johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Shehe mkuu wa mkoa wa Dsm Alhad Mussa Salum amewataka mashehe wote mkoani Dsm kuzingatia maelekezo ya wizara ya afya ya kuweka vitakasa mikono na maji tiririka na sabuni na watakaopuuza misikiti yao itafungwa.
Pia ukaaji wakati wa ibada uwe ni wa kuachiana nafasi kiasi cha kutopumuliana.
Aidha shehe Alhad Mussa Salum ametangaza kuifunga ofisi yake kwa muda wa siku 30 kama tahadhari ya kudhibiti maambukizi ya Corona.
Source ITV habari!