DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Rubbish.Imam wa msikiti wa Manyema jijini Dar es Salaam, Sheikh Hameed Jongo amesema harambee ya zaidi ya Shilingi Bilioni 86 iliyochangwa na watu mbalimbali kwa ajili ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu ni ishara kuwa yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita yana tija kwa wananchi.
Akizungumza wakati wa kutoa hotuba ya Ijumaa kwenye msikiti huo, SHeikh Jongo ameongeza kuwa michango hiyo itasaidia kupatikana kwa maendeleo na amani ya nchi chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Credit by Azam Tv
MamakeImam wa msikiti wa Manyema jijini Dar es Salaam, Sheikh Hameed Jongo amesema harambee ya zaidi ya Shilingi Bilioni 86 iliyochangwa na watu mbalimbali kwa ajili ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu ni ishara kuwa yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita yana tija kwa wananchi.
Akizungumza wakati wa kutoa hotuba ya Ijumaa kwenye msikiti huo, SHeikh Jongo ameongeza kuwa michango hiyo itasaidia kupatikana kwa maendeleo na amani ya nchi chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Credit by Azam Tv
Sheikh hapa amekoseaImam wa msikiti wa Manyema jijini Dar es Salaam, Sheikh Hameed Jongo amesema harambee ya zaidi ya Shilingi Bilioni 86 iliyochangwa na watu mbalimbali kwa ajili ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu ni ishara kuwa yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita yana tija kwa wananchi.
Akizungumza wakati wa kutoa hotuba ya Ijumaa kwenye msikiti huo, SHeikh Jongo ameongeza kuwa michango hiyo itasaidia kupatikana kwa maendeleo na amani ya nchi chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Credit by Azam Tv
Dr.Samia Suluhu Hassan ni kiongozi fantastic,Imam wa msikiti wa Manyema jijini Dar es Salaam, Sheikh Hameed Jongo amesema harambee ya zaidi ya Shilingi Bilioni 86 iliyochangwa na watu mbalimbali kwa ajili ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu ni ishara kuwa yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita yana tija kwa wananchi.
Akizungumza wakati wa kutoa hotuba ya Ijumaa kwenye msikiti huo, SHeikh Jongo ameongeza kuwa michango hiyo itasaidia kupatikana kwa maendeleo na amani ya nchi chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Credit by Azam Tv
Nilitarajia comments Kama hiiNamuunga mkono imamu
Hawa ndo Watumishi wa Mungu sasa
Sawa Sheikh, kwa kauli yako hii tayari una mabikra 72 ukifika ahera.Imam wa msikiti wa Manyema jijini Dar es Salaam, Sheikh Hameed Jongo amesema harambee ya zaidi ya Shilingi Bilioni 86 iliyochangwa na watu mbalimbali kwa ajili ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu ni ishara kuwa yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita yana tija kwa wananchi.
Akizungumza wakati wa kutoa hotuba ya Ijumaa kwenye msikiti huo, SHeikh Jongo ameongeza kuwa michango hiyo itasaidia kupatikana kwa maendeleo na amani ya nchi chini ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Credit by Azam Tv
Huyu hutasikia msikiti wake kufungwa kwakua amewasifia🤣🤣🤣 wala kuchanganya dini na siasaImam wa msikiti wa Manyema jijini Dar es Salaam, Sheikh Hameed Jongo amesema harambee ya zaidi ya Shilingi Bilioni 86 iliyochangwa na watu mbalimbali kwa ajili ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu ni ishara kuwa yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita yana tija kwa wananchi.