GE2025 Sheikh Hameed: Kachukueni fomu isipokuwa ile ya mwisho ya Rais Samia

GE2025 Sheikh Hameed: Kachukueni fomu isipokuwa ile ya mwisho ya Rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Wakati taifa likielekea katika kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, Waislam nchini wamehimizwa kuchukua fomu katika vyama vyao vya siasa na kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.

Rai hiyo imetolewa na Imam wa Msikiti wa Manyema, Dar es Salaam, Sheikh Hameed Jongo katika siku ambayo Rais Samia Suluhu amehitimisha shughuli za Bunge huku wanachama wa vyama vya siasa vikianza kutoa ruksa kwa wanachama wao kuanza kuomba kuteuliwa na vyama hivyo kwa ajili ya uchaguzi huo.
 
Back
Top Bottom