Uchaguzi 2020 Sheikh Alhad Mussa Salum asema Sheikh Mohamed Idd ni mshamba anayesumbuliwa na njaa, adai ana laana

Uchaguzi 2020 Sheikh Alhad Mussa Salum asema Sheikh Mohamed Idd ni mshamba anayesumbuliwa na njaa, adai ana laana

Mjinga ni mtu gani?!
Anyways, wengine tumekaa sana nchi za nje kuna des mots ya kiswahili tunayatafuta tunakosa ndio maana we mix the two langes (oops hapa nime mélanger na ki français)
Hivo monsieur tuna ku demander utu forgive tu maana sio kwamba we like it.
Ne hésitez pas kutu critisize lakini parceque that's how tunajifunza
Mkuu mbona unajifanya ccm?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hii vita ya viongozi wa dini ni ya kimaslahi zaidi, inaonekana kimya kimya huwa wanavuta bahasha ili waje watuhubirie amani feki isiyokuwa na haki ndani yake, kuna mmoja yeye mahubiri yake ni kumsifia bwana nanihii eti kazuia korona, kajenga flyover, sijui na vitu gani halafu mwisho wa siku anatumia saa nzima kuhimiza sadaka hadi povu linamtoka, bila kujali hao waumini anaowatolea povu watoe sadaka wako hoi bin taabani kutokana na sera mbovu za uchumi za bwana ninihiiii..
teh teh 🤣🤣🤣 huyo jamaa mbona humtaji Sasa?
 
Tunawasihi watanzania kufuata sheria, kutofanya fujo wala kuharibu mali. Tuwe watulivu muda wote huku tukisimamia haki zetu. Tupige na kulinda kura zetu bila hofu wala woga wowote hii ni Haki zetu kisheria. Ukipiga kura kaa umbali wa mita 200 kutoka kituo cha kura. TUTASHINDA!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shehe wa mkoa wa DSMsm Alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini.

Kiukweli shehe alhad Salum ameongea maneno makali na mazito kana kwamba siyo kiongozi wa dini.

Shehe Alhad Salum ametumia lugha ya "mtaani" kumshambulia shehe mwenzake kama Uislam ndio huu basi sidhani kama kweli ni dini ya Amani.

CCM kumekucha kwa kweli.

Maendeleo hayana vyama!

Alhad ni nini?
 
Lissu mbeba maono kila anaejaribu kimfitini, M/Mungu anamdharirisha hapa hapa Duniani.
Shekhe wa Dar, al-maarufu "mnusa mavi wa Dar," umedharirika sana.
Kama alivyo dharirika Magufuli kwa mauaji yake yalioshindwa kwa LISSU.
 
Shehe wa mkoa wa DSMsm Alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini.

Kiukweli shehe alhad Salum ameongea maneno makali na mazito kana kwamba siyo kiongozi wa dini.

Shehe Alhad Salum ametumia lugha ya "mtaani" kumshambulia shehe mwenzake kama Uislam ndio huu basi sidhani kama kweli ni dini ya Amani.

CCM kumekucha kwa kweli.

Maendeleo hayana vyama!
Duh
 
Back
Top Bottom