kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Umeona ulivyojaza pumba kichwani na ulivyo mpuuzi usie na uwezo wa kuelewa hata swali dogo!Hata huyo kasisi alieshikwa kwa kubaka nae yupo mahabusu hadi leo na kuna yule mchungaji alishikwa wakati wa kikwete kwa kufanya biashara ya unga nae kasota sana mahabusu...tatizo ni elimu ndio inawatofautisha watu wale,mtu asipokuwa na elimu rasmi mara nyingi huwa anafanya vitu vya ovyo sana rejea vurugu za mbagala 2012 ile ilidhihirisha ukosefu wa elimu
Hao wagalatia wote uliowataja UMETAJA NA MAKOSA YAO. Mmoja Mbakaji Na Mwengine Muuza Unga na WOTE HAO WALIHUKUMIWA NA MAHAKAMA.
Sasa Nambie wale Masheikh waliofungwa Mpk WAKAFA JELA mbali ya Kubambikiwa kesi za Ugaidi Lini walifIkishwq MAHAKAMANI na kutolewa USHAHIDI WA MAKOSA YAO?
Acha kutetea upumbavu.
In folly's dance, the fool takes the lead,
A jest of ignorance, planted as seed.
Clumsy steps, a wit that's lost,
Yet within the jest, a lesson, the cost.