Uchaguzi 2020 Sheikh Alhad Mussa Salum asema Sheikh Mohamed Idd ni mshamba anayesumbuliwa na njaa, adai ana laana

Sheikh ubwabwa, huyu sheikh wa mkia sijui, ni kama Makonda tu.

Kiherehere hakimuishi, sijui kwakua hana kazi ya kufanya?
 
Shehe wa mkoa wa DSMsm Alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini.

Kiukweli shehe alhad Salum ameongea maneno makali na mazito kana kwamba siyo kiongozi wa dini.

Shehe Alhad Salum ametumia lugha ya "mtaani" kumshambulia shehe mwenzake kama Uislam ndio huu basi sidhani kama kweli ni dini ya Amani.

CCM kumekucha kwa kweli.

Maendeleo hayana vyama!
Huyu Sheikh wa mkoa ambaye ni muislamu na kiongozi wa waislamu amewaangusha waislamu wa mkoa wake kwa kuomba dua kwa jina la Yesu kumfurahisha mkuu wake ama watu fulani.

Na haya matusi aliyojibu kwa Sheihk Iddi wa channel 10 ni wazi kwamba huyu sheikh anatumiliwa sana kuuhujumu uislamu, mwenzake alitumia hoja na references za Quran na khadithi kupangua hoja za muislamu kuomba dua kwa jina la Yesu yeye anarudi anamuita mwenzake sjui mshamba, mjini kamleta yeye haya yote yana maana gani. Uislamu ni dini iliyokamilika kama ameshindwa kujieleza kwanini ameomba kwa jina la yesu angejiuzulu hiyo nafasi akaungane na wanaoona yesu ni mungu na huomba kwake.

Wakiristo wakiona hivi wataona dini ya kiislamu ni dhaifu ilhali majibu ya haya mambo yapo wazi wazi kabisa kwenye vitabu vyetu.
 
Wakristo wa zama hizi ni wajanja wana mjuwa kabisa uyo ni Shekhe bwabwa
 
Nimekuelewa mkuu!
 
Ivi nafasi ya kuwa sheikh wa mkoa alichaguliwa na nani? nina wasiwasi huyu anajaribu tu kuuvaa uislamu lakin ni tofauti, muislam hawez kumtaja yesu kabisa katika matarajio yake.
 
Utaweka wapi sura yako.?.
ndo maana nikakwambia ugomvi wa wakubwa Mimi siingilii
Mkubwa ni ALLAH pekee
Screenshot_20201025-163155.jpg
 
ila huyu anayejiita shekhe wa mkoa hana hekima hata kidogo.
Screenshot_20201025-171237.jpg
 
Jamani uzi ufungwe tu maana masheikh walikua wanafanya kiki 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Dah siku hizi hizi kiki zimekua nyingi sasa.
 
Hawa mashekehe njaaa zitawaua kweli. Sisi Ndio maana tunamuamini shekhe wetu Ponda
 
Hivi dada Faizafoxy yuko wapi?? mashehe wanararurana kishezi 🙄🙄
 
Ajibu hoja badala ya kutoa povu zito.

Unajua huyu Sheikh Al Had huyu, huyu jamaa home tuna uhusiano nae wa karibu kabisa lakini juzi nilijiuliza swali kama hilo alilohoji Sheikh Mohammed Idd kwamba huyu Al Had kachaguliwa wapi na nani!

Anyway, kwavile mie sio mfuatiliaji wa haya mambo ya dini sikuhoji kachaguliwa wapi na nani kwa sababu sifahamu taratibu zao lakini nikajiuliza "huyu mheshimiwa mbona nimeanza kumsikia akiwa Sheikh wa mkoa tangu nikiwa kijana na sasa nazeeka bado tu Sheikh wa Mkoa... ina maana hiki cheo ni cha kudumu, au?"

Hadi leo sijapata jibu, lakini Mohammed Iddy kaniongezea maswali mengine ya msingi!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom