Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ask muslim society.Adhabu ya kaburi ndiyo nini?
إنا لله و إنا إليه راجعونSHEIKH DOGA AMEFARIKI DUNIA
Kutoka ukurasa wa Sheikh Ibrahim Ghulaam
إنا لله وإنا إليه راجعون
INNAA LILLAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN
Mmoja wa Masheikh Maarufu na bobezi mno katika fani ya Shariah Sheikh Muharram Juma Doga amefariki usiku wa kuamkia leo Jumanne na kuzikwa wakati wa Adhuhuri Temeke jijini Dar es salaam
Sheikh Doga ni katika Masheikh wacheche ambao wakikwenda kusoma masomo yao ya elimu ya juu lakini wakiwa tayari ni Masheikh wa kitegemewa
Masheikh kadhaa wa Afrika Mashariki waliosoma nchini Saudi Arabia hasa katika jijini la Madina walipata msaada mkubwa wa Sheikh Doga pale walipotatizika na baadhi ya Masuala ya kifiq'h au misamiati ya Kisharia
Sheikh Doga pamoja na upeo mkubwa wa kielimu aliokuwa nao alidhihirika kwa ukubwa wa kujishusha kwake
Kwa kipindi kirefu Sheikh Doga alikuwa akifundisha Shule ya Alharamaini iliopo mtaa Shauri moyo Kariakoo Dar es Salaam pia alikuwa na darsa katika Madrasat yake iliopo Temeke mtaa mmoja nyuma ya viwanja vya Maulid(Mwembe yanga)
Sheikh Doga pia amekuwa ndie Mwanyekiti wa Kurugenzi ya FAT'WA ya Umoja Wa Wanazuoni Wa Kiislaam Tanzania (Hay-atul Ulamaa)
Mchango wa Mwanachuoni huyu ni vigumu kupatikana Mwanachuoni atakae ushikilia kwa ukamilifu wake
Kuna mengi ya kusema ingawa kwa Sasa tusimamie hapo
Twamuomba Allah amkubalie juhudi na nitihada zake na amsamehe makosa na mapungufu yake na amuingize katika rehema na pepo yake tukufu aamiyn
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جناتك يارب العالمين
View attachment 3075287
Ni adhabu wanazoadhibiwa makafiri na waovu wengine kaburini kabla ya kufufuliwa siku ya kiyama. Sasa kwa sababu hakuna binadmu aliyekamilika, anapokufa muislamu mwenzetu tunamuombea kwa Allaah kama mwislamu huyu aliteleza akafanya dhambi ambayo yapasa kwa dhambi hiyo kuadhibiwa kaburini basi Allaah AMSAMEHE na amuepushe na adhabu ya kaburi. SWALI LAKO LIMEJIBIWA.Adhabu ya kaburi ndiyo nini?
Allah ampe shufaaSHEIKH DOGA AMEFARIKI DUNIA
Kutoka ukurasa wa Sheikh Ibrahim Ghulaam
إنا لله وإنا إليه راجعون
INNAA LILLAHI WAINNAA ILAYHI RAAJIUUN
Mmoja wa Masheikh Maarufu na bobezi mno katika fani ya Shariah Sheikh Muharram Juma Doga amefariki usiku wa kuamkia leo Jumanne na kuzikwa wakati wa Adhuhuri Temeke jijini Dar es salaam
Sheikh Doga ni katika Masheikh wacheche ambao wakikwenda kusoma masomo yao ya elimu ya juu lakini wakiwa tayari ni Masheikh wa kitegemewa
Masheikh kadhaa wa Afrika Mashariki waliosoma nchini Saudi Arabia hasa katika jijini la Madina walipata msaada mkubwa wa Sheikh Doga pale walipotatizika na baadhi ya Masuala ya kifiq'h au misamiati ya Kisharia
Sheikh Doga pamoja na upeo mkubwa wa kielimu aliokuwa nao alidhihirika kwa ukubwa wa kujishusha kwake
Kwa kipindi kirefu Sheikh Doga alikuwa akifundisha Shule ya Alharamaini iliopo mtaa Shauri moyo Kariakoo Dar es Salaam pia alikuwa na darsa katika Madrasat yake iliopo Temeke mtaa mmoja nyuma ya viwanja vya Maulid(Mwembe yanga)
Sheikh Doga pia amekuwa ndie Mwanyekiti wa Kurugenzi ya FAT'WA ya Umoja Wa Wanazuoni Wa Kiislaam Tanzania (Hay-atul Ulamaa)
Mchango wa Mwanachuoni huyu ni vigumu kupatikana Mwanachuoni atakae ushikilia kwa ukamilifu wake
Kuna mengi ya kusema ingawa kwa Sasa tusimamie hapo
Twamuomba Allah amkubalie juhudi na nitihada zake na amsamehe makosa na mapungufu yake na amuingize katika rehema na pepo yake tukufu aamiyn
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جناتك يارب العالمين
View attachment 3075287
Hiyo dua wachimba makaburi hawaipendi huwa wanasema wao huwa hawaombewi hiyo dua wakichimba makaburiAllah akuepushe na adhabu ya kaburi
Akichomwa wewe unafaidika nini labda?Lolote limpate. Achomwe milele, ova
Kumbe mtu anakufa na dhambi maombi kwa mola yanamuepusha na adhabu!Ni adhabu wanazoadhibiwa makafiri na waovu wengine kaburini kabla ya kufufuliwa siku ya kiyama. Sasa kwa sababu hakuna binadmu aliyekamilika, anapokufa muislamu mwenzetu tunamuombea kwa Allaah kama mwislamu huyu aliteleza akafanya dhambi ambayo yapasa kwa dhambi hiyo kuadhibiwa kaburini basi Allaah AMSAMEHE na amuepushe na adhabu ya kaburi. SWALI LAKO LIMEJIBIWA.
R.IPSHEIKH DOGA AMEFARIKI DUNIA