Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Hakika mkuu wangu.....👍Wanazuoni wanahitaji elimu ya ziada jinsi chanjo zinavyofanya kazi. Nimeshangaa sana madai ya Sheikh kuwa chanjo zianabadilisha mfumo wa DNA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika mkuu wangu.....👍Wanazuoni wanahitaji elimu ya ziada jinsi chanjo zinavyofanya kazi. Nimeshangaa sana madai ya Sheikh kuwa chanjo zianabadilisha mfumo wa DNA.
Sisi hata hatufanini na US na UK jinsi hii ishu ya covid inavoshuulikiwa mkuu. Siasa siasa siasa tu hadi kwenye maisha ya watu. Si ajabu leo mama akibadili msiamamo basi serikali nzima itabadili upepo hapo hapo .hata USA au UK kuna wanaopinga
Kabla ya kuleta hizo evidence umesoma fact sheets za hizo chanjo? Maana fact sheets zinatengenezwa na manufacurer na wengi mnaongea tu ila hamjazisoma.Tuwekee facts za hao madaktari na manesi wanaopinga tujadili.
Ukiweka utafanya la maana sana.
americasfrontlinedoctors.org
Mazezeta sana.Hvi unafikiri hao wanaopinga wote ni mazezeta? Na wewe uliyekubali ndo Una akili kuwazidi ??! Think twice
BAKWATA ni ya watu wa dini ipi?Hakuna kiongozi wa waislamu anaitwa Mufti
Huyo ni kiongozi wa BAKWATA
Kama zina pelekea watu kuwa chakula ya wengine (USHOGA)siku za mbele huko,huoni kama tayari ni mabadiliko ya kimaumbile?.Nafikiri tunaitaji ufafanuzi wa wataalam.
Maana sehem hiyo ya aya inasema......."I will command them so they will change the creation of Allah"
Huyo ni shetani anajinasibu kuwa atawalazimisha mwanadamu wabadili uumbaji wa Mungu.
Pia wanazuoni watuambie hayo maumbile yanayobadirishwa ni kwa ajili ya kujaribu kuokoa maisha ya watu au kwa ajili ya anasa?
Tuelimishane tusigombane.
Pigene chanjo tu alafu baadae mkiwa mashoga tuwatafune tu.[emoji23][emoji23][emoji23]Bwana farid amezingua sana.
Ilikuwa busara atulie huyu jamaa asijitie kujua kila kitu.
Anaweka Qurani mahala sipo kabisa.
DNA mambo ya kitaalamu sana ambayo sidhani kama sheikh farid anayafahamu vizuri zaidi ya kuyajua juu juu tu.
Kwani nchi hizo zinaongizwa na mamlaka za dini au za kidunia tu?.[emoji1787][emoji1787]
Ashaikhul kiraam Farid akumbuke kuwa MAKKAH na JERUSALEM mamlaka zao zimeamua wananchi wachanje........
Leo Waislam hawaendi kuhiji Makkah na Madinah bila ya CHANJO.......?!!
Leo Wakristo hawaendi kuhiji Jerusalem na Bethlehem bila ya CHANJO....?!!
#TujitokezeniKuchanja
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
#KaziIendelee
Chanjo zote ni vijidudu vinavyo enda kupandikizwa mwilini ambavyo mwili haukuwa navyo.Wanazuoni wanahitaji elimu ya ziada jinsi chanjo zinavyofanya kazi. Nimeshangaa sana madai ya Sheikh kuwa chanjo zianabadilisha mfumo wa DNA.
Thats why nimeandika hapo kuwa wataalam watuambie how the God's creation will be changed.?Kama zina pelekea watu kuwa chakula ya wengine (USHOGA)siku za mbele huko,huoni kama tayari ni mabadiliko ya kimaumbile?.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Hao unaowaita wataalamu ndio waliungana na utawala wa awamu ya 5 kuzipinga hizo chanjo.Wataalamu wana kazi kubwa sana ya kuwaelimisha watu wengi mfano wa huyu shekhe.
Tena kazi kubwa kuliko tunavyoweza kufikiri.
🤣Mnapinga kwa hisia bila facts zozote za kisayansi.
Mnapinga mpaka kwa imani za kidini.
Mtu anakwambia chanjo ndo 666 mara chanjo ndo mnyama na ujinga mwingine mwingi.
Sasa kwanini wanaopinga wasionekane mbumbumbu kama sababu zenyewe ndo hizo.
Sioni haja ya mjadala katika suala la chanjo. Kila mtu ana uhuru wake. Anayetaka kuchanja achanje; asiyetaka asichanje, period.Mkuu kwani weye hautakufa ukichanja hiyo chanjo? hapa hakuna cha legasi kaka je huyu sheikh nae amebadirishwa akili na legasi? kwanini mnalazimisha sana tuwaamini nyie tu? subiri miaka 10 ijayo ukiwa hai uone matokeo ya kuchanjwa.
ohooo!!! nyie mnaochanjwa ndo mnaoaswa kuwa makini msije mkafa wote mkatuacha wachacheHapa nazidi kuchanganyikiwa. Natizama, nasikiliza nasema hiiii. Wanatimiza matakwa ya kikatiba.
But wito wangu ni kuwa sawa ni matakwa ya kikatiba na Imani yao lakini nendeni mkachanjwe wadau. Nendeni please. Msije mkafa mkatuacha tumebaki wachache.
View attachment 1875425
Hivi hawana mishipa ya aibu ?Serikali ilishazingua tangu kipindi cha mwendazake kuzikandia hizo chanjo, serikali nzima ilizipiga mawe si maprofesa wala madaktari.
Leo wanakuja na swaga mpya na matangazo kibao ni lazma wananchi tuwe na viulizo sana kuhusu hii misimamo yao inayoyumba yumba.
Hizo nchi ndizo chimbuko la DINI mbili kubwa....Kwani nchi hizo zinaongizwa na mamlaka za dini au za kidunia tu?.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Magufuli alikuwa alfa na omega.Hao unaowaita wataalamu ndio waliungana na utawala wa awamu ya 5 kuzipinga hizo chanjo.
Leo wamebadili gia angani na wanapata tabu kuwaelimisha raia.
Wanavuna walichokipanda.
kimbiza kimbiza hapa Gwajima kule Farid hapa hachanjwi mtu nawaonea huruma mliochanjwaHapa nazidi kuchanganyikiwa. Natizama, nasikiliza nasema hiiii. Wanatimiza matakwa ya kikatiba.
But wito wangu ni kuwa sawa ni matakwa ya kikatiba na Imani yao lakini nendeni mkachanjwe wadau. Nendeni please. Msije mkafa mkatuacha tumebaki wachache.
View attachment 1875425