Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Sheikh kipenyo wa Dar kaumbuka balaa , xnatumikia tumbo na chama Cha kijani kibichi .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh.... maneno ya Sheikh haya...!.Shehe wa mkoa wa DSMsm Alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini.
Kiukweli shehe alhad Salum ameongea maneno makali na mazito kana kwamba siyo kiongozi wa dini.
Shehe Alhad Salum ametumia lugha ya "mtaani" kumshambulia shehe mwenzake kama Uislam ndio huu basi sidhani kama kweli ni dini ya Amani.
CCM kumekucha kwa kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Muda ni mwalimu mzuri sana.....he technology shikamooShehe wa mkoa wa DSMsm Alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini.
Kiukweli shehe alhad Salum ameongea maneno makali na mazito kana kwamba siyo kiongozi wa dini.
Shehe Alhad Salum ametumia lugha ya "mtaani" kumshambulia shehe mwenzake kama Uislam ndio huu basi sidhani kama kweli ni dini ya Amani.
CCM kumekucha kwa kweli.
Maendeleo hayana vyama!
Huyo alikuwa ni shehena siyo Sheikh, kibaraka wa Ccm ndio alidhani Ccm itamkingia kifuwa miaka yote.Duh.... maneno ya Sheikh haya...!.
P
John njoo huku wamefukua kaburi, huyu sheikh hapa alipaswa kutumbuliwa nashangaa akatoboaShehe wa mkoa wa DSMsm Alhad Salum amesema shehe Mohamed Idd anayerusha vipindi vya dini kupitia Channel ten ni mshamba na kwamba yeye alhad Salum ndio kamleta mjini.