Sheikh Bakoz: Wizi unaofanyika bandarini unabarikiwa na kanisa Katoliki

Sheikh Bakoz: Wizi unaofanyika bandarini unabarikiwa na kanisa Katoliki

Taasisi za dini Zina msamaha,wahuni hutumia mihuri ya taasisi za dini kupitisha mizigo Yao halafu taasisi zinapata chochote kitu
Kwani ni kanisa tu si mpaka taasisi za kiislamu, NGOs etc wanaqualify kupata msamaha wa kodi fulani?
 
Kwa nini serikali haiwakamati hao wahuni?
Jiulize kwanza; wangeyasema hayo hadharani bila ya woga bila ya kujuwa ni wapi serikali inakolalia?

Ingawa mfano nitakaokupa siyo mzuri sana kulinda hoja yangu hapo juu, ngoja nikupe huo mfano halafu utafikia uamzi wako mwenyewe.
Mfano ni huu: Uliwahi kusikia mropokaji yeyote wa aina ya hawa wa leo wakati wa kichaa Magufuli?
 
Ni vyema mods mkafuta uzi wowote wenye mrengo wa kidini.

Kwa kweli huwa sijui ni kwa nini wa Afrika wameathiriwa na dini kwa kiasi kikubwa, dini ambazo chanzo chake ni middle east ambapo kila siku watu wanauwana. Watu badala ya kupokea imani wamepokea dini na hapa ndipo shida imapoanzia.

Nimezaliwa na baba mkristo na mama muislamu hivyo sijawahi kuona ubaya wa mtu kutokana na uislamu wake au ukristo wake au uzuri wa mtu kutokana na uisilamu wake au ukristo wake. Ubaya au uzuri hauna dini. Siasa haina dini japo viongozi wake huapa kwa kutumia vitabu vitakatifu. Kazi kubwa ya dini kuwafundisha waumini wake kumjua Mungu na kuitafuta amani ya moyo ili kuepuka kutenda maovu ambayo ni chukizo mbele za Mungu, na waumini wake hata wanasiasa wamo
 
Hawa hawatofautiani na ndugu yao anaechanganya mambo kwa kusema ataajiri walimu wa sayansi na hisabati ili watoto wakifika darasa la tatu wajue kusoma na kuandika
 
Adui no.1 wa Tz ni CCM...
Msitutoe kwenye reli!

Mshakula hela zao, pigeni kelele.
 
Kumbe waarabu wa Dubai walishaondoka wakaja wakatoliki kuendesha bandari, am I outdated?
 
Kumbe waarabu wa Dubai walishaondoka wakaja wakatoliki kuendesha bandari, am I outdated?
 
Mashekh kadhaa wametoka na kutoa mapovu yao kwa Kanisa Katoliki na kutoa tuhuma nzito sana!

Wamedai kwamba wizi unaendelee katika Bandari umebarikiwa na Kanisa Katoliki, na kusema kwamba waislamu wa leo si kama walipita wa sasa wameenda shule na wamesoma.

Wakatoliki wanaibariki vipi wizi wa bandari? Hivi hawa masheikh ubwabwa wanaelewa wanachosema? Kwa hiyo DP World imetoka Vatican? Kweli akili ni nywele.Uwezo mdogo wa kufikiri kama mama yao.
 
Madhara ya kung'ang'ania ILIMU na siyo Elimu ndiyo haya sasa
 
Fraud ya kutumia mihuri ni individual crime, siyo policy ya taasisi, usichanganye uhalifu wa mtu mmoja na heshima ya taasisi nzima.
Hawa watu wanachekesha, kitu wanachosema kimekosa substance, wahuni gani wanapitisha vitui? DP World ni ya wakatoliki? Achana nao hao, uwezo wao wa kufikiri ni mdogo kama huyo mama yao, binti Kiziwi, anayeleta wachawi hadi bungeni.
 
Hili picha kama vile limetengenezwa ili kuhamisha upepo, ila hofu yangu hii propaganda wasije wakashindwa kuicontrol ikaja kuwa serious nchi ikaingia kwenye vita..
 
Hii vita ya raia dhidi ya wale jamaa wa chama Fulani, naona bakwata wanainunua kwa nguvu hii vita.
 
Kwa kusema hivyo huyo sheikh mnampamba kweli hapo ana phd ila siku akiwa upande wa haki za wengine mnasema ana elimu ya madrasa hajui chochote

Wanasiasa acheni kutumia dini na watu wa dini kupitisha agenda zenu mnaliharibu taifa dini ni Imani siasa ni ushabiki kama mpira tu
Akisema yaliyo ya haki tutamuunga mkono
 
Back
Top Bottom