Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifaidiki kituAkichomwa wewe unafaidika nini labda?
Ujinga huu.Nasikitika sana anakufa bila kumjua na kumpokea kristo,hasara iliyoje kwake.
Mpaka dunia ya leo unaamini ngano za kuna adhabu kaburini?Ni adhabu wanazoadhibiwa makafiri na waovu wengine kaburini kabla ya kufufuliwa siku ya kiyama. Sasa kwa sababu hakuna binadmu aliyekamilika, anapokufa muislamu mwenzetu tunamuombea kwa Allaah kama mwislamu huyu aliteleza akafanya dhambi ambayo yapasa kwa dhambi hiyo kuadhibiwa kaburini basi Allaah AMSAMEHE na amuepushe na adhabu ya kaburi. SWALI LAKO LIMEJIBIWA.
Naam sisi Waislam tunaamini kuwa kuna adhabu ya kaburi hata kama mtu atayayuka katika acid.Mpaka dunia ya leo unaamini ngano za kuna adhabu kaburini?
Na wale wanaozika kwa mtindonwa creamation adhabu yao wapi?
Ukishakufa kaburini ni kwenda kuhifadhi tu mwili nafsi inakuwa imetwaliwa.
Mkae mkijuwa vitabu vyote vimeandikwa na binadamu, Mungu hajaandika hata kitabu kimoja.
Magumashi tu, soma surat Mariam 19: 71 Waislamu wote wanakwenda motoni.Naam sisi Waislam tunaamini kuwa kuna adhabu ya kaburi hata kama mtu atayayuka katika acid.
Namuomba Allah aniepushe adhabu ya kaburi. Allah awasamehe waumini (wa kiislam) wanaume na waumini (wa kiislam) wanawake, na waislam wanaume na waislam wanawake, walio hai miongoni mwao na waliofariki. Aameen.
Tumeridhia Allah kuwa Mola wetu na Uislam kuwa Dini yetu na Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) kuwa Nabii wetu.