KERO Sheikh alia na hali mbaya ya vyoo Mbezi Magufuli stendi

KERO Sheikh alia na hali mbaya ya vyoo Mbezi Magufuli stendi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265

Ujumbe nitakaoutuma, naomba huu ujumbe ufike, niombi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Mimi nimeingia leo kutoka safari, tumefikishwa Mbezi... waitwaje ile stendi mpya? Mbezi Magufuli. Ningeomba Mkuu wa Mkoa au yule aliyeweka lile jambo, enda katembelee ile sehemu. Je, yastahili kuwapeleka watu?

Tumeingia alfajiri, vyoo vidogo, watoto wadogo wamejazana vyoni, wanalia. Na kila anayeingia chooni amekishika, alafu vyoo vyenyewe ukiingia kama cho... unacho... hupaa. Unajua kupaa? Na ukitoka yule alioko mlangoni hata kukuyuwa kwa makini imepaa au ulipe, maanake naenda kusikia harufu ya kulipa.

Ni mahala hapasahili kiubinadamu, maanake lau daktari yeyote atakuenda kule ataamrisha ile sehemu ifungwe. Haiko healthy kabisa.

Pili, jambo jingine, kama hajatunguza ile environment ilivyo au yale mambo yalivyo, naona kama kuna watu walimshauri vibaya. Kwa sababu, sisi tumeteremshwa kwenye gari tukatwa kwenye Coaster, kisha lile lile basi tulilokuja nalo sisi, tumefuatanalo Nyamkolete mpaka ofisini kule tuka... tukiwa na mabegi. Yaani basi lafaa kuingia lakini disingie na watu.

Kama nkulipa, zile zile, fatuache tulipe turudi tena, tutawalipa lenye Coaster wao babaki pale pale, lakini tuache mle mle kwenye basi. Ametutia kwenye Coaster tumekazana, wewe fikiria basi zima watu waingia kwenye Coaster.

Kwa hiyo, ni kitu tunaomba, na raha ya maulidi ni haya, kukiwa kuna jambo la maslahi yazungumzwe. Hatulaumu, tu ni ombi. Alifikirie Mkuu wa Mkoa hili jambo, ende kule akaangalie, sehemu ni ndogo ile haitoshi. Gari za mkoani ni nyingi kushinda hesabu.

Vyoo havitoshi, mbali na mbali ni kututesa. Kama sisi kawaida huwa hii alfajiri shadhili, kabla alfajiri shadhili. Haturowa alfajiri hoko kwenye kituo ni hatukuiwa shadhili, hatukua hata ishraqi pia hatukuiwayi.

Kwa hiyo, niko unyenyekevu, walifikirie tena uzuri uzuri hili jambo. Je, lafaa au halifai? Hili ndio ombi langu na nafikiri kuna na wengi watamani hili ombi lizungumzwe. Lekini mimi nimebahatika nalo, nimeona niliseme ni jukumu kwa Mungu.

Moja katika uzuri wa kusema ni kusema mambo kama haya kwa unyenyekevu, hatuilaumu serikali, twainyenyekea serikali, twaiomba serikali ilifikirie hili jambo kwa uzuri inshaAllah Taala, Mwenyezi Mungu atatutakabalia haya tuloyafanya
 
Sheikh yupo sahihi na siyo ombi watu wanaingia mule hawaingii bure wanalipa pesa zao tena Tsh 500/= per kichwa inatakiwa huduma za msingi kama hizo ziwekwe kwa uhakika ukichukulia ukubwa wa ile stendi.
 
Sheikh yupo sahihi na siyo ombi watu wanaingia mule hawaingii bure wanalipa pesa zao tena Tsh 500/= per kichwa inatakiwa huduma za msingi kama hizo ziwekwe kwa uhakika ukichukulia ukubwa wa ile stendi.
Bado na ukilipa hiyo, ukihitaji huduma ya choo unalipa tena Shs 200 hadi 300.
 
Back
Top Bottom