaidi wameukosoa Rais wa Tanzania Samia Suluhu kwa madai ya ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya raia wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

"Tuna demand watu waliowapa mateso haya wawajibishwe, wakiwemo wale wanaoongoza uhalifu huu, ambao umeonekana kuwa agizo la Suluhu Hassan," alisema Nungi Githuku, mwanaharakati.

"Hatutakubali udhalimu kukita mizizi katika maeneo ya Afrika Mashariki. Na kwa Waafrika wote huu ni wakati wa kusimama imara na kusema hatutatumiwa tena," alisisitiza Hussein Khalid, Mkurugenzi Mtendaji wa Vocal Africa.
 
Hebu jionee Mwenyewe

===
wenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa Amani iliyopo kwa uwezo wa mungu

"Na yeyote atakayemtakia mabaya mama huyu, Mwenyezi Mungu ampe stroke ya hatari...semeni Amin..... Yeyote atakayemuandama mama huyu atakayemtakia shari Mwenyezi Mungu ampe kiharusi kikubwa sana" - Sheikh Alhad Mussa Salum
View attachment 3343010

Halafu Toa Maoni yako
Apate yeye hicho kiharusi
 
Alhad UISLAMU ulishamshinda kitambo sana

Huyu ashaingia hadi makanisani kisa kulingania dini mseto

Kiufupi huyu ndio miongoni mwa wapumbavu wa BAKWATA
 
Tukiwaambia hizi dini ni utapeli mnatuona wachawi

Ona Sasa Mungu mwenye Huruma anaombwa awatie Ugonjwa Binadamu.

Unabaki unajiuliza kama Mungu anaombwa alete mabalaa ubaya wa Shetani ni nini kama mabalaa hayatoki kwake
Ujinga wako na wa aliyeongea ndio shida

Huyo hapo haongelei dini bali ni maslahi yake binafsi

Huyu aliomba Mangi kimambi afe, je amekufa?

Dua za kishamba shamba hata kwenye paa la bati haifiki,

Acha kukosoa dini kwa ajili ya mpumbavu kama Alhad

Huyu ana mambo mazito Sema kwa kuwa BAKWATA ndio wale wale ndio maana Bado anatamba ila hamna kitu pale
 
Hawa ndo maana wanadanganywa kuwa kule Mbinguni Mungu kawaandalia Mabikra wa kufanya nao ngono.

Wamemfanya Mungu kama mshikaji wao na muuza kahawa mwenzao
Wagalatia kwenye ubora wenu
Kazi kuongea vitu msivyovijua
 
Hebu jionee Mwenyewe

===
wenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa Amani iliyopo kwa uwezo wa mungu

"Na yeyote atakayemtakia mabaya mama huyu, Mwenyezi Mungu ampe stroke ya hatari...semeni Amin..... Yeyote atakayemuandama mama huyu atakayemtakia shari Mwenyezi Mungu ampe kiharusi kikubwa sana" - Sheikh Alhad Mussa Salum
View attachment 3343010

Halafu Toa Maoni yako
Kabla ya kwenda mbele atuambie ile laana yake kwa Mange iliishia wapi?
 
Back
Top Bottom