Sheikh Ilunga Hassan Kapungu 1957 -2014

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Wanajamvi,
Naamini si wengi wanaomfahamu Sheikh Ilunga Hassan Kapungu.

Karibuni tuangalie Ilunga katokea wapi na nini kilimfanya awe vile alivyokuwa:


KIFO CHA SHEIKH ILUNGA HASSAN KAPUNGU NI MSIBA KWA VIJANA - Mohamed Said

Unaweza kusikiliza kipindi cha radio nilichofanya kuhusu Sheikh Ilunga hapo chini:
Mohamed Said: RADIO KHERI DAR ES SALAAM NA RADIO QUIBLATEIN IRINGA: KUMBUKUMBU YA SHEIKH ILUNGA HASSAN KAPUNGU
 
Hivi huu unaoitwa mfumo kristo unamnufaisha mkristo yupi hasa? Mbona sijauona huku mtaani zaidi naona wote waislamu na wakristo wakitaabika pamoja?

Kama ni mashuleni wote wanakosa vitabu, mahospitalini wote wanakosa madawa, Umeme ukikatika hauchagui huyu mwislamu huyu mkristo, mvua zikinyesha Wote wanakumbwa na mafuriko n.k n.k..
 

Achana na walevi hao
 

mkuu umecomment vizuri sana kuna vijiwatu vinatumika kuharibu amani ya nchi kwa gharama yeyote.
 
kweli binadamu tunafikra tofauti hiv ILUNGA nae, alikuwa wa kuenziwa kwa beti zote hizo zote!??


mimi nilimchukulia kama MUUAJI, GAIDI na mwenye kuharibu umoja wa watanzania hasa kwa mafundisho yake ya kuwaasa waislamu kuuwa wakristo ilhali tu jamii moja na tumeingiliana kwakuoleana!..

nahitimisha kwakusema lLUNGA alikuwa ni binadamu/kiongozi wa dini hatari kupata kumshuhudia katika ardhi ya Tz.

HATA HIVYO NAMUOMBA MUNGU BABA AMSAMEHE MATENDO YAKE YA CHUKI KWA WAKRISTO.
 
Wanajamvi,
Naamini si wengi wanaomfahamu Sheikh Ilunga Hassan Kapungu.

Karibuni tuangalie Ilunga katokea wapi na nini kilimfanya awe vile alivyokuwa:

KIFO CHA SHEIKH ILUNGA HASSAN KAPUNGU NI MSIBA KWA VIJANA - Mohamed Said

Hivi huyu si yule mtu aliyekuwa akishawishi Waislamu waue Wakristo na anapewa sifa hizi? Huyu hakuwa Muislam wa kweli kwa sababu Uislam ni dini ya amani. Nawashangaa sana watu wanaomshabikia na hata kifo chake ni fimbo ya Allah kwake kumwonyesha wale uliokuwa ukielekeza wakauawe wamebaki wanamtumikia Mungu na yeye shehe wa kuchochea kuua akatangulia kufa na ataikoma jehanamu ya moto!!!!
 

Nenda ofisi za serikali na makampuni binafsi kaangalie uwiano wa ajira ... angalia interview shortlist ktk magazeti wakiristo 30 jina la muislam moja ... najua mtatokwa na povu hpa ila ndio ukweli
 

hakujua alitendalo tummwombee msamaha kwa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…