Akizungumza Julai 26, 2025 katika hafla ya kuongoza dua maalum kwa ajili ya kumuombea heri na ulinzi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu,aliyeko rumande kwa tuhuma za uhaini na uchochezi, Sheikh Kaniki alieleza kile wanachokisimamia CHADEMA ni ridhaa kutoka kwa wananchi.
Alisema "Chadema inapofanya, inasimamia sehemu ya amana iliyochukua, kwamba sisi tumetoka kwa wananchi tukaenda tukawaambia tunataka sisi twende tukafanye moja mbili tatu tunaomba mtupe ridhaa. Wananchi wakakubali, wananchi walipokubali wakaenda kusimamia kile ambacho wananchi wanankitaka. CHADEMA leo hii inapitia katika mazito na magumu kwa sababu ya kusimamia ile amana."
Pia alisistiza kuhusu muingiliano wa Siasa na dini akidai haviwezi kutengana kwani masuala ya siasa huathiri moja kwa moja maisha ya waumini wa dini, hivyo ni muhimu viongozi wa dini kushiriki katika kuombea amani
Soma pia:

- GE2025 - Sheikh Ibrahim Kaniki: Hakuna utengano kati ya dini na siasa
- GE2025 - Sheikh Kaniki: Dini na Siasa havitengani. CHADEMA inapitia magumu kwasababu ya kusimamia wanachokita Wananchi