Sheikh Dr. Sulle atumia maji kuponya waumini wa kiislamu

Majini yameumbwa kumwabudu Allah, kwañini muyaunguze kwa hayo maji?
 
Kwani kuna shido jamani eti maajabu yako wapi sasa mmesahau yule ishumael alipokuwa mchanga mama yake alivyokuwa kakurupushwa na mke wa ndoa wa abrahamu mungu alimtuma malaika afanyeje maji hayo hayo so acheni kukurupuka eti maajabu maajabu gani sasa mbona kawaida maji ni uhai jamani maji yanasiri so waislam acheni ushamba😂😂😂🙌
 
Huyu ni miongoni mwa Masheik matapeli , kwa Waislamu waliosoma dini kisawasawa na kufuatilia kwa uangalifu mkubwa hawawezi kumzingatia huyo kama Sheikh kwani ana mambo mengi ya uongo , batili na kinyume na Uislamu.
 
Alimnywesha Maji Kisima cha Zamuzamu pale Saudi enzi hizo Mesopotamia
 
Huyu ni miongoni mwa Masheik matapeli , kwa Waislamu waliosoma dini kisawasawa na kufuatilia kwa uangalifu mkubwa hawawezi kumzingatia huyo kama Sheikh kwani ana mambo mengi ya uongo , batili na kinyume na Uislamu.
Mashekh wamekula Shule hasa huyu Dr Sule yuko njema.

Anyway kuna shekhe ambaye sio yapeli? Au kiongozi gani wa Dini hapa Tz ambaye sio tapeli? Nktajie
 
Kwa wajinga pekee ndio watamuona amekula shule , Mimi Zamani nilikuwa na mtazamo huo huo kwa kumuona jamaa ni mwamba kwenye upande wa Dini mpaka Sayansi na historia ila nikaja kugundua janja janja yake Kuna Bonge la Boko la wazi kabisa alilitoa kuhusu historical fact na kuongea uongo kabisa.

Baadae nikaja kugundua hata upotoshaji wake ktk masuala ya kidini na kisayansi pia.
 
Sasa kama aliongwea 80% kweli akakosea 10% kuna ubaya gani?
 
Back
Top Bottom