FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipate shida mkuu, msemo wa mfumokristo ni uzushi wa kijinga tu. Ni harakati ya watu wanaojitafutia ajira na kipato kupitia dini bila kujali madhara wanayosababisha kwa kuzua itikadi za kubuni ili kuwafariji wafuasi wao kutokana na dhiki ya maisha.Hivi huu unaoitwa mfumo kristo unamnufaisha mkristo yupi hasa? Mbona sijauona huku mtaani zaidi naona wote waislamu na wakristo wakitaabika pamoja?
Kama ni mashuleni wote wanakosa vitabu, mahospitalini wote wanakosa madawa, Umeme ukikatika hauchagui huyu mwislamu huyu mkristo, mvua zikinyesha Wote wanakumbwa na mafuriko n.k n.k..
Wanajamvi,
Naamini si wengi wanaomfahamu Sheikh Ilunga Hassan Kapungu.
Karibuni tuangalie Ilunga katokea wapi na nini kilimfanya awe vile alivyokuwa:
KIFO CHA SHEIKH ILUNGA HASSAN KAPUNGU NI MSIBA KWA VIJANA - Mohamed Said
Kama ungejua unalotenda ungemshabikia mtu anayeagiza waumini waue watu wa DINI nyingine? Shehe ILUNGA alikuwa nyuma ya mauaji ya wakristo wote hapa nchini.We ungejua unalotenda ungeabudu sanamu la mzungu! Naalakum akhlu kufaa.
Kwa akili yako yakipunguania unajua Sheikh ni nani?
Sifa kuu atakayokumbukwa ni kuagiza: Maaskofu, mapadre, makadinali, walei na waskristo wengine wauawe na waislamu... Kazi yake imeonekana Zanzibar na GEITA... Mapadre na wachungaji wameuawa kwa maagizo yake.. na SERIKALI IKAKAA KIMYAAA!Wanajamvi,
Naamini si wengi wanaomfahamu Sheikh Ilunga Hassan Kapungu.
Karibuni tuangalie Ilunga katokea wapi na nini kilimfanya awe vile alivyokuwa:
KIFO CHA SHEIKH ILUNGA HASSAN KAPUNGU NI MSIBA KWA VIJANA - Mohamed Said
Hivi huu unaoitwa mfumo kristo unamnufaisha mkristo yupi hasa? Mbona sijauona huku mtaani zaidi naona wote waislamu na wakristo wakitaabika pamoja?
Kama ni mashuleni wote wanakosa vitabu, mahospitalini wote wanakosa madawa, Umeme ukikatika hauchagui huyu mwislamu huyu mkristo, mvua zikinyesha Wote wanakumbwa na mafuriko n.k n.k..
Nenda ofisi za serikali na makampuni binafsi kaangalie uwiano wa ajira ... angalia interview shortlist ktk magazeti wakiristo 30 jina la muislam moja ... najua mtatokwa na povu hpa ila ndio ukweli
Wanajamvi,
Naamini si wengi wanaomfahamu Sheikh Ilunga Hassan Kapungu.
Karibuni tuangalie Ilunga katokea wapi na nini kilimfanya awe vile alivyokuwa:
KIFO CHA SHEIKH ILUNGA HASSAN KAPUNGU NI MSIBA KWA VIJANA - Mohamed Said
Wanajamvi,
Naamini si wengi wanaomfahamu Sheikh Ilunga Hassan Kapungu.
Karibuni tuangalie Ilunga katokea wapi na nini kilimfanya awe vile alivyokuwa:
KIFO CHA SHEIKH ILUNGA HASSAN KAPUNGU NI MSIBA KWA VIJANA - Mohamed Said
Nenda ofisi za serikali na makampuni binafsi kaangalie uwiano wa ajira ... angalia interview shortlist ktk magazeti wakiristo 30 jina la muislam moja ... najua mtatokwa na povu hpa ila ndio ukweli
Ilunga hakuwa mtu mwema, alikuwa ni kielelezo cha fujo na mauwaji.