PreGE2025 Sheikh Jabir ameuawa Zanzibar BAKWATA kimya! Mnasubiri Maaskofu wakemee mje kuwazodoa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
KILA ANAYEKUFA AMETEKWA?
ULISOMA TAARIFA KUHUSU HUYO SHEKHE AU MNABWABWAJA TU?
Hujasikia maelezo ya ndugu?alifuatwa akiwa kwake na gari Aina ya Noah usiku na watu wasiojulikana,.baadae mwili wake ukakutwa umetelekezwa..sio kutekwa huko??
 
Tumuamini nani?
Houseboy: alikuja rafiki yake wakapga stori sana, baadaye wakaja watu ambao wanaonekana wanafahamiana baadaye wakaondoka..
Ndugu zao(mwanzoni) ndugu yetu alikuwa na presha ijapo siku hyo hakuwa mgonjwa..
Ndugu zao(hv karbun) ilikuja noah!

Kwa mjibu ya maelezo ya rpc mchomvu, marehemu alikuwa na houseboy, na houseboy alikuwepo siku ya tukio.
 
Maelezo yako ndio nasikia kwako mapya kwangu siwezi kubisha,Sasa unafikiri kwanini watu wananyooshea mkono serikali??sababu Kuna matukio kama haya yametokea victims wakisema polisi wamehusika ila serikali haijawahi kufanya uchunguzi Wala kutoa ripoti,mfano Mke wa mdude nyagari na jirani yao,walisema polisi ndio walimchukua Mdude na Hadi majina ya polisi wakataja,..

Sativa,kamtaja mafwele ndio muhusika lakini hajawahi kujitetea Wala polisi hata kuomba maelezo..

Unadhani kifo chochote cha kutilia mashaka Cha viongozi wa kisiasa au kidini watu watasemaje??mauaji na watu kutekwa vipo hata kabla ya uhuru lakini yanayoendelea Sasa mtu timamu lazima atilie Shaka..

Gwajima kaita press kukemea tu utekaji ,ila watu wote wa serikali wamemgeuka,umejifunza Nini?
 
1. Unataka kusema kuwa wa vyama vingne hawafi au kupotea?
2. Tatzo chadema wameaminisha watu mambo mabaya kuhusu serikali.
3. Unaweza kumbuka tukio gani la kutekana cdm enzi za dr slaa?
 
lost files ninachokiamini ni kuwa hizi kauli mbiu kuwa nimemuona fulani ni well scripted movies cha chadema, mfano mimi nikiwa na namba zako nikatengeneza uongo na kuzieneza kwa kasi lazima watanzania watamuvu nazo ukizingatia kuwa watanzania ni hafifu wa kufuatilia mambo..
2. Ni mara ngapi askari feki wamekamatwa? Wanajeshi? Usalama feki tena wengne wakiwa kwenye misafara ya viongozi(rejea kesi moja pale mwanza)
3. Ni majambazi wangapi wanatumia utambulisho wa polisi kufanya uharifu?
4. Kuhusu mke wa mdude: je walimuonyesha utambulisho wa kiusakari? Au kila anayeshka bunduki na kufanya uharifu naye ni askari? Au kila anayejiita askari je ni askari kweli? CHADEMA wanapojiita kamanda na wamevaa magwanda , je tuwaamini kweli ni makamanda?

KWA KWELI KUVISHAMBULIA VYOMBO VYA ULINZI KUWA WAHUSIKA ETI KISA TU WATEKAJI WALIJIITA ASKARI, HYO NI HOJA DHAIFU SANA COMRADE!
 
Waislamu wana mwongozo, hawaendi tu kwa kichwa mchunga. Waislamu wanajua namna ya kuyaendea mambo kwa kuwa yameelekezwa hayo ktk dini yao. Sio kila lifanyikalo husemwa kwenye vinara, waislamu wanajua njama zinazotumiwa na wasioitakia mema nchi hii.
Wanasubiri kusema......Udini udini huo ndio mwongozo?
 
Mnataka watu wapewe kesi za ugaidi au? Mnadhani waisilamu wa hii nchi ni wageni. Kuongea aongee mkristo akiongea muislamu ni gaidi. Hatudanganyiki nyie kama mmeamua kufanya harakati zenu endeleeni nazo sio lazima muungwe mkono na waislamu.
 
Wananyamaza halafu wanategemea akishambuliwa mchungaji au askofu pia watu wa kanisa wanyamaze. Such a stupi* mentallity.
 
Masheikh wa BAKWATA wamekuwa hawajali kwa kina maslahi ya waislamu nchini. Wao wamekuwa kama rear guards wa kulinda mfumo, kutetea serikali, kuwalaza waislamu usingizi pindi joto la haki nchini likipanda.

Hivi karibuni Maaskofu wamekuwa msitari wa mbele kulaani matendo ya kitekaji na uuaji yanayoyendelea nchini, cha ajabu Masheikh wa BAKWATA badala ya kukemea na kulaani mambo hayo, wao wamekuwa msitari wa mbele kuitetea serikali kwa kuleta hoja za "whataboutism", hoja zao dhidi ya maaskofu ni mbona mtawala alipokuwa fulani hamkusema. Japo hiyo hoja yao si kweli kwa sababu maaskofu kipindi cha utawala wa Magufuli wamewahi kutoa waraka mzito wa Kwaresma kulaani ukandamizaji nchini, lakini ni Masheikh ndo waliokaa kimya huku dhulma kwa wafanyabiashara, wanasiasa na watu wengine zikifanyika.

Tumeona jinsi maaskofu walivyosimama kumkatakia Magufuli katakata alipodai eti nchini COVID haipo. Wakasema wanaoumia na COVID ni watawa wao pamoja na waumini wao, lazima serikali ichukue hatua. Wakati maaskofu wakifanya hayo Masheikh wa BAKWATA kimyaa.

Maaskofu walipolalamika kuumizwa kwa padri wao, Father Kitima, Masheikh wa BAKWATA wanang'aka eti mbona maaskofi hawakuwatetea masheikh walipowekwa ndani. Badala ya Masheikh wa BAKWATA wawe msitari wa mbele kuwatetea masheikh wenzao, wao wanaoiga kimya, kisha wanangoja maaskofu wazungumze jambo la manufaa halafu wao wapinge!. Ajabu sana hii.

Juzi kauawa Sheikh Jabir huko Zsnzibar. Alitekwa na watu, Jioni yake mwili ukaokotwa pembezoni mwa barabara. Lakini huwasikii Masheikh wa BAKWATA wakikemea hili.

Kwa kweli hili ni tatizo kubwa, ni shida kubwa kwa Waislamu.

Angalau Sheikh Ponda na shura ya maimamu huongea, lakini siyo hawa masheikh wa BAKWATA ambao ni chombo kikubwa nchini.

Hebu tazama hapa chini video ya mazishi ya Sheikh Jabir, na mahojiano ya Sheikh Ponda ( Siyo BAKWATA huyu)

View: https://youtu.be/rkPg13A3uGE?si=NEBlmPOGmk1QCKog

Aliposhambuliwa Fr. Kitima, baada ya zile kauli za Mashaikh wa BAKWATA, nakumbuka Sheikh Ponda aliwaonya wale Masheikh na kuwakumbusha kuwa wasidhani kuwa Waislam wapo salama, akawasifu Maaskofu, akasikitishwa na kitendo cha Fr. Kitima kushambuliwa.
Pia nakumbuka kuhusiana na wale Masgeikh wa UAMSHO kuwekwa ndani na mateso yaliyoripotiwa kuwa walioewa, Baraza la Maask9fu wa Katoliki waliwahi kulaani tukio lile kupitia moja ya Nyalaka zao.
 
Imam Junayd Al Baghdadii alisema:

“Ukaribu na watawala hudhoofisha moyo, huchafua dhamira, na humharibu muridi kabla hata hajaanza.”

Wanasema watu wa tasawwuf:

"Mwenye kula kutoka kwa mfalme, atasema kwa mdomo wa mfalme.”
 
Masheikh wa BAKWATA wamekuwa hawajali kwa kina maslahi ya waislamu nchini. Wao wamekuwa kama rear guards wa kulinda mfumo, kutetea serikali, kuwalaza waislamu usingizi pindi joto la haki nchini likipanda.

Hivi karibuni Maaskofu wamekuwa msitari wa mbele kulaani matendo ya kitekaji na uuaji yanayoyendelea nchini, cha ajabu Masheikh wa BAKWATA badala ya kukemea na kulaani mambo hayo, wao wamekuwa msitari wa mbele kuitetea serikali kwa kuleta hoja za "whataboutism", hoja zao dhidi ya maaskofu ni mbona mtawala alipokuwa fulani hamkusema. Japo hiyo hoja yao si kweli kwa sababu maaskofu kipindi cha utawala wa Magufuli wamewahi kutoa waraka mzito wa Kwaresma kulaani ukandamizaji nchini, lakini ni Masheikh ndo waliokaa kimya huku dhulma kwa wafanyabiashara, wanasiasa na watu wengine zikifanyika.

Tumeona jinsi maaskofu walivyosimama kumkatakia Magufuli katakata alipodai eti nchini COVID haipo. Wakasema wanaoumia na COVID ni watawa wao pamoja na waumini wao, lazima serikali ichukue hatua. Wakati maaskofu wakifanya hayo Masheikh wa BAKWATA kimyaa.

Maaskofu walipolalamika kuumizwa kwa padri wao, Father Kitima, Masheikh wa BAKWATA wanang'aka eti mbona maaskofi hawakuwatetea masheikh walipowekwa ndani. Badala ya Masheikh wa BAKWATA wawe msitari wa mbele kuwatetea masheikh wenzao, wao wanaoiga kimya, kisha wanangoja maaskofu wazungumze jambo la manufaa halafu wao wapinge!. Ajabu sana hii.

Juzi kauawa Sheikh Jabir huko Zsnzibar. Alitekwa na watu, Jioni yake mwili ukaokotwa pembezoni mwa barabara. Lakini huwasikii Masheikh wa BAKWATA wakikemea hili.

Kwa kweli hili ni tatizo kubwa, ni shida kubwa kwa Waislamu.

Angalau Sheikh Ponda na shura ya maimamu huongea, lakini siyo hawa masheikh wa BAKWATA ambao ni chombo kikubwa nchini.

Hebu tazama hapa chini video ya mazishi ya Sheikh Jabir, na mahojiano ya Sheikh Ponda ( Siyo BAKWATA huyu)

View: https://youtu.be/rkPg13A3uGE?si=NEBlmPOGmk1QCKog

AIBU SANA
WAISLAN.MMRYUSIKITISHA SANA SANA
 
KILA ANAYEKUFA AMETEKWA?
ULISOMA TAARIFA KUHUSU HUYO SHEKHE AU MNABWABWAJA TU?
SHida inakuja kwamva vifo kama hivyo hatupewi taarifa rasmi kutoka vyombo vya uchunguzi. Kiasi kwamba hata mtu akipata ajali watu wanaanza kufikiria ameuwawa.

Hii dhana haitaisha hadi ufumbuzi wa utekaji upatikane.
 
Masheikh wa BAKWATA wamekuwa hawajali kwa kina maslahi ya waislamu nchini. Wao wamekuwa kama rear guards wa kulinda mfumo, kutetea serikali, kuwalaza waislamu usingizi pindi joto la haki nchini likipanda.

Hivi karibuni Maaskofu wamekuwa msitari wa mbele kulaani matendo ya kitekaji na uuaji yanayoyendelea nchini, cha ajabu Masheikh wa BAKWATA badala ya kukemea na kulaani mambo hayo, wao wamekuwa msitari wa mbele kuitetea serikali kwa kuleta hoja za "whataboutism", hoja zao dhidi ya maaskofu ni mbona mtawala alipokuwa fulani hamkusema. Japo hiyo hoja yao si kweli kwa sababu maaskofu kipindi cha utawala wa Magufuli wamewahi kutoa waraka mzito wa Kwaresma kulaani ukandamizaji nchini, lakini ni Masheikh ndo waliokaa kimya huku dhulma kwa wafanyabiashara, wanasiasa na watu wengine zikifanyika.

Tumeona jinsi maaskofu walivyosimama kumkatakia Magufuli katakata alipodai eti nchini COVID haipo. Wakasema wanaoumia na COVID ni watawa wao pamoja na waumini wao, lazima serikali ichukue hatua. Wakati maaskofu wakifanya hayo Masheikh wa BAKWATA kimyaa.

Maaskofu walipolalamika kuumizwa kwa padri wao, Father Kitima, Masheikh wa BAKWATA wanang'aka eti mbona maaskofi hawakuwatetea masheikh walipowekwa ndani. Badala ya Masheikh wa BAKWATA wawe msitari wa mbele kuwatetea masheikh wenzao, wao wanaoiga kimya, kisha wanangoja maaskofu wazungumze jambo la manufaa halafu wao wapinge!. Ajabu sana hii.

Juzi kauawa Sheikh Jabir huko Zsnzibar. Alitekwa na watu, Jioni yake mwili ukaokotwa pembezoni mwa barabara. Lakini huwasikii Masheikh wa BAKWATA wakikemea hili.

Kwa kweli hili ni tatizo kubwa, ni shida kubwa kwa Waislamu.

Angalau Sheikh Ponda na shura ya maimamu huongea, lakini siyo hawa masheikh wa BAKWATA ambao ni chombo kikubwa nchini.

Hebu tazama hapa chini video ya mazishi ya Sheikh Jabir, na mahojiano ya Sheikh Ponda ( Siyo BAKWATA huyu)

BAKWATA wataongea nini wamezoea kuchinjana kule Zanzibar
Check kipindi cha Uchaguzi akina Jussa , Mazrui walivyopigwa na shot za umeme ,wala BAKWATA hata hawakufungua kukemea uovu.
Nahisi Waisalam wa Tz utofauti wao na nchi zinazoendeshwa kiislam ni kidogo, nenda Iran watu wananyongwa kila siku, nenda nchi za falme za kiarabu unyanyasaji ni mkubwa, mfano tu ni juzi kule Qatar kulikofanyika kombe la dunia zaidi ya wafanyakazi 200 wa wakigeni waliuwawa kwa manyanyaso,nenda Sudani, Pakistan,Afghanistan, Somalia

Nadhani waislam wanafurahi sana mtu akiteswa, kunyanyaswa na kuuwawa tena yule ambaye sio muislam huchinja hadi ng'ombe kufurahia.

Wa hapa Tz uwape kujikomba kwa watawala tu na kujikesha, wengi wao wana elimu ya dini ni maskini hutegemea misaada ya serikali ili waishi.
 
Back
Top Bottom