Sheikh Ilunga Hassan Kapungu 1957 -2014

Pengo naamini anajua/ anafahamu hakika yake vizuri
Agosti mwaka huu wasichana wawili, raia wa Uingereza waliokuwa walimu wa kujitolea, walimwagiwa tindikali na kujeruhiwa kifuani, shingo na uso.

Iwapomnaua hata waalimu wa kujitolea nani atawasaidia?
 
Pengo on System
Padri wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui, Joseph Monesmo Magamba amemwagiwa tindikali na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Mlandege jana jioni, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Haji Hana alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba kiongozi huyo wa dini amelazwa katika Hospitali ya Mnazi Mmoja, akiendelea na matibabu baada ya kujeruhiwa usoni, kifuani na mikononi.

Hana alisema kwamba Padri Magamba (60) alikuwa akitokea katika duka la huduma za mawasiliano ya mtandao la Shine Shine saa 10.15 jioni na watu waliommwagia walimtega mlangoni kabla ya kufanya uhalifu huo na kutoweka kwenye vichochoro vya Mitaa ya Mtendeni na Mchangani.

Alisema polisi wamestushwa na tukio hilo kwa vile limetanguliwa na matukio matatu ya kumwagiwa tindikali kwa viongozi wa dini na kuwataka wananchi kutoa ushirikiano wa kufanikisha kuwakamata watu wanaojihusisha na vitendo hivyo.

"Tumeanza kufanya uchunguzi ikiwemo kuchukua maelezo ya majeruhi, tungependa zaidi kupata msaada wa kitaarifa kwa watu walioona na wanaojua mahali walipo watu wanaofanya vitendo hivyo," alisema Hana.

Mfanyakazi wa Duka la Huduma za Mawasiliano ya Mtandao, Rukia Yahya Abass alisema anamtambua Padri Magamba kama mteja wake wa muda mrefu na huja dukani hapo nyakati za asubuhi au jioni kwa ajili kupata huduma za mawasiliano.

Rukia alisema ameshtushwa kuona padri huyo baada ya kumaliza kupata huduma na kutoka nje akipiga mayowe ya kujeruhiwa.

"Nimezoea kumwita father au babu, ni mteja wangu kwa kweli, nilimwona akirudi tena ndani huku akiomba msaada, watu waliokuwa katika mtandao harakahara wakammwagia maji, alikuwa akilalamika kwa ukali wa maumivu," alisema Rukia akiwa na huzuni.

Alisema wasamaria wema ndiyo waliomchukua na kumpeleka hospitali. Kabla ya tukio hilo alilipa gharama za huduma ambazo zilikuwa ni Sh2,000 na kurudishiwa chenji yake baada ya kutoa noti ya Sh10,000.

Daktari Jamal Adam ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Mnazi Mmoja alisema kwamba Padri Magamba amepatiwa huduma ya kwanza na anaonekana amejeruhiwa usoni, mikononi na kifuani.

"Ni mapema mno kusema ameathirika kwa kiasi gani kutokana na tukio hilo, tunaendelea na juhudi za kumtibu, "alisema Dk Jamal.

Huu ni mfululizo wa visa vipatavyo vinne vya kikatili ambavyo vimefanyika Zanzibar, vikiwalenga watu maalumu katika kipindi cha miezi 10 iliyopita.

Desemba mwaka jana, watu ambao bado hawajafahamika wamlipiga risasi Padri Ambros Mkenda wa Kanisa Katoliki la Mpendae mjini Zanzibar na kumjeruhi vibaya.

Februari mwaka huu aliuawa kwa kupigwa risasi kichwani, Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki katika eneo la Mtoni, Mkoa wa Mjini Magharibi.

Agosti mwaka huu wasichana wawili, raia wa Uingereza waliokuwa walimu wa kujitolea, walimwagiwa tindikali na kujeruhiwa kifuani, shingo na uso.
 
Iwapomnaua hata waalimu wa kujitolea nani atawasaidia?

Yule mzungu wa kujisaidia machakani.

Picha yake naamini unayo happ juu/ ukutani kwako au mwangine unaye shingoni kama hajakuzidia uzito na ukamtua.
 

Kweli kabisa.
 
Kwa ufupi SHEHE ILUNGA ndiye aliyekomandi mauaji ya wakristo... Mapadri waliopigwa RISASI na kumwagiwa tindikali Zanzibar ni sera za kigaidi zilizopandikizwa na huyu jamaa.
Ndie aliyekuwa mshauri mkuu ya kikundi cha uamsho
 
Ungekuwa unaijua imani yako usingeabudu waarabu na lugha ya kiarabu!.. Hivi MUNGU wenu hajui kiswahili mpaka kila kitu kiwe kiarabu? Huoni kwamba hapo ndipo mnapodanganywa na kufundishwa msivyovijua?
 

Kwani kuna kazi nyingine muijuayo/muifanyayo?

Aksante Mungu kwa kutuondolea laana hii iitwayo Illunga
Hakika hata hao Boko Haram wanaoandaliwa kwa jina la Ponda nao wataondoka kama huu mzoga.
 
Yule mzungu wa kujisaidia machakani.

Picha yake naamini unayo happ juu/ ukutani kwako au mwangine unaye shingoni kama hajakuzidia uzito na ukamtua.
Na Mwarabu aliyeoa bibi unamfahamu?!
 
Nenda ofisi za serikali na makampuni binafsi kaangalie uwiano wa ajira ... angalia interview shortlist ktk magazeti wakiristo 30 jina la muislam moja ... najua mtatokwa na povu hpa ila ndio ukweli

Hebu ona orodha hii; said bakhresa, gulam na mohammed dewji, yusuph manji, Rostam aziz, Ali mufuruki, zakaria, edha awadh, hapo sijaweka wenye mabasi ya mikoani majina yake tu yanaonyesha dini gani inatawala, vituo vya mafuta, maduka makubwa kama home shopping center,....etc, yote waislamu wanaongoza. Hata hawa wa chini chini, mapedejee ndama, papaa msofe, abdu toll, hata kwenye mziki na sanaa wanaongoza diamond, wema sepetu etc,
Hawa waislamu wote wamepataje pataje kwenye mfumo kristo huu huu? Dr dau, prof Lipumba, rished bade wamesoma kwenye mfumo gani?
Muislamu anaonewa vipi wakati yeye ndio tajiri namba moja bongo?
 
Na Mwarabu aliyeoa bibi unamfahamu?!

alioa au aliolewa? yule alikuwa serengeti boi au marioo! mpaka bibi anakufa jamaa alikuwa mdogo tu, alipokufa bibi ndio eti akashushiwa "aya" ya kuruhusu wake wengi!
 
Bila Ibrahimu kufanya uzinzi na ishmael hivi waislam mngekuwepo?
 

Teh teh teh!
Mkuu umenikumbusha wale kondoo walioambiwa na mchungaji WALE MAJANI!
Na kondoo kama kawaida yao huwa hawaulizi swali! Wakatambaa kwenye viwanja na kuanza kula majani! Eti Mchungaji aliwaambia YESU ANAPENDA KUONA WANA KONDOO WANAKULA MAJANI MABICHI!
Haikuchukua muda walianza kutapika km walevi!

Teh teh teh teh!

Sasa we ukibisha na KONDOO! Utaumia kichwa tu!

Halafu hebu cheki mchungaji ANAVYO WAPANDA KICHWANI!

Yaank anakanyaga kama NYAMAFU!

aisee! ktk maisha yangu nimeona Misukule LKN WAGALATIA WAMEVUNJA REKODI!
 

Attachments

  • 1399690479077.jpg
    67.3 KB · Views: 110
  • 1399690543843.jpg
    86.4 KB · Views: 110
  • 1399690586335.jpg
    68.4 KB · Views: 102
  • 1399690630948.jpg
    126.3 KB · Views: 116
  • 1399690815893.jpg
    47.7 KB · Views: 133
  • 1399690928263.jpg
    130.8 KB · Views: 109
Kwani kuna kazi nyingine muijuayo/muifanyayo?

Aksante Mungu kwa kutuondolea laana hii iitwayo Illunga
Hakika hata hao Boko Haram wanaoandaliwa kwa jina la Ponda nao wataondoka kama huu mzoga.

Laana wewe huwezi kuondolewa!
Kwa sababu UNAABUDU YULE ALIYE LAANIWA NA MUNGU!

Ushahidi huu hapa.

Wagalatia 3 :13.

Kristo alitukomboa katika laana ya torati, KWA KUWA ALIFANYWA LAANA kwa ajili yetu;
maana imeandikwa, Amelaaniwa kila mtu aangikwaye juu ya mti;-

WE UNAMUOMBA MSAMAHA ALIYE LAANIWA!
Unavaa msalaba ambao ndio LAANA YENYEWE!
Na lile SANAMU LA MZUNGU PIA NI KTK ILE LAANA!

Sasa Lini hio LAANA itakuepuka!
 

Waislamu wana IQ ndogo sana ndo maana hawaitwi kwenye interview wako bize na mambo ya ilunga
 
yaani akili zao ni ndogo mno utakuta jitu zima linaenda kuungama kwa binadamu mwenzake eti lisamehewe dhambi, wengine mpaka kesho wanamuabudu yule mzungu alieigiza ile cinema ya yesu teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…