Sheikh Ilunga Hassan Kapungu 1957 -2014

Sheikh Ilunga Hassan Kapungu 1957 -2014

sisi tunaishi Agano jipya, wewe endelea kukalia usiyoyajuwa, ninyi na illunga wenu ambaye ni mzoga sasa ni magaidi full stop. After all marehemu uncle muddy si alinakili hayo maandiko kule pangoni kuandika kitabu chenu? Sikushangai ukitetea hayo kwakuwa umepotoshwa na wala hulijui uandikalo.

Mimi nashangaa sana makafiri.

Yani yule mwanasesere wa kizungu alievishwa nepi na kuwambwa msalabani ndiye mungu??
 
ushauri mzuri sana ila sijui kama atakuelewa

Huyo mnafiki wa Kibondei aka Nguruvi3...walaa hana credibility au integrity ya kutoa wasia/shauri kwa Maalim Mohamed Said!

Huyo Nguruvi3 yeye mwenyewe binafsi, ndo pia mshiriki/mwanzilishi mkubwa wa maneno machafu ya karaha na hata matusi dhidi ya Wazanzibary au Masheikh/Wazee Wetu!! Daah!

Au hujawahi kushuhudia yayo!?

Ahsanta!
 
Ama kwa hakika historia hii ni hazina kubwa sana kwa kizazi hili.

Mungu amrehemu na kumlaza mahala pema sheikh ilunga.
 
Ama kwa hakika historia hii ni hazina kubwa sana kwa kizazi hili.

Mungu amrehemu na kumlaza mahala pema sheikh ilunga.

[h=3]KUMBUKUMBU YA SHEIKH ILUNGA: SIKILIZA KIPINDI MAALUM REDIONI NA TAAZIA YAKE MTAMBANI[/h]

[h=2]Written By Mohamed Said on Tuesday, May 13, 2014 | 8:17 AM[/h]

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
20140509_213635.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mohamed Said[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Sikiliza Kipindi Maalum cha Sheikh Ilunga Hassan Kapungu Radio Kheri (Dar) na Radio Quiblaten (Iringa) na Kumbukumbu aliyofanyiwa Msikiti wa Mtambani

Mzungumzaji Katika Kipindi cha Redio ni Mohamed Said akihojiwa na Butije Khamis

Ingia:
Mohamed Said

[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD]
0ExY5VDxI-_8-2RRd13LegybW6vCVJmPB155N1YImfE=w769-h577-no
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Butije Khamis[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Ilunga alikuwa ni Gaidi period!

Remote,
Nelson Mandela alikuwa gaidi.
Jerry Adams alikuwa gaidi.

George Washington?

Inategemea umesimama upande upi wa barabara.
Soma historia mifano ni mingi sana.

Ukipenda tunaweza kufungua uzi hapa jamvini
tukapeana darsa.
 
Alitaka sana mapadre, maaskofu na wachungaji wachinjwe ila katangulia yeye. Mungu ni mkubwa. Mtu huyu awekwe kunakomstahili huyu bwana, lana tulaah!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Alitaka sana mapadre, maaskofu na wachungaji wachinjwe ila katangulia yeye. Mungu ni mkubwa. Mtu huyu awekwe kunakomstahili huyu bwana, lana tulaah!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app

Genekai,
Hayo usemayo si kweli Sheikh Ilunga hajapatapo kusema
maneno hayo.

Ningependa kutahadharisha kuhusu kuapiza.
Ukimwapiza mtu kwa jambo la uongo hukurudia mwenyewe.

Waislam tunajua hatari yake na hatumwapizi mtu sharti kwa
vigezo vitimie.
 
Mkuu, daima huwa nakuheshimu kama mkubwa wangu ila niseme tu kuwa, kama ni sheikh Ilunga yule alowahi kutoa mihadhara ya chuki kwenye msikiti wa ijumaa Mwanza ndo anayeongelewa hapa then aliyasema kweli and the recorded dvd's are everywhere na i happened to have one. Ila yaishe tu, manake si vizuri kumuongelea mabaya marehemu, how i wish hii dvd ungeipata ukaiangalia hadi mwisho!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Genekai,
Mimi kwa bahati mbaya sijaisikia hiyo DVD yenye chuki kwa hiyo sitaweza
kusema lolote katika hilo.

Ilunga nimjuae mimi toka 1987 ni mtu aliyekuwa kipinga dhulma iliyodumu
nchini petu toka uhuru ambako watendaji Wakristo katika serikali wamekuwa
wakiwahujumu Waislam kwa mengi na ushahidi tunao na serikali umepewa.

Hiyo ndiyo lugha ya marehemu na ndiyo Ilunga yangu pia.

Ikiwa utaweza kuaniandikia sentensi hata moja ya maneno ya Ilunga yenye
chuki nitashukuru sana.
 
Moja kati ya watu hatari sana katika nchi hii ni huyo bwana kama.umewah fatilia mawaidha yake utaamin ninachokisema ingia youtube angalia
 
Moja kati ya watu hatari sana katika nchi hii ni huyo bwana kama.umewah fatilia mawaidha yake utaamin ninachokisema ingia youtube angalia

John,
Ilunga kuwa mtu hatari itategemea umesimama upande upi wa barabara.
Kwetu Waislam ni shujaa ushahidi ni mazishi aliyopewa.

Tanzania Intelligence Gazette 1952 zinamueleza Abdulwahid Sykes,
Schneider Abdillah Plantan, Hamza Mwapachu
na wengine wengi kama
watu hatari.

Nyaraka hizi sasa zimefunguliwa na Waingereza na yeyote akifikaRhodes House,
Oxford anaweza kuzichungulia.

Mandela alikuwa mtu hatari kwa Makaburu...
Jerry Adams alikuwa mtu hatari kwa serikali ya Margret Thatcher.

Hadi leo Dhuhr katika taazia ya Ilunga imegonga ''views ''4000.

And still counting...

Hii haijapatapo kutokea...
 
MSAADA TAFADHALI YAWEZEKANA NI UMBUMBUMBU WANGU. HIVI HUO MFUMO KRISTO UNAOZUNGUMZWA KUWADHULUMU WAISLAMU KIUKWELI WAMNUFAISHA NANI HASWA?? HALI ILIYOKO MTAANI KWA HAKIKA YAMTESA KILA MTZ WA CHINI. AU MI KIPOFU. KUNA WATZ WANGAPI BILA KUJALI IMANI ZAO HAWANA HUDUMA BORA ZA KIJAMII.
KAMA MBADALA WA MFUMO ULIOPO NI MFUMO ISLAM,;SI MBAYA HUO MFUMO UISLAM UKAJISAJIRI KM CHAMA CHA SIASA KIPATE UONGOZI KIPIGANIE HAKI ZA PAMOJA TUJILIE BATA SIE KTK NCHI YETU WENYEWE.
ILA MTU ASILAZIMISHWE KM AMBAVYO HATULAZIMISHWI SASA KUWA WAUMINI WA HUO MFUMO KRISTO.
MUNGU NI UPENDO
shetani ni chuki
 
Genekai,
Mimi kwa bahati mbaya sijaisikia hiyo DVD yenye chuki kwa hiyo sitaweza
kusema lolote katika hilo.

Ilunga nimjuae mimi toka 1987 ni mtu aliyekuwa kipinga dhulma iliyodumu
nchini petu toka uhuru ambako watendaji Wakristo katika serikali wamekuwa
wakiwahujumu Waislam kwa mengi na ushahidi tunao na serikali umepewa.

Hiyo ndiyo lugha ya marehemu na ndiyo Ilunga yangu pia.

Ikiwa utaweza kuaniandikia sentensi hata moja ya maneno ya Ilunga yenye
chuki nitashukuru sana.
Kaka, niseme tena kama ni Ilunga yule ninayemfahamu mimi then naquote baadhi ya maneno yake
Sisi waislamu tukiua hatupotezi...... tukiuwawa pia hatupotezi. Mnao Mapadre na Kardinali, wauweni dhahir.... wauweni kwa kificho. Watumbukizeni mtaroni na kesho yake watajifunza......... Mnaishi na Walei mitaani? Wauweni tu, wachinjeni tu na mtaona kama unyanyasaji kwa waislamu utaendelea. Muislamu anauwawa kisha nyie mnakwenda barabarani kuchoma matairi na kuharibu magari....!! Mmeshindwa nyie, lipeni kisasi kwa maumivu makubwa zaidi. Sheikh Abdul Logo (Mombasa) alikuwa akifundisha ukweli.... Wauweni tu!!!

Na mambo mengine mengi!!!!!
 
Kaka, niseme tena kama ni Ilunga yule ninayemfahamu mimi then naquote baadhi ya maneno yake

Na mambo mengine mengi!!!!!

We mchungaji acha unafiki wa kutoa maneno ya uongo na Out of context!
Ni kawaida yenu kuleta unafiki ktk jamii kwa maslaha yenu!

Nyie mnawapenda watu km Jongo aliyemlilia nyerere Bungeni lkn mtu km marehemu Ilunga ambae anasema ukweli kuhusu Uovu wenu mnamchukia na kumzulia UONGO!

Ni kweli Ustadh Ilunga alikuwa na maneno makali dhidi ya MAADUI WA UISLAMU! Na alikuwa habembezi kafiri yyt!
Hilo sio kosa! Bali ndio dasturi ya mwanajeshi!

Na inshallah watatokea kina Ilunga kama Milioni, mpaka huo mfumokristo USAMBARATIKE KABISA. ndipo watu wataishi kwa amani.
 
Alitaka sana mapadre, maaskofu na wachungaji wachinjwe ila katangulia yeye. Mungu ni mkubwa. Mtu huyu awekwe kunakomstahili huyu bwana, lana tulaah!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app

Laanatullah mzazi wako wa kike!
Manake wa kiume humjui! Mtoto usijua vibaya we!

Mwanamme mwenye tabia za kike!
Unaependa vipodozi vya dada zako!

Kwa akili zako zilivyo nyingi unadhani kule kuabudu sanamu la mzungu kutakuingiza peponi sio!?
Ulidhani peponi ni kama zile ofisi za CHADEMA!

Kikojozi wahedi!
 
Laanatullah mzazi wako wa kike!
Manake wa kiume humjui! Mtoto usijua vibaya we!

Mwanamme mwenye tabia za kike!
Unaependa vipodozi vya dada zako!

Kwa akili zako zilivyo nyingi unadhani kule kuabudu sanamu la mzungu kutakuingiza peponi sio!?
Ulidhani peponi ni kama zile ofisi za CHADEMA!

Kikojozi wahedi!

We mchungaji acha unafiki wa kutoa maneno ya uongo na Out of context!
Ni kawaida yenu kuleta unafiki ktk jamii kwa maslaha yenu!

Nyie mnawapenda watu km Jongo aliyemlilia nyerere Bungeni lkn mtu km marehemu Ilunga ambae anasema ukweli kuhusu Uovu wenu mnamchukia na kumzulia UONGO!

Ni kweli Ustadh Ilunga alikuwa na maneno makali dhidi ya MAADUI WA UISLAMU! Na alikuwa habembezi kafiri yyt!
Hilo sio kosa! Bali ndio dasturi ya mwanajeshi!

Na inshallah watatokea kina Ilunga kama Milioni, mpaka huo mfumokristo USAMBARATIKE KABISA. ndipo watu wataishi kwa amani.
Hivi hakuna njia nyingine ya kujenga hoja bila matusi na kutukanana? Well, siwezi kukulaumu sana mkuu, malezi yetu tangu utotoni ndo hutujenga katika utu uzima wetu, Ona sasa, umeishia kula BAN. Labda utoke na ID nyingine.

Tubishane kwa kujenga hoja. Matusi hayahalalishi hoja wakuu!!!!
 
Back
Top Bottom