Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
unayajuwa makosa yake..???kwakuwa Allah ni mwenye huruma tumuombee msamaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unayajuwa makosa yake..???kwakuwa Allah ni mwenye huruma tumuombee msamaha
jazaaka allah shekh kwa tanzia murua mimi niliwahi kuhudhuria darasa lake mwanza ni mtu ambaye unabidi ujiulize kwa nini asiwe hata mbunge kwa uwezo wake wa kujenga hoja
bila shaka sindano yangu imekuingia wewe...hahahahaaaa...Wewe muabudu sanamu la mzungu unajua nini? Huna unachokijua zaidi ya damu ya Bwana yesu! Muabudu sanamu hawi na akili. Kwa kuwa wewe una ROHO MTAKATIFU tueleze maana yake.
Unamlaani Sheikh Ilunga!!! kwa taarifa yako kafa anatabasamu...
Fildaus
Views katika blog yangu kusoma taazia ya Sheikh Ilunga ni 3613.
Inaelekea hii itakuwa ni rekodi ya aina yake na ya pekee hii ni
kuanzia tarehe 5 May had hivi sasa saa 10 jioni.
Nimepokea msg nyingi katika facebook na kwengineko kuhusu taazia
hii.
Still counting...
Inaendelea kuhesabu.
Inaelekea wengi wameipenda.
Na ukiona mwanaume anasifia sura ya mwanaume mwenzie huna haja ya kujiuliza...ni mliberali huyo....Mtoto unasura safi kama dada zako.
Na ukiona mwanaume anasifia sura ya mwanaume mwenzie huna haja ya kujiuliza...ni mliberali huyo....
hiyo nayo si ni suna?? hatuwashangai....
hahahah..utakufa wewe,basha wako atafata, atakufa mama yako,baba yako,shangazi yako na yule basha wako wa pemba mimi ndio nitafata mfumo soma hizo albadili zenu tuma majini yenu na chochote kile theni uone moto wa YESU.
USHINDWE NA ULEGEE KATIKA JINA LA YESU,NAA UKILEGEA SHETANI ANAKUJA KUKUBANDUA
Teh teh teh...Inaonekana wewe unamawasiliano na Mungu, ati nitakufa mimi kisha wewe utafuata umepata wapi hiyo!? Uwe na akili kwetu sisi Yesu tunamuheshimu kwa kuwa ni Mtume wa Allah, hawezi kunifanya lolote. Ati shetani anibandue teh teh ... mambo yenu ya wachungaji na kondoo huko kanisani unataka nifanyiwe na mimi!!!. Nikusomee albadili ya nini wewe, mimi nakuombea dua usilimu kabla hujafa usije ukapata adhabu ya Jahannam?
Huja zako ni za kipuuzi , hivyo wajibika kwa Tito 3 : 9 kalale nayo ikufae.
Nimekubali tuishie hapo, ukiamka tutaendelea, khalafu hapa twamzunguzia mwenye kujitambua ufidhuli wako tafuta pa kuupeleka.
Mada za Mohamed Said zina utata, huacha maswali mengi na zinahuzunisha kwa upande mwingine.
MS ulichokileta hapa ni tribute ya Ilunga. Ilitegemewa watu na hasa vijana kama mada inavyoeleza wazungumzie mafanikio(success), Failure na legacy ya Ilunga baada ya msiba wake.
Kinachoonekana ni MS kufungua uwanja wa matusi, kashfa n.k.
Katika mazingira ya kawaida mleta mada ndiye moderator na alipaswa kuilinda mada yake kwa kusimama katikati, akiongoza na kukemea yaliyo nje ya mada.
MS kwa umri wewe ni mzee na kwa jadi zetu una jukumu la kijamii kuongoza vijana kwa busara na hekima.
Tumia elimu yako kusaidia jamii na si kuleta sintofahamu zisizo za lazima.
Kwa uzi huu, inaonyesha jinsi ambavyo mada zako zimekuwa chanzo cha mijadala ambayo wengi hawaipendelei kama wanadamu na kama Watanzania.
Yanapo poroshomoshwa matusi na kashfa, mada inapochakachukiliwa, hiyo inaelezea zaidi ya ambavyo ungependa iwe.
Nakunasihi uangalie tena kama mada za namna hii ambazo zinaondoka katika 'theme' zinajenga jamii au zinaleta ufa.
Uangalie nafasi yako kwa jamii kwa ukubwa na uzito wake.
Ahsante
Wee Kafiri/mgalatia!
Sasa hiyo lugha ya kinyama unayotumia dhidi ya Mwanajamvi Dadaetu Mkuu Howt Lady...je ndo huo "ustaarabu" ulofundishwa na yule mgalatia mwanzio wa Kibondei aka Nguruvi3¡¿ Daah!
Yaani huu uharo wenu wa Islamophobia, ndo mambo alokua akizungumzia Mkuu Kahtaan!
Sasa,mnapojibiwa haya makhanatha yenu ndipo wanatokea wanafiki wenzenu wa kigalatia sampuli ya yule maluuni wa Kibondei Nguruvi3...na ati kutaka kumpa "wasia" Maalim Mohamed Said!? Duuh!
Kwa kifupi,jifunze tartib za kuzungumza au kufanza mijadala na Dadazetu/akinamama!
Kashfa juu ya Allah na hiyo pepo/akhira ya Waislam,zinakhusu nini kwa huyo Mwanajamvi mwanzio!? Daah!
Salaam zao!
Ahsanta!
ni gaidi tu sawa na osama bin laden.
Ninauza dawa ya minyoo.
Njoo nikupatie naona bado inakusumbua kijana.
huyu alikuwa GAIDI
Na yule aliekuchana majora mitaa ya shimo la udongo utamuita nani!
Kuna ugaidi mbaya km kumtafuna mwanakondok wa kiume!? Tena kwa nguvu?
Maskini umeathirika vibaya na ule ugaidi uliofanyiwa mpaka umeamua kutunyongea viuno woote humu Jf.
Na yule aliekuchana majora mitaa ya shimo la udongo utamuita nani!
Kuna ugaidi mbaya km kumtafuna mwanakondok wa kiume!? Tena kwa nguvu?
Maskini umeathirika vibaya na ule ugaidi uliofanyiwa mpaka umeamua kutunyongea viuno woote humu Jf.
Mkuu hilo lisikushangaze sana!
Hio siku hizi ndio fashion kwa wachungaji na maaskofu!
Yaani ni kuliberaliana kwenda mbele.