Sheikh Ilunga Hassan Kapungu 1957 -2014

Sheikh Ilunga Hassan Kapungu 1957 -2014

Chizi Maarifa,
Haikuwa nia yangu kukujibu kuhusu suala la Waislam kujenga shule.

Inawezekana kabisa hujui historia ya Waislam na juhudi zao katika elimu na ndiyo maana ukaja na hoja hiyo.

Inaelekea wewe ni mgeni hapa jamvini.

Mimi nimetoa ushahidi jinsi watendaji Wakristo wanavyohujumu juhudi za Waislam katika elimu.

Nitakuwekea baadhi ya mifano ambayo tayari nilishaizungumza hapa kwa kirefu:

  1. Nyerere kuipiga marufuku East African Muslim Welfare Society (EAMWS)1968 ili isijenge Chuo Kikuu
  2. Serikali kukataa Chuo Kikuu Cha Kiislam kilichotaka kujengwa na OIC kisijengwe Tanzania
  3. Serikali kupiga vita Darul Imaan isijenge shule Kibaha
  4. Serikali kuondoa uongozi wa vijana wa WARSHA waliokuwa wanataka kuziborehs shule zilizokuwa chini ya BAKWATA shule ambazo zilijengwa na EAMWS kabla ya kupigwa marufuku
  5. Hujuma kwa vijana wa Kiislam ndani ya Wizara ya Elimu iliyogunduliwa na WARSHA 1981 na kuthibitishwa na marehemu Prof. Malima 1987
  6. Hujuma kwa shule za Kiislam katika NECTA

Hii ni baadhi ya mifano na Waislam wameiomba serikali wakae chini wajadili lakini serikali inaogopa kufanya hivyo juu ya kupatiwa ushahidi wa haya niliyosema.

Hayo mengine unayosema ya kuoa kwani kuna ubaya katika kuoa na kupata kizazi?
Ama hilo la ushirikina Uislam unakataza shirki na ni katika dhambi kubwa sana.

Kuhusu hali duni hilo ni suala linalotaka uzi wake maalum tujadili.
Babu Mo... hapo kwa red kama kunamgalatia alifanya hivo nikwa maslah yake mwenyewe huwez jumuisha wagalatia wote unatukosea wengine......walah nyie jamaa mna visa na mikasa mingi endeleeni kutujuza
 
Moja ya IBADA YETU KUBWA ni kuwatoa watu kama wewe kwenye Giza la kuabudu mzungu!.na kuingia katika Ibada kama ya YESU MWANA WA MARIA! Ya MUNGU MMOJA TU!

Nyie lzm tuwasomeshe biblia yenu manake 99% ya wakristo HAMUIJUI!?

Na ALHAMDULILLAH tunamshukuru ALLAH wamesilimu wengi sana! Na Wanaendelea Kusilimu kila SIKU!

Na wewe nakuomba uyasikilize hayo mawaidha huenda MUNGU akipenda UKAUONA MWANGA!
Anayesilimu na anayemsilimisha mtu wote motoni tu!... Hakuna wokovu nje ya ISRAEL.. Hakuna wokovu nje ya Yesu.
 
Kaka, niseme tena kama ni Ilunga yule ninayemfahamu mimi then naquote baadhi ya maneno yake

Na mambo mengine mengi!!!!!

Genekai,
Ikiwa unazungumzia hotuba aliyoitoa baada ya kuuwa Sheikh Rogo ni
kuwa likuwa anazungumzia kisasi.

Naifahamu hii hotuba.

Alichokuwa anawaeleza Waislam wa Mombasa ni kuwa hapana sababu
ya kupiga mawe na kuvunja magari ya watu ambao hawana kosa hata
kidogo.

Hapa alikuwa anawakumbusha kuhusu kisasi kama Allah alivyoeleza katika
Qur'an kuwa ikiwa wao wamemuua Sheikh Rogo angalieni Allah anasema
nini kuhusu kisasi.

Kwa ufupi ni kuwa na kwao auliwe kama Sheikh Rogo.

Hakukusudia kuwa wauliwe mapadri wa Mwanza.

Ikiwa wewe umeelewa kinyume chake ni bahati mbaya.

Naamini tunao hapa jamvini wataalam wa Qur'an basi na
watatusaidie katika kutoa fatwa.
 
Genakai Nakumbuka vizuri khutba yake amesema akiuliwa muislamu na muaji ni mkiristo basi na wewe kamata mmoja wao mmalize na wakiuwa shekhe na wewe muuwe padri au kadinali sio kupiga magari mawe .Ni kwamba kisasi kifanyike baada ya mkiristo kumtoa roho muislam asie na hatia. Naunga 110% khutba yake. Ushauri wangu kwa kwa waislamu (Walkiswasul Haqqu)
 
Last edited by a moderator:
Genekai,
Ikiwa unazungumzia hotuba aliyoitoa baada ya kuuwa Sheikh Rogo ni
kuwa likuwa anazungumzia kisasi.

Naifahamu hii hotuba.

Alichokuwa anawaeleza Waislam wa Mombasa ni kuwa hapana sababu
ya kupiga mawe na kuvunja magari ya watu ambao hawana kosa hata
kidogo.

Hapa alikuwa anawakumbusha kuhusu kisasi kama Allah alivyoeleza katika
Qur'an kuwa ikiwa wao wamemuua Sheikh Rogo angalieni Allah anasema
nini kuhusu kisasi.

Kwa ufupi ni kuwa na kwao auliwe kama Sheikh Rogo.

Hakukusudia kuwa wauliwe mapadri wa Mwanza.

Ikiwa wewe umeelewa kinyume chake ni bahati mbaya.

Naamini tunao hapa jamvini wataalam wa Qur'an basi na
watatusaidie katika kutoa fatwa.
Inawezekana ikawa kweli mkuu, ila niuseme tu ukweli kwamba nadhani wewe ni Muislamu wa kwanza ambaye anajibu hoja kwa busara bila JAZBA. Angekuwa muislamu mwingine, bila shaka hata mamangu anayepumzika angeisha tukanwa balaa. Asante sana mkuu, ningekuomba kuwa unapopata nafasi ya kuongea na vijana wa Kiislamu jaribu kuwaelimisha basi juu ya kujenga hoja badala ya matusi, kejeli na vitisho. Laiti wengi wa imani yako wangekuwa wanajenga hoja, Uislamu usingekuwa na picha mbaya kama ambavyo wasio waislamu wanayo kwa sasa.

Ubarikiwe sana!!!!!
 
Amin nashukuru.
 
John,
Ilunga kuwa mtu hatari itategemea umesimama upande upi wa barabara.
Kwetu Waislam ni shujaa ushahidi ni mazishi aliyopewa.

Tanzania Intelligence Gazette 1952 zinamueleza Abdulwahid Sykes,
Schneider Abdillah Plantan, Hamza Mwapachu
na wengine wengi kama
watu hatari.

Nyaraka hizi sasa zimefunguliwa na Waingereza na yeyote akifikaRhodes House,
Oxford anaweza kuzichungulia.

Mandela alikuwa mtu hatari kwa Makaburu...
Jerry Adams alikuwa mtu hatari kwa serikali ya Margret Thatcher.

Hadi leo Dhuhr katika taazia ya Ilunga imegonga ''views ''4000.

And still counting...

Hii haijapatapo kutokea...

Nakufuatilia sana maalim mohamedi saidi.
 
{Nenda ofisi za serikali na makampuni binafsi kaangalie uwiano wa ajira ... angalia interview shortlist ktk magazeti wakiristo 30 jina la muislam moja ... najua mtatokwa na povu hpa ila ndio ukweli}

Tusaidiane watz kama jambo hili ni la kweli ama lah. Ninachofaham mimi interview zina sifa za mtu husika, sasa mtu ataingiaje kwa list kama hana sifa husika? mimi siamini kama haya yanatokea kwa kuwa tuna macho na akili labda tunatumia hisia zaidi
 
Inawezekana ikawa kweli mkuu, ila niuseme tu ukweli kwamba nadhani wewe ni Muislamu wa kwanza ambaye anajibu hoja kwa busara bila JAZBA. Angekuwa muislamu mwingine, bila shaka hata mamangu anayepumzika angeisha tukanwa balaa. Asante sana mkuu, ningekuomba kuwa unapopata nafasi ya kuongea na vijana wa Kiislamu jaribu kuwaelimisha basi juu ya kujenga hoja badala ya matusi, kejeli na vitisho. Laiti wengi wa imani yako wangekuwa wanajenga hoja, Uislamu usingekuwa na picha mbaya kama ambavyo wasio waislamu wanayo kwa sasa.

Ubarikiwe sana!!!!!

Mkuu!...Nimependa jinsi ulivyotumia uungwana na kumpa stahiki ya sifa zake njema Mwanjamvi mwanzio Maalim Mohamed Said!

Lakini,napingana na weye kwa hali ya juu kabisa...kukhusu hayo maelekezo/hoja zako dhidi ya hao ulowaita ati "Vijana wa Kiislam"!? Daah!

Kwanza umeonyesha udhaifu mkubwa mno na ubaguzi,kwa kudai yakua hao wenye kushindwa kujenga hoja na kurembea matusi humu-JF...kwani ni Waislam peke yao!?

Kwanini ume-generalize na kutumia sweeping statements dhidi ya Muslim population of over 1.6billion!?

Unampa wajibu mkubwa mno Maalim Mohamed Said...ati "awafunde" adab na taadhima hao "Vijana wa Kiislam",sio!?

Sasa,Mkuu 'angu...je hawa vijana wa kigalatia na wangine wasio na dini/imani..ambao nao wamejawa na chuki za kupitukia na pia ni wakosefu wa hishma na walaanifu walokubuhu...je hawa unamkabidhi nani kuwafunda!?...au huu wajibu unajipa weye mwenyewe!? Daah!

Shukran saana na nakutakia siku njema!
 
Hivi hakuna njia nyingine ya kujenga hoja bila matusi na kutukanana? Well, siwezi kukulaumu sana mkuu, malezi yetu tangu utotoni ndo hutujenga katika utu uzima wetu, Ona sasa, umeishia kula BAN. Labda utoke na ID nyingine.

Tubishane kwa kujenga hoja. Matusi hayahalalishi hoja wakuu!!!!

Tatizo mnaongea unafiki sana
 
{Nenda ofisi za serikali na makampuni binafsi kaangalie uwiano wa ajira ... angalia interview shortlist ktk magazeti wakiristo 30 jina la muislam moja ... najua mtatokwa na povu hpa ila ndio ukweli}

Tusaidiane watz kama jambo hili ni la kweli ama lah. Ninachofaham mimi interview zina sifa za mtu husika, sasa mtu ataingiaje kwa list kama hana sifa husika? mimi siamini kama haya yanatokea kwa kuwa tuna macho na akili labda tunatumia hisia zaidi

Waliozoea vya kunyonga

Vya kuchinja hawaviweziii.

Ukweli unawauma ila muuupokeee tu.
 
Nenda ofisi za serikali na makampuni binafsi kaangalie uwiano wa ajira ... angalia interview shortlist ktk magazeti wakiristo 30 jina la muislam moja ... najua mtatokwa na povu hpa ila ndio ukweli

hivi mpaka leo tarehe 19/5/2014
kuna mtu anaangalia jina la mtu kujua huyu ni din gani ktk interview??? acha kutudanganya mim nimesoma shule hiz za gvt mpaka form 6 sijawah kusikia huo ubaguz na nilipata bahat ya kusoma chuo kikuu kinachomilikiwa na wamisionary hakuna hayo unayosema uwe unasali chin ya mti,kanisan,msikitin au kwenye mwamba haiwahusu ni academic perfomance yako tu inaangaliwa. Katika nchi hii kuna jamii ya watu fulan hawaon umuhim wa elimu wanaidharau wanaiita ya magharib wataishia kuwa watumwa wa waliosoma milele
 
Waliozoea vya kunyonga

Vya kuchinja hawaviweziii.

Ukweli unawauma ila muuupokeee tu.

Nataman kuujua huo ukweli, kumbuka ukweli una tabia ya kuwa dhahiri, ndicho nachotaka kujua si vitu vya kusadikika tu
 
Laanatullah mzazi wako wa kike!
Manake wa kiume humjui! Mtoto usijua vibaya we!

Mwanamme mwenye tabia za kike!
Unaependa vipodozi vya dada zako!

Kwa akili zako zilivyo nyingi unadhani kule kuabudu sanamu la mzungu kutakuingiza peponi sio!?
Ulidhani peponi ni kama zile ofisi za CHADEMA!

Kikojozi wahedi!

Khatani.....umeghafilika..usipanik brotha tulia
.we ni boko haram
 
hivi mpaka leo tarehe 19/5/2014
kuna mtu anaangalia jina la mtu kujua huyu ni din gani ktk interview??? acha kutudanganya mim nimesoma shule hiz za gvt mpaka form 6 sijawah kusikia huo ubaguz na nilipata bahat ya kusoma chuo kikuu kinachomilikiwa na wamisionary hakuna hayo unayosema uwe unasali chin ya mti,kanisan,msikitin au kwenye mwamba haiwahusu ni academic perfomance yako tu inaangaliwa. Katika nchi hii kuna jamii ya watu fulan hawaon umuhim wa elimu wanaidharau wanaiita ya magharib wataishia kuwa watumwa wa waliosoma milele

  • Agogwe,

    Dhulma inaanza toka Wizara ya Elimu, Shule na NECTA.
    Tujikumbushe maandamano ya Waislam ya 2012 kupinga NECTA na dhulma zake
    kwa Waislam:

    cc Noel 2014

    FF,

    Nongeza na hii:
    HII NDIO MANAGEMENT YA NECTA- CHOMBO AMBACHO WAISLAM MIAKA YOTE
    WANAKILALAMIKIA HAKUNA MUISLA ALIEWAHI KUSHIKA NAFASI NYETI

    Chairmen

    S/N Year Name
    1. 1973 - 1977 P. Msekwa
    2. 1977 - 1980 I. M. Kaduma
    3. 1980 - 1988 N. A. Kuhanga
    4. 1988 - 1992 G.R.V. Mmari (Prof)
    5. 1992 - 1999 M.L Luhanga (Prof)
    6. 1999 - 2004 G.R.V. Mmari (Prof)
    7. 2004 - 2007 E. Mwaikambo (Prof)
    8. 2007 - todate R.S. Mkandala (Prof)
    Secretaries
    S/N Year Name
    1. 1973 - 1978 R. Kiyao
    2. 1978 - 1986 D.J. Bagenda
    3. 1986 - 1992 A. Modesti
    4. 1994 - 1997 P.P. Gandye
    5. 1998 - 2005 E.M. Nkumbi (Dr)
    6. 2005 - todate J.L. Ndalichako (Dr)

    Wajue hapo ndipo walipoifikisha jamii ya Watanzania hakuna cha kusubiri ila
    kuangamia basi.

    Allah kaonya sana kuhusu dhulma na ndiyo maana katika Qur'an katuasa
    Waislam tusidhulumu wala tusikubali kudhulumiwa.

    xFGN6IY8OY4FK7O_cBjaUANZIbsZfTKbszax_AJKKxo=w480-h320-no

    DSC04002.JPG

ukiwa mtu wa kusema ukweli ,huwezi ukakubaliwa au ukapendwa na jamii nzima,ustadhi ilunga hassan aliweza kusimamia kuutoa ukweli jinsi gani waislam nchini wanavyodhulumiwa haki yao na jinsi gani upande mmoja wa waumini wa dini moja jinsi unavyo au ulivyohodhi madaraka na kuutumia kuinufaisha pande moja ya waumini na kuwabana waumini wengine ndani ya nchi yao ambayo baadhi yao waliipigania katika kuutafuta uhuru wake,sasa nimeisha fahamu ni kwanini mtu yule hakubaliki na baadhi ya watanzania,namalizia kwa neno hili...ukweli unauma sana,ninamuomba mwenyezi mungu ailaze na kuipokea roho ya huyu ustadhi wetu kwa usalama na heri nyingi,...ina lilahi wa ina lilahi rajiuni......alkisasi haquu kwa wale waislam tumeruhusiwa kulipiza kisasi!!!!!!
 
Nenda ofisi za serikali na makampuni binafsi kaangalie uwiano wa ajira ... angalia interview shortlist ktk magazeti wakiristo 30 jina la muislam moja ... najua mtatokwa na povu hpa ila ndio ukweli
Nawe pia angalia matokeo ya form four na form six kati ya wanafunzi kumi bora utakuta jina la kiislamu wawili, wakristo wanane.
 
Back
Top Bottom