Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #341
Malivawan,Sheik mohamed thanks kwa kutuandikia hii historia
Ralph Tyler,Mimi nikiliona hilo jina la Sheikh Ilunga huwa napata goose pimples. Nimewahi kuona video zake akihimiza waislamu waue mapadre, maaskofu, makardinali, na wakishindwa hao waue hata mlei!
Hii eulogy nzuri hivi aliyoandikiwa hapa inapingana kabisa na habari zake nyingi na video zake ziko mitandaoni katika youtube, wala siyo za kificho.
Asante sheikh Mohamed Said kwa jibu hili ambalo umeilinda heshima niliyo nayo juu yako. Ningeumia sana kama ungekubaliana na maagizo yake ya kutaka wakristo wauliwe kila anapouliwa mwislamu. Mimi naamini kuwa kila anayetenda jinai anawajibika binafsi na jinai ile. Nisikufiche mzee wangu, baada ya kutazama video zile nilimchukia sana sheikh Ilunga.Ralph Tyler,
Sheikh Ilunga katika video zake zote mahali alipozungumza kuhusu kuua
ni katika video moja tu baada ya Sheikh Rogo kuuawa kwa kupigwa risasi
na makachero wa serikali ya Kenya.
Baada ya mauaji ya Sheikh Rogo zilitokea vurugu za Waislam kuandamana
na katika hayo maandamano wakawa wanavunja magari ya watu.
Sheikh Ilunga akazungumza na akawarejesha Waislam wale wa Mombasa
kwenye Qur'an kuwakumbusha Allah amesema nini kuhusu kisasi.
Akawalaumu kwa kuvunja magari ya watu ambao hawahusiki na mauaji yale.
Hapo akazungumza kuwa ikiwa kauawa sheikh basi kesho akiuawa padri
wale wauaji wataogopa hawatafanya kitendo hicho tena.
Mimi katika kauli ile sikukubaliana na fatwa ya kuuliwa padri kwani kisasi kwa
padri hakijuzu maana yeye siye aliyeua.
Hiyo taazia nimeandika mimi na mimi nikimjua vyema Sheikh Ilunga.
Taazia hii ni katika makala ambayo imesomwa na watu wengi zaidi kupita vyote
vilivyo katika blog yangu www.mohammedsaid.com.
Hadi hii leo kwa saa hii imesomwa na watu 15, 196.
Ralph...Asante sheikh Mohamed Said kwa jibu hili ambalo umeilinda heshima niliyo nayo juu yako. Ningeumia sana kama ungekubaliana na maagizo yake ya kutaka wakristo wauliwe kila anapouliwa mwislamu. Mimi naamini kuwa kila anayetenda jinai anawajibika binafsi na jinai ile. Nisikufiche mzee wangu, baada ya kutazama video zile nilimchukia sana sheikh Ilunga.
[emoji23][emoji23][emoji23]Maneno muhimu sana haya.
Mimi ni kijana lakini napoona mtiririko wa matusi (kutoka pande zote za wanaopingana au kujibizana) kwenye thread kama hizi huwa nakosa hata hamu ya kufuatilia. Wakati mwingine ukiona baadhi ya majina yaliyozoeleka 'unascroll' bila kusoma post zao.
Mzee MS amekosa fursa muhimu sana ya kudhibiti mjadala huu japo kila Mtu ana uhuru wa kuandika. Lakini kama mwandishi mzoefu na mimi nahisi kuna jambo angefanya angalau tupate 'faida' ya mnakasha huu.
Nami niishie hapa nisije kurushiwa 'matope' wakati naona mito imeshajaa na kupwa!'
A bilion dollar question.Hivi huu unaoitwa mfumo kristo unamnufaisha mkristo yupi hasa? Mbona sijauona huku mtaani zaidi naona wote waislamu na wakristo wakitaabika pamoja?
Kama ni mashuleni wote wanakosa vitabu, mahospitalini wote wanakosa madawa, Umeme ukikatika hauchagui huyu mwislamu huyu mkristo, mvua zikinyesha Wote wanakumbwa na mafuriko n.k n.k..
Unalinufaisha kanisa hasa katolikiHivi huu unaoitwa mfumo kristo unamnufaisha mkristo yupi hasa? Mbona sijauona huku mtaani zaidi naona wote waislamu na wakristo wakitaabika pamoja?
Kama ni mashuleni wote wanakosa vitabu, mahospitalini wote wanakosa madawa, Umeme ukikatika hauchagui huyu mwislamu huyu mkristo, mvua zikinyesha Wote wanakumbwa na mafuriko n.k n.k..
Kiuhalisia huo ndio mtazamo wa mtanzania wa kawaida na uyasemayo kwa mtazamo huo ni kweli.Hivi huu unaoitwa mfumo kristo unamnufaisha mkristo yupi hasa? Mbona sijauona huku mtaani zaidi naona wote waislamu na wakristo wakitaabika pamoja?
Kama ni mashuleni wote wanakosa vitabu, mahospitalini wote wanakosa madawa, Umeme ukikatika hauchagui huyu mwislamu huyu mkristo, mvua zikinyesha Wote wanakumbwa na mafuriko n.k n.k..
Je mpaka sasa upo huo mfumo kristo?Kiuhalisia huo ndio mtazamo wa mtanzania wa kawaida na uyasemayo kwa mtazamo huo ni kweli.
Lkn ukitaka kujua nini maana ya Mfumo KRISTO tazama suala la UONGOZI SERIKALINI
RUZUKU za Makanisa kutoka SERIKALINI.
MISAMAHA YA KODI YA KANISA .
USHIRIKI WA KANISA ktk Siasa SERIKALINI.
Halafu Linganisha hayo hayo kwa upande wa WAISLAMU uone Tofauti iliopo.
Kisha
Na Unyanyasaji wa Viongozi wa Kiislamu unaofanywa kwa miaka mingi kwa kufunguliwa mashtaka na kufungwa mpk kufia JELA kwa waislamu BILA KUFIKISHWA MAHAKAMANI.
Kunyimwa Dhamana kwa kusingiziwa Kesi za UGAIDI BILA USHAHIDI WWT kwa serikali kujua kwamba Ukipewa kesi ya UGAIDI Hustahiki dhamana.
Viongozi wa KIISLAMU Kuvamiwa Majumbani mwao na Kuwekwa Jela Bila kufunguliwa KESI YYT mpk baadhi yao Kupoteza maisha wakiwa Jela kwa kuteswa kila siku na kudhalilishwa.
NA Yote hayo HUWEZI KUONA UPANDE WA WAKRISTO.
Hapo ndio utapata picha kamili ya VIPI MFUMO KRISTO unavyonyanyasa waislamu.
Sisi wote ni WATANZANIA kwanini Waislamu tu wasipewe haki zao za Msingi km katiba ya nchi inavyosema?
Na Nani anaefaidika na System hii zaidi ya WAKRISTO?
Japo kuwa wakristo majirani zetu tunaoishi nao mitaani faida hizo hawazioni km wale Viongozi wao wanaoendesha magari ya milion 300 bila kulipa kodi na kuishi kwenye majumba yenye thamani ya milion 800 bila kulipa senti 1 ya kodi yyt.
Lkn huku huku mitaani mtu mdogo km mimi Sababu ya UIS WANGU saa yyt naweza kukamatwa na kuwekwa ndani bila kesi KWA KUANDIKA TU au KUSEMA Ukweli km huu ambao UKO WAZI.
Natumai nimejaribu kujibu swali lako.
Swali zuri sana.Je mpaka sasa upo huo mfumo kristo?
Mfumo kristo ni dhana tu wala haina uhalisia wowote uleSwali zuri sana.
Mfumo KRISTO ni SAWA KABISA NA SARATANI, Unapungua na Kuongezeka . Na ni wajibu wa kila mpenda haki kukemea mifumo yote inayowapa kipaumbele wachache na kuwanyima haki za Msingi wengi.
MKRISTO wa kawaida hana faida kubwa na Mfumo KRISTO lkn kwa upande wa Muislamu yyt ananyanyasika sana na huo MFUMO KRISTO.
Natumai nimejibu swali.
Ahsanta.
Kijipofua unapoona dhulma inafanyika hakuweze kukupa faida yyt wewe wala huyo anafanya hio dhulma bali siku za mbeleni lzm wote muathirikeMfumo kristo ni dhana tu wala haina uhalisia wowote ule
Ni hivi waliojaa jela na mahabusu wengi wao ni wenye elimu ndogo na hili kundi hadi mashehe na maostadh wanaingia nayaongea haya kwasababu nimezaliwa na kuishi katika jamii hizo..hebu nikutolee mfano imewahi kutokea mtwara mjini alifika shehe akawa anahamasisha msikitini waislamu wachange pesa wakanunue silaha waliokachanga walichanga na ambao hawakuchanga waliondoka zao hatimaye wale wote waliokachanga mpaka leo hatujui waliko kwasababu wote walipotea usiku mmoja,pia hapahapa mtwara kwenye huu msikiti wa sokoni pembeni yake kuna bar moja inaitwa kwa Y nakumbuka waumini walihamasishana wakapavamie pale mahala kisa eti wanauza pombe ila baadae wenye hekima wakawatuliza tu hivi je wangeshikwa na polisi wakapelekwa mahabusu humu mitandaoni si ungesema waislamu wanaonewa?Kijipofua unapoona dhulma inafanyika hakuweze kukupa faida yyt wewe wala huyo anafanya hio dhulma bali siku za mbeleni lzm wote muathirike
Wewe km ni mtanzania MKRISTO yupi umewahi kusikia amewekwa jela bila kushtakiwa mpk anafia jela kwa mateso bila kufikishwa mahakamani?
Zile nchi ambazo wananchi wanachinjana wao kwa wao km Congo, Rwanda na Burundi zilianza hivi hivi.
Kundi moja linanyanyaswa lingine linashangia au kukaa kimya.
Sasa endelea kujipofua. Siku kikiwaka usije kusema hukujua kinachoendelea.
Hakuna mtu muungwana anaependa Vita bali Balaa zote duniani huanzia kwenye dhulma km hizo za Mfumo KRISTO.