TANZIA Sheikh Doga amefariki Dunia

إنا لله وإنا إليه راجعون
🥺
 
Huyu Sheikh nakumbuka alikuwa maarufu kutoa elimu ya dini RTD kwa miaka mingi
 
Mpaka dunia ya leo unaamini ngano za kuna adhabu kaburini?

Na wale wanaozika kwa mtindonwa creamation adhabu yao wapi?

Ukishakufa kaburini ni kwenda kuhifadhi tu mwili nafsi inakuwa imetwaliwa.

Mkae mkijuwa vitabu vyote vimeandikwa na binadamu, Mungu hajaandika hata kitabu kimoja.
 
Naam sisi Waislam tunaamini kuwa kuna adhabu ya kaburi hata kama mtu atayayuka katika acid.

Namuomba Allah aniepushe adhabu ya kaburi. Allah awasamehe waumini (wa kiislam) wanaume na waumini (wa kiislam) wanawake, na waislam wanaume na waislam wanawake, walio hai miongoni mwao na waliofariki. Aameen.

Tumeridhia Allah kuwa Mola wetu na Uislam kuwa Dini yetu na Muhammad (Swala na Salamu ziwe juu yake) kuwa Nabii wetu.
 
Magumashi tu, soma surat Mariam 19: 71 Waislamu wote wanakwenda motoni.

Sasa huwezi kutumia common sense kama hivi vitabu vyote vina walakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…