Allah Akbar !Takhbiiiiiirrrr
Mtume Muhammad (SAW) alipokuwa Ta’if akiitafuta msaada wa Waquraishi, alikutana na dhulma na matusi kutoka kwa watu wa Ta’if. Walimpiga mawe mpaka damu ikatoka mwilini mwake. Malaika Jibril alikuja na kumwambia kuwa kama Mtume akitaka, anaweza kuwaamrisha malaika wa milima kuwaangamiza watu wa Ta’if. Lakini Mtume akasema:
Wewe mbona hujaanza na maoni hako?Hebu jionee Mwenyewe
===
wenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa Amani iliyopo kwa uwezo wa mungu
"Na yeyote atakayemtakia mabaya mama huyu, Mwenyezi Mungu ampe stroke ya hatari...semeni Amin..... Yeyote atakayemuandama mama huyu atakayemtakia shari Mwenyezi Mungu ampe kiharusi kikubwa sana" - Sheikh Alhad Mussa Salum
View attachment 3343010
Halafu Toa Maoni yako
😆😆😆😆😆Huyu mbona anahangaika sana,Si miezi kadhaa imepita aliyaagiza majini nchi nzima eti yaanze kumtafutia kura mama yaani unayaomba majini na unategemea matokeo?
Huyu mama ufalme wake ushagawanywa,hakuna dua hakuna majini yatasaidia,sasahivi anajaziliza kipimo cha uovu tu ili aondolewe
Naogopa KiharusiWewe mbona hujaanza na maoni hako?
Usiogope mremboNaogopa Kiharusi
Kwanza tunaomba mrejesho wa ile sala kuwa Selemani wa morogoro afe kabla ya ramadhani. Hawa watu wa dini wana mbwembwe sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hebu jionee Mwenyewe
===
wenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa Amani iliyopo kwa uwezo wa mungu
"Na yeyote atakayemtakia mabaya mama huyu, Mwenyezi Mungu ampe stroke ya hatari...semeni Amin..... Yeyote atakayemuandama mama huyu atakayemtakia shari Mwenyezi Mungu ampe kiharusi kikubwa sana" - Sheikh Alhad Mussa Salum
View attachment 3343010
Halafu Toa Maoni yako
Shehe ubwabwa kwenye ubora wake! Mpuuzi sana na mjinga sana!wa kwanza wewe uliyeandika huu uzi upatwe na hayo
Hawa ndo maana wanadanganywa kuwa kule Mbinguni Mungu kawaandalia Mabikra wa kufanya nao ngono.Hebu jionee Mwenyewe
===
wenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa Amani iliyopo kwa uwezo wa mungu
"Na yeyote atakayemtakia mabaya mama huyu, Mwenyezi Mungu ampe stroke ya hatari...semeni Amin..... Yeyote atakayemuandama mama huyu atakayemtakia shari Mwenyezi Mungu ampe kiharusi kikubwa sana" - Sheikh Alhad Mussa Salum
View attachment 3343010
Halafu Toa Maoni yako
Na Rais samia aliyetowa amri ili watu watekwe nakuuwa yeye apate nini?Hebu jionee Mwenyewe