GE2025 Sheikh Haruna atoa onyo kwa Humphrey Polepole kuhusu kauli zinazomchafua Rais Kikwete

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Naibu Katibu Mkuu wa Twariqa Tanzania, Sheikh Haruna Hussein, ametoa onyo kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kada wa CCM Humphrey Polepole akimtaka kuacha mara moja kutoa kauli ambazo amedai zinalenga kuchafua viongozi akiwemo Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete.

Sheikh Haruna amesema Polepole alipaswa kuyazungumza anayoyazungumza sasa alipokuwa Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi wa CCM, na siyo kwa sasa.

“Humphrey Polepole anayoyaongea yupo sahihi kabisa hajakosea, sisi kama viongozi wa dini tunamuonya aache” amesema Sheikh Haruna.

Aidha, amemuonya kuhusu kauli ambazo amesema zinaashiria kumchafua Rais mstaafu wa awamu ya Nne Jakaya Mrisho Kikwete. Huku aki akibainisha kuwa Polepole kama mwanachama wa chama ana haki ya kutoa maoni yake, lakini si kwa namna anayoitumia hivi sasa.

Sheikh Haruna ameyasema hayo Septemba 1, 2025, wakati akizungumzia mwelekeo wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu.

Dunia ipi hiyo Shekhe Ubeche? Unataka IST kwa nguvu maana nyie Mashekhe hamnq hatq Guta.
 
Tulisha shauriwa tusichanganye Dini na siasa.
 
Kumbe na mashehe ni machawa????!!!!!
 
Viongozi wa KIISLAMU HOVYO KABISA Wakiongozwa na MUFTI wao.
Hawa wakipewa sahani ya ubwabwa maji na vijuice tu hukenua midomo yao na kufinya macho kuongea ujinga.
Sijui kwanini asishirikishe ubongo na mdomo kabla ya kuongea.
 
Ili uwe sheikh unahitaji usome mpaka degree ngapi.

Mbona masheikh wameshindwa kupigania maslahi mapana ya waislamu kupata vyuo vikuu. Elimu bora na maisha bora
 
Naibu Katibu Mkuu wa Twariqa Tanzania, Sheikh Haruna Hussein, ametoa onyo kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kada wa CCM Humphrey Polepole akimtaka kuacha mara moja kutoa kauli ambazo amedai zinalenga kuchafua viongozi akiwemo Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete.

Sheikh Haruna amesema Polepole alipaswa kuyazungumza anayoyazungumza sasa alipokuwa Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi wa CCM, na siyo kwa sasa.

“Humphrey Polepole anayoyaongea yupo sahihi kabisa hajakosea, sisi kama viongozi wa dini tunamuonya aache” amesema Sheikh Haruna.

Aidha, amemuonya kuhusu kauli ambazo amesema zinaashiria kumchafua Rais mstaafu wa awamu ya Nne Jakaya Mrisho Kikwete. Huku aki akibainisha kuwa Polepole kama mwanachama wa chama ana haki ya kutoa maoni yake, lakini si kwa namna anayoitumia hivi sasa.

Sheikh Haruna ameyasema hayo Septemba 1, 2025, wakati akizungumzia mwelekeo wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu.

Let me wait for comments
 
Sheikh anataka kwenda kutembea msoga sasa lazima uanze na cheche ili bahasha iwe kubwa kubwa.
 
Kiongozi mwenyewe ndiyo huyu? Alimpa ujauzito mtoto wa dadake hana maadili kabisa huyu
 
Naibu Katibu Mkuu wa Twariqa Tanzania, Sheikh Haruna Hussein, ametoa onyo kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kada wa CCM Humphrey Polepole akimtaka kuacha mara moja kutoa kauli ambazo amedai zinalenga kuchafua viongozi akiwemo Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete.

Sheikh Haruna amesema Polepole alipaswa kuyazungumza anayoyazungumza sasa alipokuwa Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi wa CCM, na siyo kwa sasa.

“Humphrey Polepole anayoyaongea yupo sahihi kabisa hajakosea, sisi kama viongozi wa dini tunamuonya aache” amesema Sheikh Haruna.

Aidha, amemuonya kuhusu kauli ambazo amesema zinaashiria kumchafua Rais mstaafu wa awamu ya Nne Jakaya Mrisho Kikwete. Huku aki akibainisha kuwa Polepole kama mwanachama wa chama ana haki ya kutoa maoni yake, lakini si kwa namna anayoitumia hivi sasa.

Sheikh Haruna ameyasema hayo Septemba 1, 2025, wakati akizungumzia mwelekeo wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu.

Najua umefanya kusudi kuleta mada hii huku kwa kuwa unajua hili ni jukwaa la Wagalatia tena wanaojua matusi na kashfa.
UMEFANIKIWA!
 
Naibu Katibu Mkuu wa Twariqa Tanzania, Sheikh Haruna Hussein, ametoa onyo kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kada wa CCM Humphrey Polepole akimtaka kuacha mara moja kutoa kauli ambazo amedai zinalenga kuchafua viongozi akiwemo Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete.

Sheikh Haruna amesema Polepole alipaswa kuyazungumza anayoyazungumza sasa alipokuwa Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi wa CCM, na siyo kwa sasa.

“Humphrey Polepole anayoyaongea yupo sahihi kabisa hajakosea, sisi kama viongozi wa dini tunamuonya aache” amesema Sheikh Haruna.

Aidha, amemuonya kuhusu kauli ambazo amesema zinaashiria kumchafua Rais mstaafu wa awamu ya Nne Jakaya Mrisho Kikwete. Huku aki akibainisha kuwa Polepole kama mwanachama wa chama ana haki ya kutoa maoni yake, lakini si kwa namna anayoitumia hivi sasa.

Sheikh Haruna ameyasema hayo Septemba 1, 2025, wakati akizungumzia mwelekeo wa uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu.

Hawa jamaa hawana mchangi wowote kwenye taifa hili. Wazazi wao wangevaa condom au kumwaga nje taifa hili lingenufaika sana
 
Back
Top Bottom