wabara
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,500
- 706
Au wewe ndiye uliye mshambulia Shehe kule Moro?
Pengo on System
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au wewe ndiye uliye mshambulia Shehe kule Moro?
Pengo naamini anajua/ anafahamu hakika yake vizuri
Agosti mwaka huu wasichana wawili, raia wa Uingereza waliokuwa walimu wa kujitolea, walimwagiwa tindikali na kujeruhiwa kifuani, shingo na uso.
Padri wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui, Joseph Monesmo Magamba amemwagiwa tindikali na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Mlandege jana jioni, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar.Pengo on System
Iwapomnaua hata waalimu wa kujitolea nani atawasaidia?
Padri wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui, Joseph Monesmo Magamba amemwagiwa tindikali na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Mlandege jana jioni, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Haji Hana alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba kiongozi huyo wa dini amelazwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja, akiendelea na matibabu baada ya kujeruhiwa usoni, kifuani na mikononi.
Hana alisema kwamba Padri Magamba (60) alikuwa akitokea katika duka la huduma za mawasiliano ya mtandao la Shine Shine saa 10.15 jioni na watu waliommwagia walimtega mlangoni kabla ya kufanya uhalifu huo na kutoweka kwenye vichochoro vya Mitaa ya Mtendeni na Mchangani.
Alisema polisi wamestushwa na tukio hilo kwa vile limetanguliwa na matukio matatu ya kumwagiwa tindikali kwa viongozi wa dini na kuwataka wananchi kutoa ushirikiano wa kufanikisha kuwakamata watu wanaojihusisha na vitendo hivyo.
Tumeanza kufanya uchunguzi ikiwemo kuchukua maelezo ya majeruhi, tungependa zaidi kupata msaada wa kitaarifa kwa watu walioona na wanaojua mahali walipo watu wanaofanya vitendo hivyo, alisema Hana.
Mfanyakazi wa Duka la Huduma za Mawasiliano ya Mtandao, Rukia Yahya Abass alisema anamtambua Padri Magamba kama mteja wake wa muda mrefu na huja dukani hapo nyakati za asubuhi au jioni kwa ajili kupata huduma za mawasiliano.
Rukia alisema ameshtushwa kuona padri huyo baada ya kumaliza kupata huduma na kutoka nje akipiga mayowe ya kujeruhiwa.
Nimezoea kumwita father au babu, ni mteja wangu kwa kweli, nilimwona akirudi tena ndani huku akiomba msaada, watu waliokuwa katika mtandao harakahara wakammwagia maji, alikuwa akilalamika kwa ukali wa maumivu, alisema Rukia akiwa na huzuni.
Alisema wasamaria wema ndiyo waliomchukua na kumpeleka hospitali. Kabla ya tukio hilo alilipa gharama za huduma ambazo zilikuwa ni Sh2,000 na kurudishiwa chenji yake baada ya kutoa noti ya Sh10,000.
Daktari Jamal Adam ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Mnazi Mmoja alisema kwamba Padri Magamba amepatiwa huduma ya kwanza na anaonekana amejeruhiwa usoni, mikononi na kifuani.
Ni mapema mno kusema ameathirika kwa kiasi gani kutokana na tukio hilo, tunaendelea na juhudi za kumtibu, alisema Dk Jamal.
Huu ni mfululizo wa visa vipatavyo vinne vya kikatili ambavyo vimefanyika Zanzibar, vikiwalenga watu maalumu katika kipindi cha miezi 10 iliyopita.
Desemba mwaka jana, watu ambao bado hawajafahamika wamlipiga risasi Padri Ambros Mkenda wa Kanisa Katoliki la Mpendae mjini Zanzibar na kumjeruhi vibaya.
Februari mwaka huu aliuawa kwa kupigwa risasi kichwani, Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki katika eneo la Mtoni, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Agosti mwaka huu wasichana wawili, raia wa Uingereza waliokuwa walimu wa kujitolea, walimwagiwa tindikali na kujeruhiwa kifuani, shingo na uso.
Ndie aliyekuwa mshauri mkuu ya kikundi cha uamshoKwa ufupi SHEHE ILUNGA ndiye aliyekomandi mauaji ya wakristo... Mapadri waliopigwa RISASI na kumwagiwa tindikali Zanzibar ni sera za kigaidi zilizopandikizwa na huyu jamaa.
Ungekuwa unaijua imani yako usingeabudu waarabu na lugha ya kiarabu!.. Hivi MUNGU wenu hajui kiswahili mpaka kila kitu kiwe kiarabu? Huoni kwamba hapo ndipo mnapodanganywa na kufundishwa msivyovijua?Moja ya IBADA YETU KUBWA ni kuwatoa watu kama wewe kwenye Giza la kuabudu mzungu!.na kuingia katika Ibada kama ya YESU MWANA WA MARIA! Ya MUNGU MMOJA TU!
Nyie lzm tuwasomeshe biblia yenu manake 99% ya wakristo HAMUIJUI!?
Na ALHAMDULILLAH tunamshukuru ALLAH wamesilimu wengi sana! Na Wanaendelea Kusilimu kila SIKU!
Na wewe nakuomba uyasikilize hayo mawaidha huenda MUNGU akipenda UKAUONA MWANGA!
Jina lako tu peke yake linajieleza!
We ukisimama mbele ya hakimu ukaombwa ulete ushahidi wa hayo mapovu yako hapo juu, utakuwa nao??
Nyie watu ni mahasidi! Wenye chuki na waislamu!
Lkn kila mkizidisha chuki na uislamu unazidi kuendelea
Kaeni mkao wa kula.
Inshallah atakuja mwingine mara 100 ya Al Marhum Ilunga, ndipo akili zitakapo wakaa sawa.
Si uliona sheikh Ponda alivyolitetemesha jeshi zima la polisi!
Sasa kuna kina Ponda wengine kama 200 hivi wanapasha viungo moto.
Very soon wataingia jukwaani kuusafisha huo MFUMOGALATIA.
Na wewe ukiwemo ndani yake utapigwa deki tu!
Halafu msingizie majini!
Kumbe wanamme washoka wameingia kazini!
Na Mwarabu aliyeoa bibi unamfahamu?!Yule mzungu wa kujisaidia machakani.
Picha yake naamini unayo happ juu/ ukutani kwako au mwangine unaye shingoni kama hajakuzidia uzito na ukamtua.
Nenda ofisi za serikali na makampuni binafsi kaangalie uwiano wa ajira ... angalia interview shortlist ktk magazeti wakiristo 30 jina la muislam moja ... najua mtatokwa na povu hpa ila ndio ukweli
we binti Allah.. unashea akhera ya mabikra..? waache wanaume wenye ahadi yao
Na Mwarabu aliyeoa bibi unamfahamu?!
umenikumbusha nilihudhuria hadhara moja aliofanya Ilunga alisema kafir yeyote haelewi mpaka apewe kipigo na akawafananisha na ng'ombe au mifugo wengine mchungaji akiwaambia wasiingie kwenye mashamba ya watu hawaelewi ila lugha yao ni kiboko hivyo huna tofauti na hawayani
Kwani kuna kazi nyingine muijuayo/muifanyayo?
Aksante Mungu kwa kutuondolea laana hii iitwayo Illunga
Hakika hata hao Boko Haram wanaoandaliwa kwa jina la Ponda nao wataondoka kama huu mzoga.
Ktk serikali ya rais DR.JK ni waziri gani angalau anayeifanya serikali ionekane inapumua? ukiisha nitajia basi utapata majibu ya maelezo yako hapo chini.
By magwio![]()
Nenda ofisi za serikali na makampuni binafsi kaangalie uwiano wa ajira ... angalia interview shortlist ktk magazeti wakiristo 30 jina la muislam moja ... najua mtatokwa na povu hpa ila ndio ukweli
Teh teh teh!
Mkuu umenikumbusha wale kondoo walioambiwa na mchungaji WALE MAJANI!
Na kondoo kama kawaida yao huwa hawaulizi swali! Wakatambaa kwenye viwanja na kuanza kula majani! Eti Mchungaji aliwaambia YESU ANAPENDA KUONA WANA KONDOO WANAKULA MAJANI MABICHI!
Haikuchukua muda walianza kutapika km walevi!
Teh teh teh teh!
Sasa we ukibisha na KONDOO! Utaumia kichwa tu!
Halafu hebu cheki mchungaji ANAVYO WAPANDA KICHWANI!
Yaank anakanyaga kama NYAMAFU!
aisee! ktk maisha yangu nimeona Misukule LKN WAGALATIA WAMEVUNJA REKODI!
bora we mwenye IQ kubwa unaabudu kinyago cha kuchongwaWaislamu wana IQ ndogo sana ndo maana hawaitwi kwenye interview wako bize na mambo ya ilunga
Waislamu wana IQ ndogo sana ndo maana hawaitwi kwenye interview wako bize na mambo ya ilunga
Teh teh teh!