kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Hio mifano uliotoa ni kesi za kipuuzi na kila sehemu zipo.Ni hivi waliojaa jela na mahabusu wengi wao ni wenye elimu ndogo na hili kundi hadi mashehe na maostadh wanaingia nayaongea haya kwasababu nimezaliwa na kuishi katika jamii hizo..hebu nikutolee mfano imewahi kutokea mtwara mjini alifika shehe akawa anahamasisha msikitini waislamu wachange pesa wakanunue silaha waliokachanga walichanga na ambao hawakuchanga waliondoka zao hatimaye wale wote waliokachanga mpaka leo hatujui waliko kwasababu wote walipotea usiku mmoja,pia hapahapa mtwara kwenye huu msikiti wa sokoni pembeni yake kuna bar moja inaitwa kwa Y nakumbuka waumini walihamasishana wakapavamie pale mahala kisa eti wanauza pombe ila baadae wenye hekima wakawatuliza tu hivi je wangeshikwa na polisi wakapelekwa mahabusu humu mitandaoni si ungesema waislamu wanaonewa?
Hapa tunaongelea System nzima ya haki za kikatiba kwa raia wa imani zote na wasio na dini.
Nimekuuliza je ! Uliwahi kusikia MKRISTO kawekwa jela Mpk ANAFIA JELA bila kufikishwa mahakamani?
Jibu ni HAKUNA.
Lkn WAISLAMU WENGI tena Waungwana wenye Elimu zao na Heshma zao wamabambikizwa KESI YA UGAIDI. Wamekaa Jela zaidi ya miaka 10 na wengine WAMEFIA JELA KWA MATESO.
Hio serikali inalitambua na Wananchi tunatambua.
We unaona hio ni sahih?
Why wagalatia na wengine wanapewa haki zao za kikatiba lkn WAISLAMU wasipewe?
Kama ni GAIDI kwanini asipelekwe mahakamani akahukumiwa kutokana na Ushahidi wa shaka lake?
Kwanini Serikali inalifungia macho suala la DHULMA HII?
WE Unadhani waislamu hawana Akili na uchungu wa kuona dhulma inayofanyika?
Mhalifu yyt awe Na dini au aside na dini HAKI YA KILA MMOJA YA MSINGI KIKATIBA ni KUFIKISHWA MAHAKAMANI.
Ukiona hio Haki WAISLAMU hawastahiki subiri nchi yetu ije kuwaka moto.