Sheikh Ilunga Hassan Kapungu 1957 -2014

Sheikh Ilunga Hassan Kapungu 1957 -2014

Hata huyo kasisi alieshikwa kwa kubaka nae yupo mahabusu hadi leo na kuna yule mchungaji alishikwa wakati wa kikwete kwa kufanya biashara ya unga nae kasota sana mahabusu...tatizo ni elimu ndio inawatofautisha watu wale,mtu asipokuwa na elimu rasmi mara nyingi huwa anafanya vitu vya ovyo sana rejea vurugu za mbagala 2012 ile ilidhihirisha ukosefu wa elimu
Umeona ulivyojaza pumba kichwani na ulivyo mpuuzi usie na uwezo wa kuelewa hata swali dogo!

Hao wagalatia wote uliowataja UMETAJA NA MAKOSA YAO. Mmoja Mbakaji Na Mwengine Muuza Unga na WOTE HAO WALIHUKUMIWA NA MAHAKAMA.

Sasa Nambie wale Masheikh waliofungwa Mpk WAKAFA JELA mbali ya Kubambikiwa kesi za Ugaidi Lini walifIkishwq MAHAKAMANI na kutolewa USHAHIDI WA MAKOSA YAO?

Acha kutetea upumbavu.

In folly's dance, the fool takes the lead,
A jest of ignorance, planted as seed.
Clumsy steps, a wit that's lost,
Yet within the jest, a lesson, the cost.
 
Sheikh Ilunga alikua extremist sana
Hata waislam baina yao hawakumpenda

Yeye hoja yake ilikua wakatoliki. Wakristo,... Na hakuogopa kusema "uvunjifu wa amani"

Ndio mssna alikufa vibaya

Apumzike kwa amani alipo

Raha ya milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie Sheikh Hamis Ilunga Kapungu apumzike kwa amani


Waislam someni sana mpate madigrii muache kuwaza ugaidi kuua watu kwa kisingizio cha dini au kukalia kuuza dawa za majini. Kahawa. Alikasusu na juisi ya tende

Nyie ni watu wa chini mnooooo hata Mungu hakusema watu wawe. Wa chiiini na wajinga kama nyinyi kukalia kusoma kuran kiarabu na shule hamtaki matokeo yake mnakosa cha kufanya mnaanza kuua watu kea kisingizio cha Allah
Kuna kufa vizuri ??, au wewe unataka ufe na suti na tai shingoni, huku umevaa viatu vya mukas ,ndio unaona ndio kifo kizuri ???? 😛 😛
 
Kuna kufa vizuri ??, au wewe unataka ufe na suti na tai shingoni, huku umevaa viatu vya mukas ,ndio unaona ndio kifo kizuri ???? 😛 😛
Huyo sheikh ndio alisababisha mauaji ya kibiti, Rufiji na ikwiriri Kwa mahubiri yake ya chuki dhidi ya Wakristo.
 
Umeona ulivyo na akili kuambiwa!
Kila anachosema kafiri mzungu we una copy na ku paste km mmefunga ndoa pamoja.
Hamas imechaguliwa kwa KURA na wananchi wa Gazza
Hezbollah na Houthi ni vyombo vinavyokubaliwa na wananchi wake.
Hata Nelson Mandela aliitwa Gaidi na Wazungu Wote.
Baada ya kuwashinda Wazungu akawa Hero
Acheni kutetea upumbavu.

Wewe na mimi mbele ya mzungu ni km paka tu hata km wewe utaabudu hio sanamu la kizungu we bado ni slave tu na mzungu abadan hakuthamini.
Kwani Isis,alshabaab, alqaeda wana tofauti gani na Hamas, Hezbollah?!
 
Kwani Isis,alshabaab, alqaeda wana tofauti gani na Hamas, Hezbollah?!
Watu wa aina yako kuweza kuwaelimisha ni sawa na kupigia gitaa mbuzi ukitegemea atacheza.

Kila mzungu anachosema wewe unabeba mazima.
Leo mzungu akisema ushoga ni lzm huko kwao we utavaa kanga fasta bila hata ya kutaka kujua why?
Alieita Hamas na Hezbollah Terrorists ni yule yule aliyemuita MANDELA Terrorist.

Amka ewe mgalatia ulielala
 
Mb
Watu wa aina yako kuweza kuwaelimisha ni sawa na kupigia gitaa mbuzi ukitegemea atacheza.

Kila mzungu anachosema wewe unabeba mazima.
Leo mzungu akisema ushoga ni lzm huko kwao we utavaa kanga fasta bila hata ya kutaka kujua why?
Alieita Hamas na Hezbollah Terrorists ni yule yule aliyemuita MANDELA Terrorist.

Amka ewe mgalatia ulielala
Mbona hujibu swali?! Unazunguka tu
 
Isis, alshabaab, Islamic Jihad wanatofauti gani na Hezbollah/hamas?
Hayo makundi uliyoyataja , hayajafikia hata 0,01% ya uharamia wa CIA tu hatujaenda kwa vyombo vingine vya magharibi na Shoga Israel
 
Andiko la upako linasema.
Methali 26:4-13
Mjibu mpumbavu kama ustahilivyo upumbavu wake, asije akajiona kuwa mwenye hekima zaidi.

Hallelujah.
Utanukuu vifungu vyote vya biblia ila bado hujanijibu swali langu
 
Hayo makundi uliyoyataja , hayajafikia hata 0,01% ya uharamia wa CIA tu hatujaenda kwa vyombo vingine vya magharibi na Shoga Israel
Mimi nasapoti asilimia 200% Hamas na Hezbollah.
Km vile Mwafrika wa South alivyomsapoti Mandela wakati anapambana na Mabepari wa ki Dutch.
Mzee Kigogo Ana ugonjwa wa kiarusi. Haoni hasikii juu wa wazungu.

Msamehe bure. Ni kondoo aliyepotea wa Mkuranga sio wa Israel
 
Utanukuu vifungu vyote vya biblia ila bado hujanijibu swali langu
Andiko linaendelea kusema.

Methali 26:11
Mpumbavu anayerudiarudia upumbavu wake, ni kama mbwa anayekula matapishi yake.

Rudia tena nikupe andiko la upako mpk upakike .
 
Swali zuri sana.
Mfumo KRISTO ni SAWA KABISA NA SARATANI, Unapungua na Kuongezeka . Na ni wajibu wa kila mpenda haki kukemea mifumo yote inayowapa kipaumbele wachache na kuwanyima haki za Msingi wengi.

MKRISTO wa kawaida hana faida kubwa na Mfumo KRISTO lkn kwa upande wa Muislamu yyt ananyanyasika sana na huo MFUMO KRISTO.


Natumai nimejibu swali.
Ahsanta.
Mna Rais Muisilamu,viongozi wakubwa wakubwa Waisilamu..sasa si muuondoe?,
 
Mna Rais Muisilamu,viongozi wakubwa wakubwa Waisilamu..sasa si muuondoe?,
Tatizo nyie viumbe elmu ndio changamoto kubwa.
MFUMO KRISTO NI CANCER.
Hata ukiwa na madktari wengi kiasi gani inahitaji subira kubwa na matibabu ya muda mrefu sana kuiondoa hio CANCER au japo Kuipunguza.

Na Toka Kafa Yule maluuni nyerere mfumo kristo umepungua kiasi kikubwa lkn Bado umo . Sisi tuliouona miaka ya 70s na 80s uko tofauti kabisa la wa leo.
Kwahio utaondoka tu ila ni vita ya muda mrefu manake mpk baadhi ya wanaojiita waislamu wamo ktk kuuendeleza huo mfumo kristo bila kujitambua.

Hilo ndio tatizo kubwa lkn we tulia tu. mfumo KRISTO haina uhai mrefu.
 
Back
Top Bottom