Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mufti amechanja lini Mzee.Ameshachanja Mufti hivyo msimamo wa waislamu ulishajulikana!
Hakuna kiongozi wa waislamu anaitwa MuftiAmeshachanja Mufti hivyo msimamo wa waislamu ulishajulikana!
Huyu Sheikh Farif Mussa ni Msemaji wa BAKWATA? Maana Tanzania tunaitambua BAKWATA tu kama chombo cha Waislamu!Hapa nazidi kuchanganyikiwa. Natizama, nasikiliza nasema hiiii. Wanatimiza matakwa ya kikatiba.
But wito wangu ni kuwa sawa ni matakwa ya kikatiba na Imani yao lakini nendeni mkachanjwe wadau. Nendeni please. Msije mkafa mkatuacha tumebaki wachache.
View attachment 1875425
Nafikiri tunaitaji ufafanuzi wa wataalam.Hapa nazidi kuchanganyikiwa. Natizama, nasikiliza nasema hiiii. Wanatimiza matakwa ya kikatiba.
But wito wangu ni kuwa sawa ni matakwa ya kikatiba na Imani yao lakini nendeni mkachanjwe wadau. Nendeni please. Msije mkafa mkatuacha tumebaki wachache.
View attachment 1875425
Umeisoma hiyo habari au umekimbilia kusoma tittle?!Una dukuduku bado?View attachment 1875429
Hakuna kiongozi wa waislamu anaitwa Mufti
Huyo ni kiongozi wa BAKWATA
Ameshachanja Mufti hivyo msimamo wa waislamu ulishajulikana!