Uchaguzi 2020 Sheikh Alhad Mussa Salum asema Sheikh Mohamed Idd ni mshamba anayesumbuliwa na njaa, adai ana laana

Shehe wa mkoa wa DSMsm Alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini.

Kiukweli shehe alhad Salum ameongea maneno makali na mazito kana kwamba siyo kiongozi wa dini.

Shehe Alhad Salum ametumia lugha ya "mtaani" kumshambulia shehe mwenzake kama Uislam ndio huu basi sidhani kama kweli ni dini ya Amani.

CCM kumekucha kwa kweli.

Maendeleo hayana vyama!
Duh.... maneno ya Sheikh haya...!.
P
 
Muda ni mwalimu mzuri sana.....he technology shikamoo
 
Shekhe ubwabwa alipaswa kuwa muimba taarabu tu. Siyo kwa mitusi hii aliyokuwa anaporomosha.
 
Shehe wa mkoa wa DSMsm Alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini.

Kiukweli shehe alhad Salum ameongea maneno makali na mazito kana kwamba siyo kiongozi wa dini.

Shehe Alhad Salum ametumia lugha ya "mtaani" kumshambulia shehe mwenzake kama Uislam ndio huu basi sidhani kama kweli ni dini ya Amani.

CCM kumekucha kwa kweli.

Maendeleo hayana vyama!
John njoo huku wamefukua kaburi, huyu sheikh hapa alipaswa kutumbuliwa nashangaa akatoboa
 
Back
Top Bottom