PreGE2025 Sheikh Alhad Mussa aomba watakaomtakia mabaya Rais Samia wapate kiharusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hebu jionee Mwenyewe

===
wenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa Amani iliyopo kwa uwezo wa mungu

"Na yeyote atakayemtakia mabaya mama huyu, Mwenyezi Mungu ampe stroke ya hatari...semeni Amin..... Yeyote atakayemuandama mama huyu atakayemtakia shari Mwenyezi Mungu ampe kiharusi kikubwa sana" - Sheikh Alhad Mussa Salum
View attachment 3343010

Halafu Toa Maoni yako
Yeye mbona ana UKIMWI tumenyamaza
 
Waislam akili huwa hamna vichwa vimejaa tende tu.
 
Hebu jionee Mwenyewe

===
wenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa Amani iliyopo kwa uwezo wa mungu

"Na yeyote atakayemtakia mabaya mama huyu, Mwenyezi Mungu ampe stroke ya hatari...semeni Amin..... Yeyote atakayemuandama mama huyu atakayemtakia shari Mwenyezi Mungu ampe kiharusi kikubwa sana" - Sheikh Alhad Mussa Salum
View attachment 3343010

Halafu Toa Maoni yako
Muulize kilichompata Agatha Arthure ,wa Uganda.
 
Mutukula, Uganda

View: https://m.youtube.com/watch?v=dTYcRsL2OFU
 
Mungu atakuwa wa ajabu sana kumuacha samia achekelee na damu za watu kwa maneno ya skeikh ubwabwa!. Samia ni takataka jimama lenye roho mbaya...
 
Allahu Akbar, shehe ubwabwa kafufuka.
Hebu jionee Mwenyewe

===
wenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa Amani iliyopo kwa uwezo wa mungu

"Na yeyote atakayemtakia mabaya mama huyu, Mwenyezi Mungu ampe stroke ya hatari...semeni Amin..... Yeyote atakayemuandama mama huyu atakayemtakia shari Mwenyezi Mungu ampe kiharusi kikubwa sana" - Sheikh Alhad Mussa Salum
View attachment 3343010

Halafu Toa Maoni yako
 
Huyo shekh malaya kishaacha kwanza umalaya wake? Atutolee unafiki wake hapa. Wataanza wao, na hiyo miaka na stroke ni pua na jicho.

#muheshimuanayekupikiasumubeirahisi#
 
Mpuuzi sana huyu sheikh,Mimi hapa namtakia mabaya huyu mzanzibar,arudi kwao Tanganyika sio sehemu sahihi ya yeye kutawala
 
Hebu jionee Mwenyewe

===
wenyekiti wa Jumuiya ya Amani na Maridhiano Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum amekemea vikali wanaharakati wanaoleta Taharuki Nchini na kwamba hawatafanikiwa kuondoa Amani iliyopo kwa uwezo wa mungu

"Na yeyote atakayemtakia mabaya mama huyu, Mwenyezi Mungu ampe stroke ya hatari...semeni Amin..... Yeyote atakayemuandama mama huyu atakayemtakia shari Mwenyezi Mungu ampe kiharusi kikubwa sana" - Sheikh Alhad Mussa Salum
View attachment 3343010

Halafu Toa Maoni yako
Huyu alisema baada ya mtume muhammad ni makonda kwahiyo wote tunajua kwenye maokoto huwa hakopeshi anamsahau hata mungu wakena wazazi wake, inna lillahi wa inna ilaihi rajiun
 
Kuna baadhi ya masheikh wamekuwa mafala sana siku hizi! Dini yake mwenyewe inasema “WANAUME NDIO VIONGOZI WA WANAWAKE” Sasa mbona anakinzana na Imani ya dini yake?

Itakuwa kuna pahali ananufaika sio bure! Ujinga ni mwingi sana siku hizi.
 
Huyu naye atuondolee upuuzi wake hapa, alimsomea dua mbaya Mange Kimambi hadi leo Mange anatamba matokeo yake yeye ndiye alimwagwa kwenye nafasi aliyokuwepo. Halafu tuna ishu yake na Babake Mo Dewji akileta za kuleta tutaifufua.
Hebu ifufueni ili na sisi tusiojua chochote tuweze kujua.
 
Back
Top Bottom